Anataka mchukua mwanangu kinyemela

Anataka mchukua mwanangu kinyemela

Mpe tu kwakua hanyonyi tena sehemu kubwa ya uhai wamtoto itakua ni jukum lake pamoja na kimsomesha haitakuhusu ,,, hata kama hakutoa matumizi ila kwasasa ni muda wake na yeye alee na asomeshe kama ameridhia uzuri mtoto hatakuja kukusahau kwahiyo usijal
 
Hivi nyie wanawake wa dizaini hii mtaisha lini?unasema huyo ni mwanao ,je mzazi mwenzio hana haki ya kuwa mwanae?wewe utakuwa na matatizo na dizaini ya wanawake kama nyie ndio wale ambao huvunja ndoa maksudi na kisha kumchukuia mume na kuanzisha chuki na mzaz mwenzio ukijifanya kumwazibu kwa kumnyima haki ya kupata upendo wa mwanae....

Wanandoa wengi wanapotenga..hasa wanawake hutumia hasira na jeur yakujifanya kutomhusisha mzaz mwenzie mwanaume katika suala la mtoto kisa wamegombana...
Hili limekuwa ni tatzo kubwa sana..
Haki??? Mtoto anapaswa kupewa haki yake tangu siku ya kwanza mimba imetungwa. Na huyo dada alipewa haki gani na huyo mwanaume?
 
Achana na hilo jisengerema wewe,unakua boooooya!!sasa limtu lilikumwagia utamu Kisha likasepa alafu wewe Leo unataka kurikabidhi mtoto?
Walah ata shetani atakushangaa!!
Leo mwanao.
 
Una akili sana...umeongea kitu kikubwa cha hekima ila huyu dada alivyo mjinga ataangalia ppst za watu wanaomsapport ujinga wake....
Kuna kauli huwa inasema...
A child of divorced parents tend to they are failed marriage...
Yaani hapa naona uchungu kwa huyo mtoto, maana watu wengi hapa wanachangia hawajui mateso unayo pata moyoni ukilelewa na mzazi mmoja wakati mwingine bado anaishi.
 
Mpe tu kwakua hanyonyi tena sehemu kubwa ya uhai wamtoto itakua ni jukum lake pamoja na kimsomesha haitakuhusu ,,, hata kama hakutoa matumizi ila kwasasa ni muda wake na yeye alee na asomeshe kama ameridhia uzuri mtoto hatakuja kukusahau kwahiyo usijal
No bado mdogo,yuko under age
 
Mtoto anahitaji mapenzi ya wazazi wote pale tu anapokua na kunawiri? Umemfikiria mama aliyebeba mimba mwenyewe bila upendo wowote wa baba na mtoto akazaliwa mpk amekua ana afya nzuri hakupata upendo wa baba? Na mbaya zaidi baba yupo na anafahamu ana mtoto hawajibiki kwa chochote... Acha kabisa wewe bora ukae kimya maana huelewi situatiatio za wamama waliotelekezwa.
Sielewi wakati baba yangu alinikataa hujui unacho kiongea ww
 
Sielewi wakati baba yangu alinikataa hujui unacho kiongea ww
Baba yako kukukataa unafurahia au? Baba yako na baba wa huyo mtoto wamefanana..na dawa yao ni kunyimwa watoto.
.
.
Pole kwa kukataliwa. Lakini ili kuwakomesha na kuwafundisha wanaume wanaotelekeza watoto adhabu ndio hiyo! Hakuna namna! Pole sana.
 
Fikiria kwa makini usimpe mtoto wala kumpa jamaa matumain ya kumpata mtoto,atateseka tu huko atakakopelekwa. Lea mwenyewe mwanao hadi ukubwani
Huwa natwist umri wa mwanangu ili mhusika asijue

Bt kweli anamtaka mtoto,that's the ishu here wakati bado mdogo
 
Habari za mida wanabodi
Nikiri tu mimi ni member mzuri sana wa JF.Ok tuache soga ndefu,ni hivi kuna mwanaume nilizaa nae kitambo kiasi na baada ya mtoto kuzaliwa tu akanipotezea mimi na mwanangu.Bt hey tembo hashindwi na mkonga wake nikamlea mwanangu peke yangu since mimba hadi saivi akiwa kijana flan amazing,ana afya bora,ana akili sana,etc

Niliamua kufanya hivyo baada ya yeye kujitenga na kutonisupport kwa lolote si mimi wala mwanangu.Nikaacha kumuomba matumizi na kadhalika in short nilikata mawasiliano naye kabisa.mwanzo nilikuwa namsihi aniboost hata matumizi ya mtoto akagoma,so nikafanya maamuzi magumu,nikamwacha aendelee na maisha yake na nikawa single mom rasmi and am proud of that.

