Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,702
- 19,612
unamezaje hizi dawa mkuu DR HAYA LAND?Usisahau kuleta mrejesho Ila hilo jino waweza kulitoa ikiwa limetoboka au ukaliziba
Hiyo dawa inaua wadudu na maambukizi kwahiyo ikiwa huo upande wa jino unautumia kitafunia utakuwa haujaondoa tatizo 100% maybe unatumia upande mwingine kutafunia.