mager6
Senior Member
- Jul 5, 2025
- 180
- 283
Weka hapo palipotoboka ni utapata nafuu japo upate usingizi.Nimetafuna sana karafuu
Weka hapo palipotoboka ni utapata nafuu japo upate usingizi.Nimetafuna sana karafuu
Hizi dawa zinaua bacteria wa kwenye meno Ila pia zinasafisha damu ikiwa damu yako imechafuka .
Dawa hii ukotumia meno yatakuwa hayapati tena hiyo shida
Nb vidonge vina nguvu Sana hakikisha unakula , unashiba na unakunywa Maji ya kutosha.
Kukipambazuka niiwai pharmacyHizi dawa zinaua bacteria wa kwenye meno Ila pia zinasafisha damu ikiwa damu yako imechafuka .
Dawa hii ukotumia meno yatakuwa hayapati tena hiyo shida
Nb vidonge vina nguvu Sana hakikisha unakula , unashiba na unakunywa Maji ya kutosha.
View attachment 3411727
Karafuu nimezitafuna sana mkuuTafuta punje 5 za karafuu weka penye jino linalouma. Utapata matokeo
Sawa asanteeWeka hapo palipotoboka ni utapata nafuu japo upate usingizi.
Usisahau kuleta mrejesho Ila hilo jino waweza kulitoa ikiwa limetoboka au ukalizibaKukipambazuka niiwai pharmacy
Nitarejesha mrejesho mkuuUsisahau kuleta mrejesho Ila hilo jino waweza kulitoa ikiwa limetoboka au ukaliziba
Hiyo dawa inaua wadudu na maambukizi kwahiyo ikiwa huo upande wa jino unautumia kitafunia utakuwa haujaondoa tatizo 100% maybe unatumia upande mwingine kutafunia.
Mkuu sema matumizi yake ameze vingapi na mara ngapi? ahsanteHizi dawa zinaua bacteria wa kwenye meno Ila pia zinasafisha damu ikiwa damu yako imechafuka .
Dawa hii ukotumia meno yatakuwa hayapati tena hiyo shida
Nb vidonge vina nguvu Sana hakikisha unakula , unashiba na unakunywa Maji ya kutosha.
View attachment 3411727
Dozi amalize yote inachukua wiki moja atakuwa yupo fitiMkuu sema matumizi yake ameze vingapi na mara ngapi? ahsante
Tembe ngapi kwa na mara ngapi kwa siku?Dozi amalize yote inachukua wiki moja atakuwa yupo fiti
1 ×2Tembe ngapi kwa na mara ngapi kwa siku?
Chukua matula also known as ndulele, yale matunda yake, kamulia sehemu inayouma ila tahadhari, maji yake usimeze, dakika 3 jino linapoa na mdudu anakufa na unaweza kusahau hata issue za kungoa meno, nasisitiza, maji yake ya ndani dondoshea kwenye jino linalouma ila usimeze, baada ya hapo anza utamaduni wa kupiga mswaki kwa kutumia chumvi iliyochanganywa na limaoSawa sawa Mafuta ya Nazi sina ila mida ya saa nne nimesukutua na Maji ya chumvi sana