Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,432
Thecoder jibu hiliTutaenda wapi
Thecoder jibu hiliTutaenda wapi
Huwa siogopi kitu, mchawi hirizi 😂Makritiko sinka wa jf hao mkuu a.k.a wapiga spana so wanajilinda😂😂😂😂
Unyama tuuHahaha, let's pre book it. Kisha tuta ijadili. Utalii muhimu.
familia mna onaje hili mwezi wa 12? kina Razorblade, Selikavu, dosho12, Edo kissy, Smooth Criminal, BLACKTIGER
Ooh!! Teh teh tehee teehee,nimependa jibu lako,nadhani hatorudia muulizaji.Sina, mimi ni kilema nakaliaga tumbo 🙄
😂😂😂Huwa siogopi kitu, mchawi hirizi 😂
jitahid weekend Hii kama utaenda NAMI nione yule mkufunzi Mzee UDSm kwann aliamua akiwa juu yako kutembea kama Gali beba mkaa.....sababu za atembee taratibu Kwa uhakika😅 😆
Sina wa kunichukua video 😎
Ngorongoro, moshi, tanga, singida + Kenya and RwandaTusogee hata ngorongoro pale.
Sawa, nikaribie wapi?Binti wa zamani Karibu am in.
Hii imekaa poa mkuu isimamie.Ngorongoro, moshi, tanga, singida + Kenya and Rwanda
Ondoa shaka, kheri ijalieHii imekaa poa mkuu isimamie.
jichanganye ujute bolingoMakunguru hao, hata huyu Half american ni muoga ka nyoka
Unaongelea urafiki lakini pesa mbele halafu hutaki kuulizwa kuhusu mahusiano. Means unataka marafiki wa kiume wenye hela, inshort unatafuta buzi ulichune. Hakuna open minded wala cha exposure.Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Pia zingatia;Zingatia: Asiyejua maana, haambiwi maana!
Vijamaa ambavyo vipo arosto ambavyo vinaonja 2,3 vinafaa?😀(Msela anatest zali)Wewe ni mtu wa maana sana mwanakwetu, niletee malisafi hiyo ila izingatie vigezo tu!
Ngoja kwanza niwaite wanaume... Wanaume.......imetepeta hiii 🤣 🤣Hapana, ndiyo nini hicho
Wala simhitaji huyu rafiki yako mimi....nilishamtongoza-ga miaka mingi hapa JF akanikataa waziwazi.Hajasema anataka mpenzi.
Mbona waungwana mnatoka nje ya script 😹😹😹