Anataka mchukua mwanangu kinyemela

Anataka mchukua mwanangu kinyemela

Aisee hata mi nimeshangaa sana asee

Bidada ana mapenzi ambayo siyo ya nchi hii mweeh!

Mwanaumejl hajawahi kukusaidia/ hakusaidii lolote , yet mtoto kazaliwa hata kuleta chungwa, pipi, nepi hajawahi na hatawahi shoga hata kama kupenda sio huku asee!

Kiukweli inaoneshwa shost toka azalishwe hajapata mwanaume ambae anampenda coz angemsahaulisha hiki kimeo!
Usilipe ubaya kwa ubaya,ubaya hulipwa kwa wema,ndomana yangu yananiendea vizuri tu.
 
Sina ugomvi naye,nachopinga ni kuchukua mtoto wa under 5years,akalelewe bila malezi ya mama yake,ilhali sijashindwa kumlea.sasa hata kazi nafanya ili iweje?ninunue mawigi na mavazi ama?i work for my boy.
Sasa kama hamna ugomvi sj muoane mumlee mtoto wenu
 
Una roho nzuri sana Latoya . mimi hata sura ya mwanae asingeijua.
No,nilimpotezea nikawa busy kutafuta shilingi,yeye ndo alianza jitangaza kwa watu kwamba mtoto wa latoya mimi ndio baba yake,manake nilifunga vioo mazima.ikawa watu wakiniuliza nawaambia si kweli.alikuwa anatafuta hata favor za kazi zake kupitia jina langu,wadau wakawa wanampatia halafu wanakuja niambia,ila nikawa namkana and hadi leo sijawahi mpa attention yeyote.sema kunifatafata na kutaka mwanagu ndio kunakonikera.
 
Yuo confused nimesoma comments zake anajichanganya mno. Ukweli ni kwamba bado anampenda jamaa. Sema baby dady haeleweki ndo maana. Hata boyfriend alienae hajajaza nafasi vizuri(angejaza asingefunguka hapa kwamba nae ana mtoto kwa mwanamke mwingine ni kumchoresha tutu)
Aisee hata mi nimeshangaa sana asee

Bidada ana mapenzi ambayo siyo ya nchi hii mweeh!

Mwanaumejl hajawahi kukusaidia/ hakusaidii lolote , yet mtoto kazaliwa hata kuleta chungwa, pipi, nepi hajawahi na hatawahi shoga hata kama kupenda sio huku asee!

Kiukweli inaoneshwa shost toka azalishwe hajapata mwanaume ambae anampenda coz angemsahaulisha hiki kimeo!
 
Sasa kama hamna ugomvi sj muoane mumlee mtoto wenu
No wanasema never go back to the person who left you,when you needed them the most.
Mapito aliyonipitisha nikirudi huko nitakuwa zaidi ya lofa.
Tena alifanya hayo when my prince was an infant,sijatoka hata ndani kula uzazi.chapter closed.
 
No,nilimpotezea nikawa busy kutafuta shilingi,yeye ndo alianza jitangaza kwa watu kwamba mtoto wa latoya mimi ndio baba yake,manake nilifunga vioo mazima.ikawa watu wakiniuliza nawaambia si kweli.alikuwa anatafuta hata favor za kazi zake kupitia jina langu,wadau wakawa wanampatia halafu wanakuja niambia,ila nikawa namkana and hadi leo sijawahi mpa attention yeyote.sema kunifatafata na kutaka mwanagu ndio kunakonikera.
Mfungie vioo huyo. Hata akimchukua mtoto hataweza kumlea.
 
Yuo confused nimesoma comments zake anajichanganya mno. Ukweli ni kwamba bado anampenda jamaa. Sema baby dady haeleweki ndo maana. Hata boyfriend alienae hajajaza nafasi vizuri(angejaza asingefunguka hapa kwamba nae ana mtoto kwa mwanamke mwingine ni kumchoresha tutu)
Its ur opinion and u are entitled to it,furthermore you have every right to believe whatever you want.Its a free country and that's one of ur constitutional right.good morning.
 
