Anataka mchukua mwanangu kinyemela

Anataka mchukua mwanangu kinyemela

Baba yako kukukataa unafurahia au? Baba yako na baba wa huyo mtoto wamefanana..na dawa yao ni kunyimwa watoto.
.
.
Pole kwa kukataliwa. Lakini ili kuwakomesha na kuwafundisha wanaume wanaotelekeza watoto adhabu ndio hiyo! Hakuna namna! Pole sana.
Tatizo lako huelewi, ngoja nikuache basi mwambie afanye unavyo mshauri
 
Kama una akili sawasawa huyo jamaa sio wakupewa mtoto...kama unaweza kumlea komaaa mwenyewe...sisi wanaume sometime sijui tunakuwagaje...halafu anaonekana ni wale wapenda miteremko..unakuja kumwona mtoto hata pipi yakijiti huna???au mlitiana mimba wote mkiwa watoto..
KWANI USIPOPELEKA ZAWADI MKUU INAKUFANYA WEWE KUTOKUWA BABA?..
 
Yes mwache amuite my prince. Huyo baba hana nafasi alitelekeza mtoto kwa roho yake ya ubinafsi halafu aje kumtaka mwanae kwa Muda anaotaka yeye. Huyu mwanamme ni zaidi ya mshenzi. Mama husiruhusu mtoto wako achukuliwe na ile dudu, mlee mwenyewe mwenyezi Mungu atakubariki tu.
SASA KAMA BABA WAKATI HUO HAKUWA NA UWEZO WAKUTOA HUDUMA JE?...SASA AMEPATA KAUWEZO AMEKUMBUKA JUKUMU..SASA HUYO MWANAMKE ANAPOMKATALIA SASA..ANAFANYA MAKOSA CUZ HATA AKICHUKULIWA HAITABADILI UHALISIA KUWA YEYE NI MAMA WA MTOTO..SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA MGOGORO.....

IKUMBUKWE...MTOTO ALIYEFIWA NA BABA HUITWA YATIMA..LAKINI SIO ALIYEFIWA NA MAMA...HII INAMAANA KUWA BABA NI MUHIMU..KWA WAKATI WAKE...AMBAO NADHANI NI SASA.MTOTO AKIWA ANA UWEZO WA KULA..KUONGEA..KWENDA MSALANI N.K..SASA MAMA ALITAKA MWANAUME ACHUKUE MTOTO AKIWA ANA MIEZI MIWILI??AKANYONYESHE NANINI?(NA KAMA ANGEMPA MTOTO AKIWA NA MIEZI MIWILI BASI NAYEYE MAMA ANGEKUWA HANA UMUHIMU TENA KWA MTOTO KWA SASA KWA MAANA KUKUFANYA YALIYOMPASA KWA MUDA MUAFAKA..KULEA..SASA NI MUDA MUAFAKA WA BABA AMPE NAFASI)
 
Aisee mimi nilijua YATIMA NI MTOTO ALIEFIWA NA WAZAZI WOTE WAWILI........
 
Mtoto anahitaji mapenzi ya wazazi wote pale tu anapokua na kunawiri? Umemfikiria mama aliyebeba mimba mwenyewe bila upendo wowote wa baba na mtoto akazaliwa mpk amekua ana afya nzuri hakupata upendo wa baba? Na mbaya zaidi baba yupo na anafahamu ana mtoto hawajibiki kwa chochote... Acha kabisa wewe bora ukae kimya maana huelewi situatiatio za wamama waliotelekezwa.

Kabisa
Haya mapenzi ya baba wameyajua ukubwani, kuna watu wanaishi na baba zao nyumba moja lakini ni kama hawana baba
Mtoto aki feel kuna gap mahali au upweke basi ujue kuna kitu anamiss, lakini uki play roles zako vizuri akapata exposure & kumlea kwenye maadili, wanakuwaga watoto wazuri balaa
 
Usije ukaniletea ban, yaani umefulia mwaka, 2,3 mwanao hali hanywi? Wewe ulivyofulia unakaa wee huli chakula? Ama kwakuwa huyo mtoto ni extra unatoa matunzo ukiwa na hela ya extra? Maisha ya mtoto umefulia mwaka? Mungu nifundishe kunyamaza

tehe tehe tehe kweli huyo asije akakufanya upewe ban, kufulia kumeanza mimba tu ilivyoingia
 
Nakunukuu** ukishindwa kumlea utampa kwa hiari yako,,,mwsho wa kunukuu

Kitu kimoja unachosahau ni kwamba ni mwanae tu,utake usitake na wewe unajua hilo.

Pili utajisikiaje akishafikisha umri huo na akamchukua kisheria? Unadhan haitakuuma zaid ya sasa??

Kosa kubwa mlifanya wote kuzaa kabla ya ndoa japo imeshatokea haina jinsi ila kumbuka ikifikia mtoto akianza namtaka baba yangu hakuna rangi utaacha kuona,leo unafuraha nae sababu ua age yke lakin akikua ule uzur wake unaousema hapa hutauona tena maana atakusumbua kila siku namtaka baba yangu.

