Kwa muda tu hii siyo endelevuMeza Flamar.. maumivu kwisha
Ulitumia dawa gani? Mimi nilishakua na shida ya meno nilitumia dawa za hospital na mitishamba ila yaligoma kutulia hadi nilipofanya root canalMie nina jino limetoboka sijaziba huu mwaka kama wa 3.
Mtu analala na mabaki ya chakula usiku mzima ambapo ni chakula cha bakteria wabaya lazima tu imletee shida, shida ya kinywa ni bakteria na huwa wanazalisha asidi na watu wengi unakuta mate yetu yamesha athiriwa na hii asidi inaathiri meno.Yes hili watu hawalifuatilii wanatumia dawa shida inarudi hawajui hii nayo ni muhim mi piga ua siwezi lala bila kuswaki
Ni muhim snn km una shida ya meno ht km huna
Angalia namna hata kwa kutumia leso yenye maji ya matunda hayo uipake kwenye jino or unaweza kusukutua nayoDuh jino la juu SS hapa ni mitihani
Hiyo dawa unitag kuna mtu pia ana pata shida.Huduma ya kwanza
Sukutua na Maji ya Chumvi ya moto
Matibabu
Tafuta dawa uuue hao wadudu dawa za antibiotics kuna dawa pakipambazuka nitakutumia utumie hiyo watakufa wadudu wote
Then waweza Juli'ngoa hilo Ila lazima uue hao bacteria wote
Nimeweka hapa Ila ngoja niweke tena.Hiyo dawa unitag kuna mtu pia ana pata shida.
Ahsante mzeeNimeweka hapa Ila ngoja niweke tena.View attachment 3411809
Asante pia , ,🙏🏽Ahsante mzee
Root canal kwa sasa ni bei gani mkuu kama hautajali?Ulitumia dawa gani? Mimi nilishakua na shida ya meno nilitumia dawa za hospital na mitishamba ila yaligoma kutulia hadi nilipofanya root canal
Sikutumia dawa yeyote zaidi ya kuzidisha usafi wa kinywa sikuwa naacha mabaki ya vyakula kinywani nilikuwa napiga mswaki asubuhi na usiku kabla ya kulala na wakati mwengine hata mchana nikiona kuna ulazima huo, nilipunguza ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi maana hata chanzo cha kutoboka jino ni kipindi ambacho nilikuwa nakula sana aina ya chakula ambacho kilikuwa na sukari sana. Dawa ya meno niliyokuwa natumia kupigia mswaki ni colgate ile nyeupe.Ulitumia dawa gani? Mimi nilishakua na shida ya meno nilitumia dawa za hospital na mitishamba ila yaligoma kutulia hadi nilipofanya root canal
Wapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia.
Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka huu limenianza hili la juu limetoboka linanipa shida sana
MSAADA WA DAWA yoyote nitumie kama naweza kupona haraka.
Ebwana Tumia sensodyine natural, nenda pharmacy ukizia dawa ya meno sensodyine ina beinkidogo mimi nina tatizo kama wewe imenisaidia sana sijangoa jino teena.polesana.Wapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia.
Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka huu limenianza hili la juu limetoboka linanipa shida sana
MSAADA WA DAWA yoyote nitumie kama naweza kupona haraka.
Zipo mkuuBibiharusi Pole sana unapatikana wapi? huko kwenu ndulele zipo?.
Asante mkuuTafuta mzizi wa ndulele au ndula ,tia mafuta ya taa kidogo kama nucta ,brush Hilo jino ukisikia mauvimu niite kima