Umri ni negotiable ikiwa vigezo vingine vimetimia na tutaweza kuelewana.Wenye sitini haturuhusiwi sio
Mhhh punguza ukali w manenoSi useme moja kwa moja kutombana 😂
Son 😍Mama ake
Mama angu mie
My only mom
We mtoto utanikosesha marafiki na hekaheka zako, ngoja nakupigia unisimulie imekuwaje tena!Mama naomba unijibh hv ulinilisha dawa gani nikiwa mtoto mbona nina maumbile ya ajabu hv mpaka imekua kero kwangu
Sioni haja ya kupunguza hamna mtoto humuMhhh punguza ukali w maneno
Tunaanzia hapa hapa kwenye replies, nikiwa convinced nitakuPMKuja wapi? Niko hapa nimekosa tu sehemu ya kuja! Rafiki
Twende nairobi mrembo bill yote juu yanguNimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Kumbe ile ni high adrenalin activity....mtoto una matusi wewe eti kutombanaSi useme moja kwa moja kutombana 😂
WEwe una akili..ngoja wanaoongozwa na nyege wajae kwenye mtikatikaHuu mteego aliwekewa Nasoro Katuga na akanasa, ngoja tuone wanaoenda kunasa huko PM mimi nimeshtuka mapema sana
Yeh kutombana ni high adrenaline activitivty piaKumbe ile ni high adrenalin activity....mtoto una matusi wewe eti kutombana
Asirudie, mimi utakavyokuja ndiyo nitakavyokupokea 😂 😂Ooh!! Teh teh tehee teehee,nimependa jibu lako,nadhani hatorudia muulizaji.
My loveSi useme moja kwa moja kutombana 😂
Nambie mchizi botiMy love
Daaah, nimekosa cha kusema 😂 😂jitahid weekend Hii kama utaenda NAMI nione yule mkufunzi Mzee UDSm kwann aliamua akiwa juu yako kutembea kama Gali beba mkaa.....sababu za atembee taratibu Kwa uhakika
sisi wajuvi tunajua umuhimu wa hiyo miguu ilivyokaa vidole vyako miguuni vimebana sana
Je mimi mwenye 26 naruhusiwa piaNimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Usaili ni hapa hapa kwenye uzi, jitambulishe hata kidogo nijue nataka kukukaribisha PM au lah 😅Popote kwenye usaili wa urafiki mpya mkuu.
Mchizi boti?!Nambie mchizi boti
😹😹😹 Pole kiongoziWala simhitaji huyu rafiki yako mimi....nilishamtongoza-ga miaka mingi hapa JF akanikataa waziwazi.
Nilimwachia Mungu.
Brunei, bongo nyoso mkuuUnahamia wapi? na nini kimekuchosha Bongo?