Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

Mm nlipita pale mchana nikaangalia tu ubao wa matangazo sikuliona tangazo ndio maana nimeuliza ILALA kama tayari kweli maana sikwenda of is in I kuuliza
 
Ni kweli nafasi za JKT zimeshatangazwa japo Kuna baadhi ya Wilaya bado hawajapata barua za maelekezo,

Kumbukeni kuwa na vyeti halisi vya elimu(original academic certificate and school leaving certificate) kikiwemo na Cheti cha elimu ya msingi, ni muhim mno hiki Cheti cha std VII hata kama una degree lakini Cheti cha std vii ni muhim kuwa nacho!

Nawatakia kila la heri vijana,
 
Andaa mazaga tu (vyeti)kaka jamaa wametoa
Viambatanishi muhimu : Cheti cha kuzaliwa, Cheti cha elimu ya msingi, Cheti cha sekondari,leaving certificate za sekondari, Cheti cha chuo(km umefika chuo)

Hakikisheni majina na tarehe za kuzaliwa havitofautiani kwenye vyeti vyenu vyote,

Nawatakia kila la heri vijana,
 
Ni kweli nafasi za JKT zimeshatangazwa japo Kuna baadhi ya Wilaya bado hawajapata barua za maelekezo,

Kumbukeni kuwa na vyeti halisi vya elimu(original academic certificate and school leaving certificate) kikiwemo na Cheti cha elimu ya msingi, ni muhim mno hiki Cheti cha std VII hata kama una degree lakini Cheti cha std vii ni muhim kuwa nacho!

Nawatakia kila la heri vijana,
Asante Mkuu, tupo pamoja.
 
Viambatanishi muhimu : Cheti cha kuzaliwa, Cheti cha elimu ya msingi, Cheti cha sekondari,leaving certificate za sekondari, Cheti cha chuo(km umefika chuo)

Hakikisheni majina na tarehe za kuzaliwa havitofautiani kwenye vyeti vyenu vyote,

Nawatakia kila la heri vijana,
Daah kiongozi mimi cheti cha primary na leaving ya form four imefungiwa na mshua kasafiri anarudi tarehe 16 ila nna chakuzaliwa,cha secondary na cha chuon pia......watanizngua??
 
Hakikisha unakuwa navyo hivyo vyeti kijana wangu, ni bora ukamwambia mshua aje afungue uchukue vyeti vyako! Otherwise utaachwa tu hata kama una division one!
 
Back
Top Bottom