Mke wa Pili

paartey

Member
Jun 26, 2023
39
53
MKE WA PILI

MTUNZI: PATRICIA ANTONY

SEHEMU YA: 01

WHATSAPP: 0676604830

KAWAIDA: 0783642467

ANZA NAYO.........


Siku ya ijuma ya tarehe 22/08...... ilikuwa siku ngumu sana na yenye machungu ndani yake baada ya kuamka tu na kukutana na taarifa mbaya kwenye mitandao ya kijamii ikinihusisha mimi Mr Deo na kampuni yangu niliyokuwa nafanya kulikuwa na upotevu wa pesa nyingi sana kwenye kampuni niliyokuwa nikifanya kazi kama muhasibu mkuu na shtuma zote ziliangukia kwangu nilistahili haya kwani cheki zote zilikuwa kwangu na sijui Nani aliweza kutoa pesa kwa kutumia Saini yangu.

Jambo lolilonishangaza kwanini nipostiwe mitandaoni kama mwizi tena nikitajwa kuwa mwizi kabisa mkubwa kabisa na sizani kama ni utaratibu wa kampuni kifanya hivyo, nilizima simu na kuoga ili kupeleka binti yangu shuleni lakini pia kwenda ofisini kwaajili ta kuzungumza na boss maana waannichafua kwa kitu ambacho sikahusika kabisa na mpaka muda huo kess ilikuwa ikiendelea kufanyiwa upelelezi.

SONGA NAYO...

Nilimaliza kujiandaa na kutaka kuondoka sasa

"Ni aibu kiasi gani mashoga zangu wote wananicheka na kunidharau kwaajili ya mambo yako "

Alizungumza mke wangu Martina akiwa amekaa kitandani

"Ndo utaamini kuwa hauna mashoga kipindi ambacho mambo yalikuwa sawa kila mtu alikuwa akikupenda lakini sasa hivi wanakubeza "

"Ila wewe ndo umesababisha kila kitu "

"Martina usiniambie kuwa unaamini kuwa nahusika na upotevu wa pesa hizo na kama nimehusika nimepeleka wapi hizo pesa mimi "

"Sasa unaniuliza mimi, nyie wanaume mnakuwaga na mambo ya hovyo sana usikute umeonga uko "

"Asubuhi yangu imeharibika nikafikili wewe ndio utakuwa wa kwanza kuniliwaza lakini ndio kwanza unanizidishia mawazo "

"Nitokee hapa "

Mke wangu alijiandaa na kuondoka kazini kwani na yeye pia ni muajiliwa, nilimpeleka binti yangu shuleni na kutaka kwenda kazini lakini nilipigiwa simu na kuambiwa kuwa naitajika nyumbani.

Niliwai nyumbani na kukuta mapolice lakini pia na boss wangu

"Sir....."

Nilizoea kumuita hivyo boss wangu

"Hakuna cha sir, kuanzia sasa na muda huu, haitatakiwa kitumia chochote kile kilichopo chini ya uangalizi wa kampuni namaanisha gari, nyumba na account zako za bank ambazo zimeshafungiwa mpaka pale upelelezi utakapotimia"

Alizungumza boss wangu ambaye alikuwa rafiki yangu sana lakini kwa muda huo hakujua kabisa kama mimi ni rafiki yake

"Lakini sir....."

"Nimemaliza una masaa 24 ya kutoka kwenye hii nyumba "

Alizungumza hivyo lisha akaondoka machozi yalinitoka mtoto wa kiume nilikaa chini kabisa na kwakuwa nilikuwa ndani kwangu nilianguka kabisa kile kilio cha sauti ya juu sikutaka kujikaza nililia mno.

Katika vitu ambavyo najutia katila maisha yangu ni kutokujenga au kununua nyumba au gari, gari na nyumba ya ofisi vilinifanya nione kuwa Nina kila kitu na siku hiyo ndio nilikuwa nadhalilika sasa.

Nilijiangalia mfukoni nilikuwa kama nina laki 2 na nusu tu ambayo sizani kama ingetosha chochote kile, binti yangu alikuwa akisoma shule ya kulipia, nilikuwa nikihusika na kila kitu.

Martina sawa alikuwa akifanya kazi lakini alikuwa ni mtu wa starehe hakuwai kutoa hata mia yake sio chakula wala kumfurahisha mtoto wake kila kitu alifanya kuwa ni jumumu langu, alitumia pesa zake na marafiki zake na sio familia yake na hii iliniumiza zaidi niliwaza kama anaweza akafanya kitu kwaajili ya mwanangu au mimi.

