Anataka mchukua mwanangu kinyemela

Anataka mchukua mwanangu kinyemela

Hapa ni kama wana windana wote...mmoja anamvizia mwenzie terms &conditions..mmmoja ni mlaji na kusepa. Take care washauri..hawana ugomvi.....

Mtoto ni wa baba in Africa...
 
No si ubinafsi,naangalia maslahi mapana ya mwanangu.at least atimize umri wa kujitambua,ndio kwanza ana miaka 3.isitoshe sijawahi mnyima kumwona, pamoja na hayo mwanzoni alinambia yeye hakuwa na mpango wa kuzaa,so hilo ni langu nilibebe,nikalibeba.nikakubali majukumu kama mwanamke na mama.leo imekuwaje?imagine mtu anakuja mwona mwanae hata machungwa tu hamletei?atajali malezi na makuzi ya huyu mtoto kweli?yeye anamwona kanona anadhani ni muujiza,malezi ni kujitoa na kujikana.
Kama una akili sawasawa huyo jamaa sio wakupewa mtoto...kama unaweza kumlea komaaa mwenyewe...sisi wanaume sometime sijui tunakuwagaje...halafu anaonekana ni wale wapenda miteremko..unakuja kumwona mtoto hata pipi yakijiti huna???au mlitiana mimba wote mkiwa watoto..
 
Dada zetu bwana.

Kwahiyo hapo unasema mtoto ana baba wakati hajawahi toa hata kilo moja ya sukari ya uji wa mtoto.

Ningekuwa ndio mimi huyo jamaa asahau kama ana mtoto.

Ila dada zetu mna huruma sana.
Mtoto hatokani ni mzazi mmoja, hata usipomwambia atamtafta aende.

Kumbuka hasira zinaharibu afya ya akili ya mtoto.
 
Huu ndio tunauita ubinafsi, mtoto mlitafuta wote alafu unatumia neno my prince inamaana ye hamhusu? Kukataa kulea haitoi uhalisia wa ubaba wake na umiliki wa huyo mtoto.

Ushauri wangu tafuteni sehemu tuliivu mkiwa wawili mjadili hatma ya huyo mtoto na jinsi ya kumlea nina imani hakita haribika kitu
Yes mwache amuite my prince. Huyo baba hana nafasi alitelekeza mtoto kwa roho yake ya ubinafsi halafu aje kumtaka mwanae kwa Muda anaotaka yeye. Huyu mwanamme ni zaidi ya mshenzi. Mama husiruhusu mtoto wako achukuliwe na ile dudu, mlee mwenyewe mwenyezi Mungu atakubariki tu.
 
Pamoja na hayo yote ujue mtoto ni haki yake kumjua Baba halisi na haki yake pia kupata malezi ya Dingi
Akifikisha umri wa kujitambua,sijamnyima kumwona mwanae,yeye kujiweka pembeni na kuishia kuchukua picha za mwanangu wattsup,bila kujua anakula nn wala anavaa nn hakumpi haki kumchukua eti kisa amependeza na anaona sasa wamefanana kama mapacha.
 
Kama una akili sawasawa huyo jamaa sio wakupewa mtoto...kama unaweza kumlea komaaa mwenyewe...sisi wanaume sometime sijui tunakuwagaje...halafu anaonekana ni wale wapenda miteremko..unakuja kumwona mtoto hata pipi yakijiti huna???au mlitiana mimba wote mkiwa watoto..
Ndio anapenda mteremko kweli.halafu ananambia nasikia siku hizi uko njema kweli nimepata story zako,umepewa kitengo.can you imagine?

Anapita ubungo hata kumchukulia mwanae kaptula ya mtumba ya buku 2 hajali,halafu nimpe mtoto?kweli?

No tulimpata my prince tukiwa na akili zetu timamu,tena kwenye mahusiano yalokuwa imara .sema alivyo zaliwa mtoto tu akasepa zake,akanambia yeye bado kijana mbichi nisimzeeshe na majukumu.akakata mawasiliano.nikapiga moyo konde nikalea mwanangu kwa upendo naamani kabisa.

Tena mtoto ana furaha muda wote yeye ni kucheka sababu sikutaka mapito niliyo pita yaathiri ukuajia wake.
 
Mtoto hatokani ni mzazi mmoja, hata usipomwambia atamtafta aende.

Kumbuka hasira zinaharibu afya ya akili ya mtoto.
Haina shaka akikua mwenyewe akahitaji kwenda sitamkataza.sitaki mwanangu akue halafu aishi kwa huzuni aseme mama hakunipenda,alinitelekeza ilhali alikuwa na uwezo wa kunilea.
 
Haina shaka akikua mwenyewe akahitaji kwenda sitamkataza.sitaki mwanangu akue halafu aishi kwa huzuni aseme mama hakunipenda,alinitelekeza ilhali alikuwa na uwezo wa kunilea.
If that is the case you are real right...
 
Yes mwache amuite my prince. Huyo baba hana nafasi alitelekeza mtoto kwa roho yake ya ubinafsi halafu aje kumtaka mwanae kwa Muda anaotaka yeye. Huyu mwanamme ni zaidi ya mshenzi. Mama husiruhusu mtoto wako achukuliwe na ile dudu, mlee mwenyewe mwenyezi Mungu atakubariki tu.
Ndio mwanangu,is my prince,my hero,my happiness and everything.Nampenda sana hata mwenyewe anajua.i always tell him son i love you naye kanajibu i love you too mom.halafu kako smart na charming sana.zote ni baraka za mwenyezi Mungu.
 
Am done with him,sijawahi mchukia lakini hilo halifanyi niwe mjinga anigeuze incubator,nilijifunza na sijawahi rudi huko.mahusiano kati yangu naye yalivunjika nilimpomzaa mwanangu.

Mtoto hajapata baba wa kufikia?!
 
Huu ndio tunauita ubinafsi, mtoto mlitafuta wote alafu unatumia neno my prince inamaana ye hamhusu? Kukataa kulea haitoi uhalisia wa ubaba wake na umiliki wa huyo mtoto.

Ushauri wangu tafuteni sehemu tuliivu mkiwa wawili mjadili hatma ya huyo mtoto na jinsi ya kumlea nina imani hakita haribika kitu

Eti sehemu tulivu mjadili!! Mtu umezaa mtoto kumlea hadi ubembelezwe? Nikukosa utu.
 
Unao uwezo wa kumsomesha hadi chuo kikuu? Ukinijibu kuna jambo nitakwambia
 
Kwanza mimi endapo umezaa na mimi halafu hatujaoana poa ila uhakikishe matumizi ya mwanao unatuma kama hutumi mawasiliano na mimi sahau hadi ufe, mwenye damu yako humtunzi unaanzaje kunizoea mimi ni ndugu yako?? Subiri aote ndevu mkutane barabarani maana hata upige simu na sms mara 10000000 sipokei sijibu hadi uwe responsible father tena awamu hii ya tano ni #hapakazitu#
 
We mkali jomoni!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom