Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Mifumo mingine ni mibovu sana katika jamii zetu. He impregnated you, left you for other women, you've raised a great young man, then all of a sudden anakuja kutaka kuishi na mtoto, just like that? No, hilo halikubaliki hata kidogo, he has to bear the burden you you went through, hata mila zetu zinataka hivyo.
Sheria za kimila zinamtaka huyo jamaa alipe fidia ili dogo awe rightfully his, hawezi kupata mtoto kirahisi tu. I stand with you mleta mada.
Yani mimi hata amlee kuanzia mimba ie awe responsible 100%, I can't imagine ile hali eti mwanetu anachukuliwa akalelewe na baba yake na mkewe sijui au anapelekwa kwa shangazi sijui bibi. Aisee Mungu anisaidie tu
Hapo hata kulipa fidia ni formality tu sionagi kama ni adhabu kabisa. Haiwezi kucompensate the time she needed him, maumivu + frustrations aliyompa. Kwa sababu sometimes mtu huhitaji pesa ila maneno tu ya faraja ya mwenzi wako, like "don't worry I'm here with you". Hiyo fidia atakayolipa haina thamani compared na ule muda aliokuwa na uhitaji na hiyo pesa haswaa.
" akili zetu tunazijua wenyewe .