Habari za mida wanabodi
Nikiri tu mimi ni member mzuri sana wa JF.Ok tuache soga ndefu,ni hivi kuna mwanaume nilizaa nae kitambo kiasi na baada ya mtoto kuzaliwa tu akanipotezea mimi na mwanangu.Bt hey tembo hashindwi na mkonga wake nikamlea mwanangu peke yangu since mimba hadi saivi akiwa kijana flan amazing,ana afya bora,ana akili sana,etc

Niliamua kufanya hivyo baada ya yeye kujitenga na kutonisupport kwa lolote si mimi wala mwanangu.Nikaacha kumuomba matumizi na kadhalika in short nilikata mawasiliano naye kabisa.mwanzo nilikuwa namsihi aniboost hata matumizi ya mtoto akagoma,so nikafanya maamuzi magumu,nikamwacha aendelee na maisha yake na nikawa single mom rasmi and am proud of that.

At the moment mimi na my prince we are ok,ana afya bora thanks to my GOD,and mimi pia nina mahusiano na mtu mwingine tayari and we are happy.

Ishu niliyoileta mhusika,baba wa mwanangu ameanza kufanya mawasiliano,its ok ukizingatia niko na mwanae.tatizo ananisihi nimpe mwanangu anisaidie kulea,ila naona kama trick ya kutaka kumchukua kijana wangu jumla.

Mara zote nimemwambia subiri atimize miaka saba then afate taratibu za kisheria amchukue.Anadai amemmiss mwanae anataka kuishi naye na hatonizuia kumuona.funny !!!mtu ambaye hajawahi toa hata mia ya chakula cha mwanae leo anaona ana haki ya kuchukua furaha yangu.ukizingatia ana kipato kizuri tu.

Amenambia kama ni mtoto mwingine atanipa,ila mie nimemjibu siko tayari kuzaa naye tena.Kwani alinitelekeza mimi na mwanangu.huko aliko azae mtoto mwingine ama wengine huyu nataka nimlee mwenyewe .He is my joy,life and prestige(my son,my little man).

Naombeni ushauri kwakuwa najua jamaa anataka kumchukua mwanangu mazima.jambo ambalo siko tayari.nashukuru Mungu nina ka uwezo ka kumlea.ikifika muda nikashindwa nitampa kwa ridhaa yangu,kwani naangalia maslahi mapana ya mwanangu .Ila kwa sasa sijashindwa,nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.

Na sina mpango wa kuzaa tena,maumivu aliyonipitisha yamenifunza .Wanasema mjinga wakati wa kwenda .karibuni wadau,nahitaji mawazo yenu kwa hakika .

Lyatonga Dada yangu na Mdogo wangu naomba nikupe Pongezi sana kwa Uvumilivu ambao umeupitia katika Malezi ya Mwanao, na Hakika Malezi hasa kwa kipindi hiki ni Ya kutumia akili sana. Labda niongee jambo na mimi katika Uzi Huu. Huu Uzi umenifanya nisome michango ya wadau wote kabla sijaandika cha kwangu na hasa nilikuwa naangalia comment zako sana kama zinatoka kwenye mstari au Lah.

Dada yangu, JF ni kama shamba ambalo linapokea kila aina ya Mbegu, Hivyo Mtu akimwaga Mbolea yake huku mmea unaohitaji kustawi ndio utachukuwa mbole kulingana na urutubishaji wake. Hivyo Siyo Kila Mchangiaji kwenye thread yako basi na wewe Uchukuwe Michango yake. Kumbuka unashauriwa na Robot kila anayetoa mchango wake huwenda hujui, Makuzi Yake, Maisha Yake Ya Kimahusiano ya Poje, Pia inawezekana hana experiences yoyote ya Malezi au hata hafikiri kuja kulea na huwenda wengine ni watalaamu wa Kutoa Mimba. Inawezekana miongoni mwa Wachangiaji kuna wengine wanatamani kusema khee Kwa Nini Hukuitoa baada ya kuona Jamaa hana Muelekeo? Kwa hiyo Kuwa Makini na Michango ya Wadau.

