issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,805
- 12,606
Mawazo mazuri hayaji ukiwa na njaa bobKumbe ukiwa nashida ndogondogo huwezi kuwa mawazo mazuri
Mawazo mazuri hayaji ukiwa na njaa bobKumbe ukiwa nashida ndogondogo huwezi kuwa mawazo mazuri
Midinyano naogopa kutengenezewa maPDF humu 😂😂😂Akisema midinyano ipo watu watauana kuwahi nafasi..!! 😹😹😹
We mkali nenda utajua huko huko..!!
Ni kweli kabisa 💯Vichache sana , au kama hamna ila kibinadamu hutakiwi kujikamilisha
Nataka niombe booking kuanzia October hukoMkuu mboga laini kabisa hii, ngoja kwanza🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Midinyano naogopa kutengenezewa maPDF humu 😂😂😂
I mean no malice to nobodyUnyamaze na kucomments sasa
Kaka mna onaje familia ya ma jobless pro max, tupange trip 2-3 kuanzia mwezi wa 11 au 12Kwenye kusafiri hapo count me in... So tell me next journey yako umepanga iwe wapi? Both ndani na nje...
So nijiandae mwezi wa ngapi?Kama zilivyopangwa 🇧🇷na 🇵🇾 ni safari moja.
Hujui kusoma au? wapi nimesema natafuta mwanaume?Ukute ulipokuwa na miaka 20-25 ulikuwa hutaki wanaume kibao...
Sasa umechoka huchagui Tena wanaume
pambavu
Jifunze comprehension kwanza, ndiyo uanze kushauri wengine.Iwe funzo Kwa wanawake wengine
Ndio maana kura yangu nilikupigia halafu nikakoleza wino wa peni, ile tick ikawa ya 2D yaani nimeichora halafu nikasiriba... Hii tuifanye lini mkuu? 😅😅😅Kaka mna onaje familia ya ma jobless pro max, tupange trip 2-3 kuanzia mwezi wa 11 au 12
Kuja wapi? Niko hapa nimekosa tu sehemu ya kuja! RafikiNimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Hahaha, let's pre book it. Kisha tuta ijadili. Utalii muhimu.Ndio maana kura yangu nilikupigia halafu nikakoleza wino wa peni, ile tick ikawa ya 2D yaani nimeichora halafu nikasiriba... Hii tuifanye lini mkuu? 😅😅😅
Hao kina anonymous eti hawataki kuonana na watu wanasema😂😂😂Hahaha, let's pre book it. Kisha tuta ijadili. Utalii muhimu.
familia mna onaje hili mwezi wa 12? kina Razorblade, Selikavu, dosho12, Edo kissy, Smooth Criminal, BLACKTIGER
UKIMPATA ATAKUWA KICHA MWENZIOONimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Makunguru hao, hata huyu Half american ni muoga ka nyokaHao kina anonymous eti hawataki kuonana na watu wanasema😂😂😂
Makritiko sinka wa jf hao mkuu a.k.a wapiga spana so wanajilinda😂😂😂😂Makunguru hao, hata huyu Half american ni muoga ka nyoka
Tutaenda wapiHahaha, let's pre book it. Kisha tuta ijadili. Utalii muhimu.
familia mna onaje hili mwezi wa 12? kina Razorblade, Selikavu, dosho12, Edo kissy, Smooth Criminal, BLACKTIGER