TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,722
- 20,748
Asante kiongozi 👍Kwa sasa sijajua, mimi nilifanya kama miaka mitano nyuma ilikua 30k kwa jino moja.
Asante kiongozi 👍Kwa sasa sijajua, mimi nilifanya kama miaka mitano nyuma ilikua 30k kwa jino moja.
Wahi kafanye root canal.Wapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia.
Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka huu limenianza hili la juu limetoboka linanipa shida sana
MSAADA WA DAWA yoyote nitumie kama naweza kupona haraka.
OkayAngalia namna hata kwa kutumia leso yenye maji ya matunda hayo uipake kwenye jino or unaweza kusukutua nayo
ExactlyMtu analala na mabaki ya chakula usiku mzima ambapo ni chakula cha bakteria wabaya lazima tu imletee shida, shida ya kinywa ni bakteria na huwa wanazalisha asidi na watu wengi unakuta mate yetu yamesha athiriwa na hii asidi inaathiri meno.
Mkuu ambayo natumia ni vigor doctorMkuu unatumia gani kupigia mswaki?
Jaribu whitedent ile nyeupe kabisa na ukipiga mswaki jaribu lile povu likae kidogo mdomoni au ukitema ukae kidogo kabla haujasukutua.Mkuu ambayo natumia ni vigor doctor
Kama unakunywa juice hasa hizi za matunda basi unajiongezea matatizo.
Hapana Nina kamda kutumiaKama unakunywa juice hasa hizi za matunda basi unajiongezea matatizo.
hapa niko nawewe pia hili nalijua maana hata maji ya ndulele yenyewe ni dawa ya jinoTafuta mzizi wa ndulele au ndula ,tia mafuta ya taa kidogo kama nucta ,brush Hilo jino ukisikia mauvimu niite kima
😄😄😄😄Isafi jmn wa kinywa na meno Muhim sn kabla hujalala everyday inasaidia Kwa kiasi kikubwa kupunguza, kuondokana na shida ya meno
Ndo maana sipendi deep kiss sbb hii🤣🤣
Dawa gan mkuu na mimi nnashidaHuduma ya kwanza
Sukutua na Maji ya Chumvi ya moto
Matibabu
Tafuta dawa uuue hao wadudu dawa za antibiotics kuna dawa pakipambazuka nitakutumia utumie hiyo watakufa wadudu wote
Then waweza Juli'ngoa hilo Ila lazima uue hao bacteria wote
Mkuu jino linansumbuaNitatoa siri ya dawa hii soon.
Mkuu jino linansumbua
Kuna mpare mmoja anayo ya uhakik npm nakupm namba yangu.niko dsm hapaWapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia.
Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka huu limenianza hili la juu limetoboka linanipa shida sana
MSAADA WA DAWA yoyote nitumie kama naweza kupona haraka.