Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,117
- 1,249,282
Hahahaa hizo mbio unaogopa kuambiwa njoo PM ee
Kuna ka udhaifu sana mtoto ana miaka mitatu tayari bidada ana boyfriend mwingine hapo hata maumivu hayajapona ana mawasiliano na ex. Huyu jamaa wa sasa atakua anajisikiaje may be akiuliza anaambiwa we are only in good terms not otherwise

True mkuu..
Mimi hiki kitu hakiniingii akilini kabisa how come mwanaume aliyekana mtoto, hagharamii chochote uwe eti confused hivyo? Huyu Dada anampenda sana jamaa na jamaa kashaligundua hilo ndo maana anamvuruga akili..kaishamsoma!
Na na uhakika atamrudia tuu na asipokuwa makini atamwongezea mtoto wa pili. Mark my word Numbisa![]()
![]()