Na ukimuaminisha kwamba yule sio baba yake madhara yake ni kwamba huyo ulienae leo akifa utauficha wap sura yko jumwaminisha tena ndio baba yake??

Leo unasema tu sababu una uwezo wa kumtunza bt je binadam hajafa hujaumbika,umeshajiuliza likitokea ukatangulia wewe itakuaje?au ukapata ulemavu wa kudumu japo sikuombei then ulie nae akukimbie utamrudiaje jamaa amlee mwanae??

Uwezo wako wa kumlea hauhalalishi kwamba yule sio mwanae au huwez mpatia mtoto japo alikutenda zaman bt still ni baba yake hata dunia inajua na Mungu anajua,,

Ushauri

KWANZA msamehe kwa yte,ondoa sumu yote uliyoipanda kichwan mwako,then mwambie mwanao ukwel wote na ampende baba yake km mzaz halis kwake,

PILI- kaa na shauriana na huyo mtu ulienae sasa umwambie mwanzo mpka mwsho then umsikilize mawazo yake kwa faida ya mwenenu,

TATU-huyo mtoto ukiweza na ukajua kabisa kwamba jamaa anaweza kumtunza vizr mpe muda ukifika,maana nahakika mwanaume hyo anauwezo wa kuvuruga mahusiano yako ya sasa kulko kipindi kingine chochote kwa kigezo cha huyo mtoto.

Mwisho,kama moyo wako upo radhi msameh na mrudiane japo ingekua mm nikiachana na mtu,yaan ikafika kwamba mm na wewe bas kiukwel Mungu anajua siwez kukurudia asilan,wala mtoto hawez kunifanya nikakurudia asilan,tatizo hapo nikichunguza kwa jicho langu la tatu naona una mawasiliano mengi na jamaa so huyo ulie nae kwa sasa unajua roho yake inajisikiaje?? Inaweza fika kipind ukawa umechelewa au kuwah sababu hutaona raha yyte kwenye mahusiano mapya wala kwa mtoto kisa tu umeshindwa kuchukua hatua mapema,na navyojua ukimpa na ukawa unaenda kumsalimia hakika lazima jamaa akugegede kubali kataaa... Ninauzoefu na kesi nying za namna yako na najua wapi pa kushika na kipi kifanyike. Pole sana rafiki

Tchao kwa sasa ila nitarud
 
Huwa natwist umri wa mwanangu ili mhusika asijue

Bt kweli anamtaka mtoto,that's the ishu here wakati bado mdogo
We mwanamke, nakuomba sana sana huyo MTU asimkaribie mwanao hadi hapo mwanao atakapooota ndevu...

Mwanamke anapokuwa mja mzito anahitaji upendo Wa hali ya juu (Hata kwa maneno tu kama umefulia) lakini huyo jamaa katelekeza ujauzito hadi mtoto (kiumbe chake)

Na bado jinsi alivomjinga na asiyejutia Hakumletea mwanae hata pipi...so huyo ni katili na asiyejali.Anaonekana akimchukua huyo mtoto na kulelewa na mama Wa kambo mwenye roho mbaya huyo jamaa hatojali
 
Akifikisha umri wa kujitambua,sijamnyima kumwona mwanae,yeye kujiweka pembeni na kuishia kuchukua picha za mwanangu wattsup,bila kujua anakula nn wala anavaa nn hakumpi haki kumchukua eti kisa amependeza na anaona sasa wamefanana kama mapacha.
oouh basi sawa
 
Ndio anapenda mteremko kweli.halafu ananambia nasikia siku hizi uko njema kweli nimepata story zako,umepewa kitengo.can you imagine?

Anapita ubungo hata kumchukulia mwanae kaptula ya mtumba ya buku 2 hajali,halafu nimpe mtoto?kweli?

No tulimpata my prince tukiwa na akili zetu timamu,tena kwenye mahusiano yalokuwa imara .sema alivyo zaliwa mtoto tu akasepa zake,akanambia yeye bado kijana mbichi nisimzeeshe na majukumu.akakata mawasiliano.nikapiga moyo konde nikalea mwanangu kwa upendo naamani kabisa.

Tena mtoto ana furaha muda wote yeye ni kucheka sababu sikutaka mapito niliyo pita yaathiri ukuajia wake.
You are very strong!na una huruma!kwa kauli alizotoa,mie asingeona hata sura ya mtoto,labda mtoto amtafute mwenyewe atakapokuwa mkubwa!!
 
Nakunukuu** ukishindwa kumlea utampa kwa hiari yako,,,mwsho wa kunukuu

Kitu kimoja unachosahau ni kwamba ni mwanae tu,utake usitake na wewe unajua hilo.

Pili utajisikiaje akishafikisha umri huo na akamchukua kisheria? Unadhan haitakuuma zaid ya sasa??

Kosa kubwa mlifanya wote kuzaa kabla ya ndoa japo imeshatokea haina jinsi ila kumbuka ikifikia mtoto akianza namtaka baba yangu hakuna rangi utaacha kuona,leo unafuraha nae sababu ua age yke lakin akikua ule uzur wake unaousema hapa hutauona tena maana atakusumbua kila siku namtaka baba yangu.