Kusahihisha tu kidogo Juu ya Sheria ya Mtoto... Iwavyo iwe Mtoto akifikisha Miaka saba anweza amua kuishi popote atakapo aidha kwa Mama au Kwa Baba... Siyo Mpaka afike Kumi... Just Seven Years.

Baada ya kusoma, Uzi wako kuna kitu ambacho huenda umekificha juu ya Kuanzia Mahusiano Yenu Mpaka Mimba na Mpaka Huyu Jamaa kuacha kutoa support za Matunzo ya Mimba Mpaka Kujifungua. Ndiyo Maana kila unapocomment unaibua kimoja baada ya kingine. Dada Yangu Kwenye Mahusiano Kuna vitu vingi sana. Kuna Kupishana Maneno na Kuna Kuelewana. Linapotokea Kupishana Maneno Matokeo yake huwa siyo Mazuri kabisa mojawapo ya Matokeo ndiyo kama hili unalokuja nalo sasa hivi.

Dada Yangu Mbali na Ugomvi Wenu wote wa kutolea Mimba hadi Kujifungua wewe ndiye unayejua Ukweli wa kilichotokea hapa hakuna mtu ambaye ataweza kujua kwa undani kwa maelezo yako mafupi uliyo yaelezea hapa. Ila Mimi Nitajikita kwenye issue nzima inayomhusu Mtoto na Haki yake Kwenu wazazi na Yeye Haki Yenu Kwake Kama Ifuatavyo.

  1. Kwanza nakupongeza kwa kukubali kuwa Mtoto uliye naye ana Baba na Baba yake yu Hai.
  2. Umekiri kuwa katika kipindi chote cha Mahusiano yenu.. Mahusiano Yenu yalikuwa Imara sana sema mlikuja kupishana kwenye hili suala la Mimba. Na Hata Lilipokuja kutokea inawezekana Mapokeo yalikuwa tofauti kati yako na Yake, na Hili Limethihirika kwenye uchangiaji wako. That Means Mapenzi yalikuwepo sana na Bado Mnapendana ila kilichokutesa ni kwa nini alikuacha katika kipindi hicho.--- Hili linarekebishika usidanganyike na Michango ya Watu na Kumhukumu mwenza wako.
  3. Kw Umri wa Mwanao aliona nao sasa Sikushauri kuanza kuhusisha Mwanasheria katika kutatua mambo yenu. Mambo yenu yanasuluhishika hata bila kuwahusisha wanasheria. Kwenye Sheria kuna Complications Nyingi sana ikiwa ni Pamoja na Kujengea Chuki zisizokuwa na Msingi Ndugu Yangu. Tafuteni Njia ya Busara yakuweza kutatua hilo Jambo ambpo kwa Upande wangu Ni Jepesi sana hasa pale ambapo pande zote zipo down. Mnachongombania ni Jambo ambalo linasuhuhishika. Mfano Baba anaposema kuwa anahitaji kuishi na Mtoto wake, Hitaji lake siyo Mtoto ila ni Wewe , Kuwa anakuhitaji wewe na ndiyo maana hata kwenye mchango wako umekiri kuwa mlifika mbalia akasema anahitaji kuzaa na wewe mtoto mwingine. Hapa wengi watachangia ila inaonekana kuna kitu kidogo ambacho mnapishana sana.
  4. Lyatonga Unampenda Mzazi Mwenzio ndiyo maana hukuwahi kuchoka kumhusisha maisha ya Mtoto Japo Mchango wake haukoenekana. Hasira Uliyonayo ni Kwa nini alikuacha na kukutelekeza bia kutoa ushirikiano wowote. Hapa hata wachangieje Siri na Ukweli Mnaujua wenyewe?
  5. Nakupongeza tena Kwa Kutomkatalia Kuja Kumuona Mwanae, ili limekuonyesha jinsi Gani ulivyo Matured sana. Yes Kuwa Ugomvi wenu ni wa Wewe na Yeye na ambalo kwa jinsi lilivyo linazungumsika kabisa. Na Siyo La yeye na Mtoto. Mungu Akubariki Kwenye Hili.
  6. Dada Yangu Lyatonga, Unarudi Kule kule Umesema Kuwa Mahusiano Uliyonayo Mapya ni kwa Huyo Mwanaume amezaa na Mdada Mwingine, Hapa Hujasema Utayari wa Huyo Mwanaume Juu ya Kulea Mwanao na Yeye au Utayari wa Huyo Mama wa Mtoto kukubali Mwanae alelewe na Wewe katika Mahusiano yako. Mama Hapa unatakiwa kuwa Makini Sana tena Sana. Nyie Wanawake Tunwajua hasa kunapokuwa na hali ya namna hivyo.. Kuna Wivu au Mapenzi ya Baba kwa Mwanae ambaye amemzaa kwa Mama Mwingine na Kuna Mapenzi ya Mama kwa Mwanae. Hili Ndilo litakalokurudishia huku kwa Mshikaji.
  7. Pia Mshikaji huenda amejifunza mno kwa alichokifanya na Yupo Tayari kutake responsibility Yote mpaka kusema kuwa anahitaji kuoishi na Mwanae kuna kitu amejifunza kwa huko alikokimbilia of which ni talkable. Vinazungumzika.
  8. Usithuibutu Kumnyima Mtoto Malezi ya Wazazi Wote Mwanao Umri huo ndio Umri wa Kumjenga Mtoto na Pia huko Mnapoelekea kunahitaji collective responsibility katika Malezi. Utajazwa sana ila Wengi watako kushauri Wengine hujawahi kuwaona na hutakuja kuwaona, na wengine Makuzi yao hayaelezeki japo wanatumia Computer au Simu kuchangi Humu.
Mimi Ni Mfano Bora na nipo Tayari Kushare Uzoefu wangu Kwenye Hili, nakuomba Kwenye Suala la Malezi Mama Angalia Michango ya Watu kwa Jicho Pana.
Nitarudi baadae.
 
