Anayejua dawa ya jino, leo sijalala

Anayejua dawa ya jino, leo sijalala

Wapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia.

Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka huu limenianza hili la juu limetoboka linanipa shida sana

MSAADA WA DAWA yoyote nitumie kama naweza kupona haraka.
Tafuta uogoro uweke kwenye hilo jino linalo umaa ila usiweke ugolo mwingi wekaa kidoo tu....... utanishukru
 
Wapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia.

Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka huu limenianza hili la juu limetoboka linanipa shida sana

MSAADA WA DAWA yoyote nitumie kama naweza kupona haraka.
Chukua plaizi ulivute
 
Pole, jaribu gofen 400mg tds x3/7 kwaajili ya maumivu. Matibabu ni kung'oa au kuua mzizi
 
Wapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia.

Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka huu limenianza hili la juu limetoboka linanipa shida sana

MSAADA WA DAWA yoyote nitumie kama naweza kupona haraka.
Manganese. Nunua hiyo weka mdomoni kwa muda wa dk 3, tema usimeze na piga mswaki baada ya hapo kusafisha mdomo. Jino likiendelea tena kuuma, basi labda kama ulipgwa ngumi si la wadudu
 
Wapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia.

Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka huu limenianza hili la juu limetoboka linanipa shida sana

MSAADA WA DAWA yoyote nitumie kama naweza kupona haraka.
Balance hao bakteria wa kinywani kwako, bakteria wabaya wakiwa wengi(na hasa ukiwa unawapa nguvu kwa kuacha mabaki ya vyakula vyenye sukari) kuliko bakteria wazuri hapo matatizo ya kinywa lazima yakusumbue.
 
Dawa iliyoniponesha mimi bila kung'oa jino.

LIMAO1
MAFUTA YA TAA MILLS 10(VIZIBO2 VYA MAJI)
MAJI KIKOMBE 1 CHA CHAI

Namna ya kuandaa.

Katakata vipande vya limao kisha weka kwenye sufuria bandika jikoni
Tia maji yako kile kikombe chote cha maji.
acha ya chemke hadi limao zibadirike rangi.Kisha weka mafuta ya taa acha kidogo kisha ipua na yaache ya poe.

Tafuta mswaki wa mti kisha uwe unachovya yale maji unasukutulia na kudondoshea matone ya maji hayo kama jino lako lina shimo.

Fanya hivyo kutwa mara3 kwa siku3-5 mfululizo.Baada ya hapo wadudu wote watakufa kifo cha mende na hutpata shida hiyo tena
Hii dawa mkuu haina pingamizi ipo vizuri sana.hongera
 
Kvp inakuwa suluhisho kuondoa jino wakati shida ni bakteria wabaya waliyo kinywani? Mleta mada kasema keshatoa meno matano.

Na hili atalitoa, na ndo suluhisho, hakuanza kubisha Leo, alipotoa kuanzia la kwanza mpaka la 5, na anaendelwa kubisha, hiyo ndo sawa hata ya kuisha.

Kuna wakati dawa ya mtu kupona ni kukata miguu mi 2, hata ukihairisha mwisho utaikata tu, hakuna namna, ndo suluhisho, hakuna lingine.
 
Watu wabishi kweli hata umshauri vp haelewi yeye kesha kariri dawa ni kung'oa tu.
 
Pole sana mkuu binafsi mpaka mwaka 2005 nilikuwa tayari nishang'oa meno matano na lingine likawa lina fuata mkumbo wa kuoza. Nilipata kupitia zoezi la kuziba ambalo ni suluhisho la muda mfupi si zaidi ya wiki mbili utarudi kule kule! Hii miti shamba siyo ya kuipuuza hata kidogo! Mzee mmoja akanituma kutafuta ndulele na mzizi wa mnyonyo akazikata ndulele katikati akaosha ile mizizi akachemsha akaweka chumvi na majivu kidogo ule mchemsho ukachemka kama dak 5 akaipua ulipoa kiasi cha uvuguvugu nikasukutua mara moja tu aisee yale maumivu niliyo yapata! Baada ya dakika kama 20 hivi yakapoa na sijawahi pata tena changamoto ya meno tangu ile siku mpaka sasa na lile lilokuwa limeoza liliendea kumeguka tu lenyewe vipande vipande hadi likaisha lenyewe!
 
Back
Top Bottom