Ing'ang'a
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,866
- 1,284
Hapana Hakuna Updates but Kuna jamaa ziko Mjini zinasisitiza Tu mpaka April 16 Though not officially announced Via any media.Sawasawa Mkuu, hivi hakuna Updates zozote!?
Hapana Hakuna Updates but Kuna jamaa ziko Mjini zinasisitiza Tu mpaka April 16 Though not officially announced Via any media.Sawasawa Mkuu, hivi hakuna Updates zozote!?
Sawa kijana, muda ukifika nitaenda kufatilia Transcripts chuo.Hapana Hakuna Updates but Kuna jamaa ziko Mjini zinasisitiza Tu mpaka April 16 Though not officially announced Via any media.
Okay Sawa kaka kachukue Magigi yote ukae nayo toka la Msingi Saba mpaka Jiwe la Warumi.Sawa kijana, muda ukifika nitaenda kufatilia Transcripts chuo.
Sio mpango wa watu watu wafe wakiwa vijana, tuamini ktk Mungu. Mimi naamini wewe next week utakuwepo na utafanya mambo upendavyo. Huu ni wakati wa ujasiri, tuweke woga na wasiwasi pembeni. Si umeona shetani leo kajihudhurisha Mkuu!!!Okay Sawa kaka kachukue Magigi yote ukae nayo toka la Msingi Saba mpaka Jiwe la Warumi.
PIA next week naja uko kuset mambo kwa Wanene so updates zote ntakua Nazo from Wednesday next week Kama Mungu akitujalia Uhai na Neema zake.
Haaa Haaa sawa Kaka Tuko pamoja Sana.Sio mpango wa watu watu wafe wakiwa vijana, tuamini ktk Mungu. Mimi naamini wewe next week utakuwepo na utafanya mambo upendavyo. Huu ni wakati wa ujasiri, tuweke woga na wasiwasi pembeni. Si umeona shetani leo kajihudhurisha Mkuu!!!
Tata mura tata, tutapangiwa kambi moja kamanda ila sijui ka tutajuana.Haaa Haaa sawa Kaka Tuko pamoja Sana.
Yan Tata tumuombe Mungu atujalie Tata MuraTata mura tata, tutapangiwa kambi moja kamanda ila sijui ka tutajuana.
Tushaachana nae tuko na yetu kakaJf leo kumechafuka embu jaman tulizen mzuka anaepinga mwache apinge ila mambo yote yapo yatakaa vzr tu.
Kwani hujapata cheti mkuu.Sawa kijana, muda ukifika nitaenda kufatilia Transcripts chuo.
Bado havijatoka.Kwani hujapata cheti mkuu.
Sawa unaweza kutumia ata hiyo japo wilayani watazingua tu.Bado havijatoka.
MARUFUKU KUKATA TAMAA...nlkwambia kuna watu wanafanya kazi zimpasazo shetan kaka .....tutakoomaa mpk mwshoAsante Mkuu, namaanisha hapohapo Tanzania Postal Bank. Kama anayekata viuno ili kunufaisha familia yake na watoto sio vibaya sana.
Nipo hapa TPB kama Channel ya kuniweka vizuri ili niende sehemu nyingine, mshahara wa hapa ni tegemezi kwangu na kwa wengine. Ninachokipata nitawaachia wanaonitegema kwa kiasi flani ili kiwasaidie punde nikienda JKT.
Naenda JKT kutazamia kutimiza ndoto zangu, katika maisha yangu nafanya kile ambacho moyo wangu unatamani, napenda sana kuwa na amani. Nikishindwa JKT na seheme zingine zote ambazo zinaweza kutimiza ndoto zangu basi nitatafuta kazi nyingine ya kufanya, ila kwa sasa bado sijakata tamaa kwamba siwezi timiza ndoto yangu. Na sijaona cha kunizuia ili nisitimize ndoto yangu.
Sijui kwanini umesema mimi ni muanzilishi wa Thread zinazohusu JKT, unaweza ukanionesha ni thread gani nimeanzisha? Napenda kuingia ktk Thread zinazohusu JKT ili nijue naenda wapi na inabidi nifanye nini ili kukabilia na changamoto hizo kabla ya kuanza mafunzo na baada.
Wewe ni mtu mzima, kama umetimiza malengo yako basi hongera sana, sisi bado tuna kwenye process, hata wewe ulivyokuwa kwenye process haukutamani ukatishwe tamaa, na sisi pia hatutamani kusikia mambo vitu hasi bali chanya.
Umeongea mengi na maneno ya ajabu na matusi kedekede ila naomba nikwambie kwamba mimi ndo kwanza naona umenipa hali mpya na shauku mpya ya kuingia JKT, mahali palikuwa na shida au kikwazo mbele basi kuna ushindi karibu. Wana wa Israel walikutana na ukuta wa Yeriko ila Yeriko ilidondoka, walipita jangwani ila Mungu aliwapa maji ktk mwamba, Wana wa Israel walivyoona bahari, waliingiwa na wasiwasi ila baadae mlango ukafunguka, vijana wenzangu mnaosubiri nafasi za JKT nawaambia ya kwamba mlango utafunguka. Usisikilize maneno ya watu wanakwambia nini, tazama moyo wako una shauku ya nini. Wapinzani ni wengi na vita ni nyingi ila nawasihi tupambane, Mungu atafungua mlango.
Kusudi la Mungu haliwezi kuzuiwa na chochote kile, cha msingi ni uvumilivu na kujiandaa kisaikolojia.
Nawapenda sana vijana wenzangu.
Duu wanachelewesha Sana. Mimi Magigi yote ninayo kuanzia Pschool mpaka Jiwe.Bado havijatoka.
Nitatumia vya form IV mkuu.Sawa unaweza kutumia ata hiyo japo wilayani watazingua tu.
Sawa Mkuu, tunza mavyeti hayo.Duu wanachelewesha Sana. Mimi Magigi yote ninayo kuanzia Pschool mpaka Jiwe.
Kitu pekee kwako ni kutokueleweka toa maelezo yanayonyooka. Umesema mwez wa 6-7, sasa miezi hiyo ndo nafasi zinatoka au ndo kuingia kambini?Bado mpo tu vijana?naona taratibu tu mtakubali maneno yangu,niliwaambia haya mambo ni hadi mwezi wa 6 au 7..fanyeni ishu zingine kwa sasa..wacheni kupeana maneno ya uongo mara mwezi huu hautaisha mara mwezi april..mark my words plz..ikiwa kabla ya june au april nitajitoa jf kwa kuudanganya umma wa watanzania.
Achana nae Tata.Kitu pekee kwako ni kutokueleweka toa maelezo yanayonyooka. Umesema mwez wa 6-7, sasa miezi hiyo ndo nafasi zinatoka au ndo kuingia kambini?