Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

Nyie mliosema nafasi zimetoka, je vigezo awamu hii wamesema ni vipi?
 
Official from Kinondoni notes board.

1460015041217.jpg
 
Subiria kaka watatoa lazima Tu PIA Mwaka wazee wanasema nafasi Ni nyingi , kwa Mkoa X umepewa Nafasi Takribani 300 Na usheee so nadhani kwa DSM yenyu hii Zaweza kuwa hata 400 na kituuuu.
 
nauliza hivi wanaoenda jkt huwa wanalipwa chochote kitu? mana wengine tuna ajira sasa tukiziacha familia zitakufa na njaa
 
nauliza hivi jkt huwa wanalipwa?
Baada ya Muda Fulani hulipwa Posho pale wanazalisha ILA sijui Ni Bei gani . Kana Tata wee Mchaga Mbona Una Moshi na pesa kwanza , Hongera lakini Maana pesa ndo Kila kitu na ndo kitu pekee.
 
Back
Top Bottom