Na ukimuaminisha kwamba yule sio baba yake madhara yake ni kwamba huyo ulienae leo akifa utauficha wap sura yko jumwaminisha tena ndio baba yake??

Leo unasema tu sababu una uwezo wa kumtunza bt je binadam hajafa hujaumbika,umeshajiuliza likitokea ukatangulia wewe itakuaje?au ukapata ulemavu wa kudumu japo sikuombei then ulie nae akukimbie utamrudiaje jamaa amlee mwanae??

Uwezo wako wa kumlea hauhalalishi kwamba yule sio mwanae au huwez mpatia mtoto japo alikutenda zaman bt still ni baba yake hata dunia inajua na Mungu anajua,,

Ushauri

KWANZA msamehe kwa yte,ondoa sumu yote uliyoipanda kichwan mwako,then mwambie mwanao ukwel wote na ampende baba yake km mzaz halis kwake,

PILI- kaa na shauriana na huyo mtu ulienae sasa umwambie mwanzo mpka mwsho then umsikilize mawazo yake kwa faida ya mwenenu,

TATU-huyo mtoto ukiweza na ukajua kabisa kwamba jamaa anaweza kumtunza vizr mpe muda ukifika,maana nahakika mwanaume hyo anauwezo wa kuvuruga mahusiano yako ya sasa kulko kipindi kingine chochote kwa kigezo cha huyo mtoto.

Mwisho,kama moyo wako upo radhi msameh na mrudiane japo ingekua mm nikiachana na mtu,yaan ikafika kwamba mm na wewe bas kiukwel Mungu anajua siwez kukurudia asilan,wala mtoto hawez kunifanya nikakurudia asilan,tatizo hapo nikichunguza kwa jicho langu la tatu naona una mawasiliano mengi na jamaa so huyo ulie nae kwa sasa unajua roho yake inajisikiaje?? Inaweza fika kipind ukawa umechelewa au kuwah sababu hutaona raha yyte kwenye mahusiano mapya wala kwa mtoto kisa tu umeshindwa kuchukua hatua mapema,na navyojua ukimpa na ukawa unaenda kumsalimia hakika lazima jamaa akugegede kubali kataaa... Ninauzoefu na kesi nying za namna yako na najua wapi pa kushika na kipi kifanyike. Pole sana rafiki

Tchao kwa sasa ila nitarud
YOU ARE SMART MKUU
 
Unafkiri ubaba ni uwezo wa kutoa mbegu tu na kuzalisha then ukimbie?chaaaa yaani kwanza baba asiyehudumia mwanangu nabadilisha mpaka jina la ukoo analotumia atatumia la kwangu na kingine hakuna ugumu mm kumwambia ww ulishakufa kitambo
Yaani,umenena vyema mkuu
 
Kuna sababu nyingi nyuma ya pazia you never know, tatizo lenu akina mama wagumu kuelewa mnataka kila mnachokitaka kifanyike kwa wakati huo, mtu akikuambia kafulia ujue kafulia kweli.
Kama umefulia kwa nini uzae?
 
Aisee mimi nilijua YATIMA NI MTOTO ALIEFIWA NA WAZAZI WOTE WAWILI........
IKO HIVI MKUU....

KWA BINADAMU..TAFSIRI YA YATIMA NI MTOTO ALIYEFIWA NA BABA..(KWA MAANA BABA NDIYE ANAYEHUSIKA KATIKA KIWANGO KIKUBWA CHA MAISHA YA WATOTO..MALAZI,MAVAZI,CHAKULA,MATIBABU,MALEZI THABITI N.K)..HIVYO KUTOKUWEPO KWAKE MAPUNGUFU NI RAHISI KUONEKANA.MUME AKIFIWA NA MKE HUWEZI SIKIA ANAHITAJI KUSAIDIWA KULEA WATOTO NA JAMII..LAKINI NI KINYUME CHAKE MKE AKIFIWA NA MUME.

KWA UPANDE WA WANYAMA...YATIMA NI MNYAMA ALIYEFIWA NA MAMA..KWA MAANA MAMA NDIYE MTOAJI HUDUMA MKUU..CHAKULA,MALAZI,USALAMA,MALEZI N.K.HIVYO UKICHUNGUZA MADUME KATIKA JAMII YA WANYAMA KAZI YAO KUPANDA MBEGU NAKUONDOKA..HIVYO HIVYO KWA NDEGE..JOGOO MMOJA ANA TETEA 100 NA WATOTO WAKIPATIKANA HAUSIKI KUWATAFUTIA CHAKULA WALA KUWALINDA..LAKINI KAMGUSE TETEA UKITAKA CHUKUA WATOTO WAKE UTAELEWA.
 
Tatizo lako huelewi, ngoja nikuache basi mwambie afanye unavyo mshauri
Sawa mkuu. Naweza nisikuelewe kwasababu sijapitia situation kama yako.
.
.
Ila nadhani mimi nimekuelewa vzr tu ndugu yangu, natambua sana mtoto anahitaji malezi ya baba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom