Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

kwenye swala la elimu wote kwanzia wenye darasa la saba mpaka chuo wote wanachukuliwa au limekaaje hili swala maana nimeshindwa kuelewa ndugu zetu wenye uelewa kidogo mtusaidie
Ndiyo, wote wanachukuliwa ila kwa kuzingatia vigezo vya category zao. Mfano, mtu wa std 7 lazima akidhi vigezo vya umri wa category yake, vivo ivyo kwa wenye shahada na wengine.

Pia kuna zile sifa za wote ie afya, uraia nk
 
kwenye swala la elimu wote kwanzia wenye darasa la saba mpaka chuo wote wanachukuliwa au limekaaje hili swala maana nimeshindwa kuelewa ndugu zetu wenye uelewa kidogo mtusaidie
Hapana Kaka Unakosea hakuna Bin Adam Mwenye uelewa Mdogo Kwan Bin Adam wote Tuko Sawa Kwa Kila kitu.
Mimi Kwa Uelewa navofahamu Ni kwamba J.k.t huchukua vijana wote wenye sifa sitahiki kiumri, kiafya, kinidham na Kielimu kuanzia La Saba mpaka Chuo kikuu.
 
Hapana Kaka Unakosea hakuna Bin Adam Mwenye uelewa Mdogo Kwan Bin Adam wote Tuko Sawa Kwa Kila kitu.
Mimi Kwa Uelewa navofahamu Ni kwamba J.k.t huchukua vijana wote wenye sifa sitaki kiumri, kiafya, kinidham na Kielimu kuanzia La Saba mpaka Chuo kikuu.
nimeuliza hivyo kwasababu taarifa zinazosikika uku mtahani kwangu nikwamba hizi nafasi zinazotoka nikwaajiri ya darasa la saba form four na form six eti kwanzia chuo nafasi zao zinakujaga tafauti yani kwakufata taaruma mfano mimi nina diploma in procurement and logistic management lkn wananishauri nitume cheti cha form four ndomana nimeuliza hili nijue zaidi
 
Fanya kama unavoelekezwa kaka
 
Kama ingekua kua watachukuliwa kwa mda tofauti, basi tangazo lisinge wajumuisha," wenye shahada"
 
1460042081711.jpg
 
Wiki hii au mwanzoni mwa wiki ijayo JWTZ wanaenda makambini kufanya usaili ktk makambi ya JKT.
 
Back
Top Bottom