Yuo confused nimesoma comments zake anajichanganya mno. Ukweli ni kwamba bado anampenda jamaa. Sema baby dady haeleweki ndo maana. Hata boyfriend alienae hajajaza nafasi vizuri(angejaza asingefunguka hapa kwamba nae ana mtoto kwa mwanamke mwingine ni kumchoresha tutu)
True mkuu..

Mimi hiki kitu hakiniingii akilini kabisa how come mwanaume aliyekana mtoto, hagharamii chochote uwe eti confused hivyo? Huyu Dada anampenda sana jamaa na jamaa kashaligundua hilo ndo maana anamvuruga akili..kaishamsoma!

Na na uhakika atamrudia tuu na asipokuwa makini atamwongezea mtoto wa pili. Mark my word Numbisa
 
Its ur opinion and u are entitled to it,furthermore you have every right to believe whatever you want.Its a free country and that's one of ur constitutional right.good morning.
Tatizo unapanic mnoo...that's y tunaamini hayo tunayokwambia!

Mtu akikuchalenge tuu kidogo kuhusu huyo incubator unawaka kinoma..

Anyway huu ni ushauri tu, u can take or leave it...
 
True mkuu..

Mimi hiki kitu hakiniingii akilini kabisa how come mwanaume aliyekana mtoto, hagharamii chochote uwe eti confused hivyo? Huyu Dada anampenda sana jamaa na jamaa kashaligundua hilo ndo maana anamvuruga akili..kaishamsoma!

Na na uhakika atamrudia tuu na asipokuwa makini atamwongezea mtoto wa pili. Mark my word Numbisa
i thout ni peke yangu nimeona hilo, lol wanawake kweli wana huruma,
kwa story yake wala hakua na haja ya kuomba ushauri, huyo mwanaume alivyokuja tu, angemtimua kwa maji ya moto,

Poor her, she still in love and dilema awww, she needs comfort awww.
 
