Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,911
- Thread starter
- #121
Pole sana Mandingo!Vile Sina vigezo kwa mshangazi,View attachment 3445627
Pole sana Mandingo!Vile Sina vigezo kwa mshangazi,View attachment 3445627
My kaka wa thamani kabisa 😍
Alikuwa anajitunza mkuu.....si hatutaki wanawake wanaogawagawa....Ukute ulipokuwa na miaka 20-25 ulikuwa hutaki wanaume kibao...
Sasa umechoka huchagui Tena wanaume pambavu
Iwe funzo Kwa wanawake wengine
MIDINYANO mbelw kwa mbele 🎻🎷🎺🎙️🎹Akisema midinyano ipo watu watauana kuwahi nafasi..!! 😹😹😹
We mkali nenda utajua huko huko..!!
Sasa best hata nikitaka nikuhugg mikono isiwe na kituo kweli?Sasa kweye urafiki kalio la kutetema la kazi gani?
Sambona hasira 😄Sina, mimi ni kilema nakaliaga tumbo 🙄
Wa mtaani hawafai lakini wa JF tumefikiwa 🤣Late 80s ndio 87, 88, 89 wakuu?1🤣
😅 😆kawe nayo ni Rome
Sina wa kunichukua video 😎Sasa nitumie kavideo au picha ukiogelea ukiwa umeyalalia maji mgongo ukipiga pizi Kwa kutanua tanua miguu......Fanya mama angu nione kidogo tu
Mkuu mboga laini kabisa hii, ngoja kwanza🤣🤣🤣Wa mtaani hawafai lakini wa JF tumefikiwa 🤣
Daaah, na yale mavituz yako, tukiunganisha vikojoleo si tutaharibu urafiki kabla haujaanza 😆 😅Mimi ni kama wewe, kasoro VIKOJOLEO vyetu tu.
Na kwanini vikojoleo visiwe together as one 😂🤣
Mapenzi tele friend 😍
Hajasema anataka mpenzi.Alikuwa anajitunza mkuu.....si hatutaki wanawake wanaogawagawa....
Ooh ipi itaanza hapo? Or ni kama zilivyopangwa😅Next Brazil, Praguay na Kilwa
Kama zilivyopangwa 🇧🇷na 🇵🇾 ni safari moja.Ooh ipi itaanza hapo? Or ni kama zilivyopangwa😅