At the moment mimi na my prince we are ok,ana afya bora thanks to my GOD,and mimi pia nina mahusiano na mtu mwingine tayari and we are happy.

Ishu niliyoileta mhusika,baba wa mwanangu ameanza kufanya mawasiliano,its ok ukizingatia niko na mwanae.tatizo ananisihi nimpe mwanangu anisaidie kulea,ila naona kama trick ya kutaka kumchukua kijana wangu jumla.

Mara zote nimemwambia subiri atimize miaka saba then afate taratibu za kisheria amchukue.Anadai amemmiss mwanae anataka kuishi naye na hatonizuia kumuona.funny !!!mtu ambaye hajawahi toa hata mia ya chakula cha mwanae leo anaona ana haki ya kuchukua furaha yangu.ukizingatia ana kipato kizuri tu.

Amenambia kama ni mtoto mwingine atanipa,ila mie nimemjibu siko tayari kuzaa naye tena.Kwani alinitelekeza mimi na mwanangu.huko aliko azae mtoto mwingine ama wengine huyu nataka nimlee mwenyewe .He is my joy,life and prestige(my son,my little man).

Naombeni ushauri kwakuwa najua jamaa anataka kumchukua mwanangu mazima.jambo ambalo siko tayari.nashukuru Mungu nina ka uwezo ka kumlea.ikifika muda nikashindwa nitampa kwa ridhaa yangu,kwani naangalia maslahi mapana ya mwanangu .Ila kwa sasa sijashindwa,nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.

Na sina mpango wa kuzaa tena,maumivu aliyonipitisha yamenifunza .Wanasema mjinga wakati wa kwenda .karibuni wadau,nahitaji mawazo yenu kwa hakika .
Kama unataka mwanao aje akuoe hiyo "aidia" ya kumng'ang'ania ita sound poa!

Ushauri:-
Ishi ndani ya mzingo wako!! nina maana "MZINGO"
 
Ni miaka kumi siku hizi,7 ilikua zamani walishabadilisha
Asante ila ni utoto kutenganisha mama na mtoto. Mimi ni me na ninaye ila namsaidia akae na mama yake sasa ana 15 years. Kwa upande wangu naamini hadi afikishe 18 ndipo anaweza kuishi na mama wa kufikia. Ikitokea mama yake akataka nimchukue itakuwa mtihani mkubwa kwangu maana siamini kama kuna mwanamke anaweza kutunza kiumbe kilichopita katika k ya mwenzake!
 
No wanasema never go back to the person who left you,when you needed them the most.
Mapito aliyonipitisha nikirudi huko nitakuwa zaidi ya lofa.
Tena alifanya hayo when my prince was an infant,sijatoka hata ndani kula uzazi.chapter closed.
Dunia yetu hii ina maajabu wanawake wanaumizwa na wanaume pia wanaumizwa kila mmoja anatafuta mkweli na mwaminifu. Sasa wakweli na waaminifu wasioumiza wenzao sijui wamejificha wapi?
 
U
Mtoto sio matunzo tu, upendo wa baba na mama ni muhimu sana, huwezi nielewa mpaka uwe umepitia hayo. Watoto wote tulio lelewa na wazazi upande mmoja kuna kitu huwa kina miss inaathiri hata malezi ya watoto wetu.
Swala la msingi leo mwanao lakini mruhusu baba wa mtoto chance ya kumuona manaye! Hata kama hakutoa matunzo lakini baba yake ni baba yake tu, mimi baba yangu haku changia hata 1 shilling katika kakuzi yangu lakini nilipo fikisha miaka 28 nilimtafuta mwenye
Mkuu baada ya kumtafuta ulipata kitu gani ? Au ulienda kutafuta urithi ?
 
Kuna sababu nyingi nyuma ya pazia you never know, tatizo lenu akina mama wagumu kuelewa mnataka kila mnachokitaka kifanyike kwa wakati huo, mtu akikuambia kafulia ujue kafulia kweli.

Usije ukaniletea ban, yaani umefulia mwaka, 2,3 mwanao hali hanywi? Wewe ulivyofulia unakaa wee huli chakula? Ama kwakuwa huyo mtoto ni extra unatoa matunzo ukiwa na hela ya extra? Maisha ya mtoto umefulia mwaka? Mungu nifundishe kunyamaza
 
Hapo aliposema kama anataka kukupa mtoto mwingine, ndio unatakiwa ushtuke huyu MTU anataka papuchi ya Bure tu Na ashakuona uko weak hana nia nzuri na huyo mtoto yeye anakutaka wewe wa kukutumia tu. Anajua akichukua mtoto utajileta tu na uko tayari kufanya lolote kwa ajili ya mtoto wako. My dear MTU pekee mwenye uchungu wa mtoto ni mama I am sure your son will never forgive you kwa kumtoa na kumpeleka kwa MTU mwingine amlee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom