Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

Najiuliza..watu wanavyohustles hivi kupata chance na imetokea umemaliza miaka yako miwili unapewa cheti unaambiwa rudi nyumbani si yatatokea kama yale ya mwaka juzi ya askari wa JKT kugoma?

Mungu awasimamie kwa sababu ni kweli kabisa sio kila anaeenda NS huwa anapata chance ya kukatwa bogi la maana.Wengine watarudi uraiani
Yote ni matokeo mkuu.
 
Kila mtu anasema lake humu mara mpaka wakuu wa wilaya wapya watangazwe.. mara mwez wa 7 mara sijui bajeti,, Kama unahitaji nafasi we usikate tamaa hata zitoke mwakani kama unania ya kwenda utaenda tuu..
 
Hukunielewa kumbe mkuu nilivyozungumzia kuhusu budget. Niliweka dhana tu kwamba lau waalimu wameambiwa ajira zao mpaka budget ipite je na jkt kujitolea itakuwa hivyo hivyo???

Ila sikusema kujitolea mpaka budget ipite.
 
Najiuliza..watu wanavyohustles hivi kupata chance na imetokea umemaliza miaka yako miwili unapewa cheti unaambiwa rudi nyumbani si yatatokea kama yale ya mwaka juzi ya askari wa JKT kugoma?

Mungu awasimamie kwa sababu ni kweli kabisa sio kila anaeenda NS huwa anapata chance ya kukatwa bogi la maana.Wengine watarudi uraiani
Mara zote JKT inawasisitiza vijana wanaotaka kujiunga na jeshi hilo kwamba haliajiri wala sio kazi yake kuajiri, kwahiyo ukikosa ajira utapewa vyeti vyako na kurudi nyumbani utake usitake kwa sababu mkataba wako na JKT utakuwa umefikia tamati.
 
Wanasubiriwa form six wamalize kwanza. Ndo waanze recruitment jkt.
 
Hapana,binafsi ni kinyume na taratibu na sheria za Jeshi kuripoti katika CTS za JKT baada ya kufunguliwa kozi.Pengine yawezekana kuingia endapo watu ulioongea nao wana vyeo vikubwa au wana nyadhifa kubwa ndani ya kikosi husika Jeshini kama CO,Lt.Col,Col.,Major na kadhalika.

Ulipaswa wewe na anayekufanyia mpango wote, Nyerere alisema, "minze ga nyanza", acheni kubebwa kindakindaki bhana, ndiyo maana jeshi linakuwa la ukoo na wamejaa kina "baba kanituma", hovyoooooooooooooooo
 
Tang'ana kawaambia mpaka mwezi wa 7 but nyie mmekazana tu sijui next week......next week......next week.....hatimaye july....hence Tang'ana proved.
Kazi imeanza Tandahimba..! Kwa mshauri Wa Mgambo Wa wilaya...
 
Back
Top Bottom