Lyatonga Dada yangu na Mdogo wangu naomba nikupe Pongezi sana kwa Uvumilivu ambao umeupitia katika Malezi ya Mwanao, na Hakika Malezi hasa kwa kipindi hiki ni Ya kutumia akili sana. Labda niongee jambo na mimi katika Uzi Huu. Huu Uzi umenifanya nisome michango ya wadau wote kabla sijaandika cha kwangu na hasa nilikuwa naangalia comment zako sana kama zinatoka kwenye mstari au Lah.

Dada yangu, JF ni kama shamba ambalo linapokea kila aina ya Mbegu, Hivyo Mtu akimwaga Mbolea yake huku mmea unaohitaji kustawi ndio utachukuwa mbole kulingana na urutubishaji wake. Hivyo Siyo Kila Mchangiaji kwenye thread yako basi na wewe Uchukuwe Michango yake. Kumbuka unashauriwa na Robot kila anayetoa mchango wake huwenda hujui, Makuzi Yake, Maisha Yake Ya Kimahusiano ya Poje, Pia inawezekana hana experiences yoyote ya Malezi au hata hafikiri kuja kulea na huwenda wengine ni watalaamu wa Kutoa Mimba. Inawezekana miongoni mwa Wachangiaji kuna wengine wanatamani kusema khee Kwa Nini Hukuitoa baada ya kuona Jamaa hana Muelekeo? Kwa hiyo Kuwa Makini na Michango ya Wadau.

Kusahihisha tu kidogo Juu ya Sheria ya Mtoto... Iwavyo iwe Mtoto akifikisha Miaka saba anweza amua kuishi popote atakapo aidha kwa Mama au Kwa Baba... Siyo Mpaka afike Kumi... Just Seven Years.

Baada ya kusoma, Uzi wako kuna kitu ambacho huenda umekificha juu ya Kuanzia Mahusiano Yenu Mpaka Mimba na Mpaka Huyu Jamaa kuacha kutoa support za Matunzo ya Mimba Mpaka Kujifungua. Ndiyo Maana kila unapocomment unaibua kimoja baada ya kingine. Dada Yangu Kwenye Mahusiano Kuna vitu vingi sana. Kuna Kupishana Maneno na Kuna Kuelewana. Linapotokea Kupishana Maneno Matokeo yake huwa siyo Mazuri kabisa mojawapo ya Matokeo ndiyo kama hili unalokuja nalo sasa hivi.

Dada Yangu Mbali na Ugomvi Wenu wote wa kutolea Mimba hadi Kujifungua wewe ndiye unayejua Ukweli wa kilichotokea hapa hakuna mtu ambaye ataweza kujua kwa undani kwa maelezo yako mafupi uliyo yaelezea hapa. Ila Mimi Nitajikita kwenye issue nzima inayomhusu Mtoto na Haki yake Kwenu wazazi na Yeye Haki Yenu Kwake Kama Ifuatavyo.

  1. Kwanza nakupongeza kwa kukubali kuwa Mtoto uliye naye ana Baba na Baba yake yu Hai.
  2. Umekiri kuwa katika kipindi chote cha Mahusiano yenu.. Mahusiano Yenu yalikuwa Imara sana sema mlikuja kupishana kwenye hili suala la Mimba. Na Hata Lilipokuja kutokea inawezekana Mapokeo yalikuwa tofauti kati yako na Yake, na Hili Limethihirika kwenye uchangiaji wako. That Means Mapenzi yalikuwepo sana na Bado Mnapendana ila kilichokutesa ni kwa nini alikuacha katika kipindi hicho.--- Hili linarekebishika usidanganyike na Michango ya Watu na Kumhukumu mwenza wako.

  1. Kisa cha kumuita mwenzio Lyatonga!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom