Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.

Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.

Muhimu:
  • Uwe na exposure
  • Uwe open minded
  • Uwe unajitegemea
  • Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
  • Usiwe na shida ndogo ndogo

Kuhusu mimi:
  • Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
  • Mwajiriwa
  • Makazi (Arusha / Dar / Rome)
  • Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.

Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.

Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.


Asante na Alamsiki!
mhii
 
🤣🤣🤣
MAPDF kitu gani? Unaangalia unayefanya naye midinyano ana akili ya kiume au ya kitoto? Nitaomba mwezi October nikutafute popote ulipo
Niliona yakishushwa huko, nikashukuru kwa kutothubutu kuunganisha vikojoleo na wanaume wa humu.
Sawa, October si mbali!
 
Back
Top Bottom