Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
- Thread starter
- #261
Ila bado umeona ucomment kwenye hiyo nyuzi ya huyo mwanamke.Sina cha kubadilishana mawazo na mwanamke.
Waja mna shida 🤦♀️
Ila bado umeona ucomment kwenye hiyo nyuzi ya huyo mwanamke.Sina cha kubadilishana mawazo na mwanamke.
interest( and experience) in business? Ukiachana na urafiki,vipi malengo ya maendeleo ya pamoja? Business and investment partnership in particular?Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Asante sana mkuu, I appreciate this 🙏Dah yaani humu ndani unaweza Kuta mtu ana kitu Cha maana akatoka mtupu... Lakini sio Kila kitu ni Kwa ajili ya Kila mtu nimtie moyo mtoa mada katika wengi watakao kuja kuna wachache watakua sahihi katika chaguo lako
Naitwa Nasoro Katuga search GoogleJitambulishe, usiogope, hakuna mtego!
Sawa, Inshallah siku moja nitafikaSiku moja, uje utembee. Kuna msemo wa professor Jay wa mitulinga, anasema njoo muone Brunei watu wanavyo mwaga radhi
Na kule kukunjwa kama kambale basi mwili hutengeneza adrenaline na endorphinKweli maana mpaka nhwele za donut zinasimama kwa utamu
Oya mshangazi! Avatar yako inaakisi muonekano wako?Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Yani hata mahari hutoi, unaniteka tu 😅Nakutegeshea upo kwa shoga nakubeba bila hiyari yako kuanzia hapo unaanza kuitwa Mrs mimi
Kapicha tena 😂 😂 😅Mimi ungeweka na kapicha kidogo ningekuja 🤣
Karibu sana, bossSawa, Inshallah siku moja nitafika
Oya mshangazi! Niko vacation nje kidogo ya mji wa Arusha, unaweza kujoin tuchili?Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Humo humo kwenye umri, hujakosea kabisa 😆 😅Najiuliza tu, nyama itakuwa laini sana hii🤣🤣🤣
Toa neno " mzee mwenzangu" kwenye matamshi yako. Wewe ni kinda sana, nyama laini bado🤣Humo humo kwenye umri, hujakosea kabisa 😆 😅
Swali zuri, malengo ya pamoja na ushirikiano vinawezekana.interest( and experience) in business? Ukiachana na urafiki,vipi malengo ya maendeleo ya pamoja? Business and investment partnership in particular?
Kama ni wa kiume mtaishia kuchapana tu, hakuna urafiki wa me na ke!!Swali zuri, malengo ya pamoja na ushirikiano vinawezekana.
Muhimu ni kutengeneza foundation nzuri ya urafiki yenye uaminifu na maelewano.
Pia, kuwa na mawazo yanayoendana kibiashara na kiuwekezaji.
Happy to find a friend ambaye tunaweza kushare mambo haya ya kimaendeleo.