Majila ya jioni mwanangu na mke wangu walishawasili nyumbani walikuta nikiwa nimeshaandaa chakula cha jioni nilitenga mezani lakini mke wangu hakula alionekana kuwa na hasira Sana

"Kwaajili yako ofisi nzima naoneshewa vidole "

Alizungumza mke wangu muda huo nilikuwa nimekaa sebuleni nikimsaidia binti yangu ambaye alikuwa anafanya maswali ya hesabu ya kidato cha kwanza

"Tutaongea baadae acha nimsaidie mtoto kwanza "

"Unamsaidia kitu gani umemwambia mwanao kuwa hapa tumefukuzwa au ??"

Hapo binti yangu aliinuka na kuniangalia mimi na kumgeukia mama yake Kisha akauliza

"Tumefukuzwa wapi ??"

"Baba yako boga boga mwili mkubwa akili amna hii nyumba sio yake na hapa tumefukuzwa hana chochote "

Alifoka mke wangu alitoa maneno makali snaa ambayo mtoto hakustahili kuyasikia

"Kwahiyo baba tutaenda wapi ??"

Aliuliza Triner ambaye ni binti yangu

"Usijali nitafanya kitu "

Nilimshika mke wangu mkono na kumpeleka mpaka chumbani

Siku iliyofuata nilidamka asubuhi Sana na kumpeleka Triner shuleni kisha nikaingia mtaani kutafuta chumba, nilipata chumba cha kawaida kabisa ambapo kwa mwezi ilikuwa ni sh. Elfu 40 yaani kutoka kwenye maisha ya geti na kila kitu mpaka kwenye nyumba ya nje ambayo haikuwa hata na sakafu nzuri tandabui kila kona na hakuna hata singibodi lakini nililizika tu ili mimi.na familia yangu tupate pa kulala na kuamkia

Majila ya saa 10 jioni nilirudi nyumbani nilikuta nyumba ikiwa imeshafungwa na mabegi ya nguo yalikuwa nje yaani hawakusubili hata nifike nilikaa nje ya geti nikiwa na mizigo yangu nikisubili mke wangu na mtoto warudi

"Aibu gani hii "

Yaani mke wangu alikuwa na mdomo sana na ndio kwanza kafika

"Bajaji inakuja sasa hivi tunaenda nimepata chumba mahali ,"

"Chumba au nyumba.?"

Sikutaka kumjibu maaana aoni hata aibu ya kuongea na mimi kwa kunidharau lakini pia hakumuogopa mtoto.

Tulifika kwenye nyumba niliyopanga na mke wangu aligoma ata kushuka kwenye bajaji

"You can't be serious baby hii nayo ni nyumba ? Yaani me siwezi ingia umo ndani na kusema kwamba naishi sijui nafanyaje yaani umu analala mtu kweli ??"

Kiukweli sijui mke wangu alipatwa na nini hakuwai kua hivi miaka yote niliyomjua au kumfahamu kama mke wangu hakuwai kuwa na dharau wala kunijibu majibu ya hovyo, kitu ninachojua kuhusu Martina ni kwamba alikuwa mvivu sana sio kazi za ndani wala chochote, mara nyingi mimi ndio nilikuwa nikifanya usafi sana sana, muda mwingine tunasaidiana kwa mapenzi mazito tunainjoy lakini hii tabia ya sasa hivi ni mpya sikuwai kuiona kabla.

Nilishuka na kumchukua binti yangu tukaingia ndani lakini mke wangu hakuthubutu kuleta ata miguu yake

"Kwahiyo baba tutakuwa tunakaa umu ??"

Aliuliza binti yangu

"Kwa muda tu na kila kitu kitakuwa sawa....."

"Lakini......."

"Naelewa kipenzi "

Nilimsogelea binti yangu na kupiga goti ili niweze kuzungumza nae vizuri

"Sijawai kukuficha kitu si ndio ? Kama nilivyokuambia jana basi ndo mambo yamekuwa hivyo ila nahaidi kuwa nitafanya kila kitu kiwe sawa nitatafuta kazi na kuhakikisha kuwa tunatoka kwenye hii nyumba, sasa hivi niko jobless na sina pakuanzia "

Binti yangu ni mtu ambaye ni muelewa sana na mara nyingi uwa naongea nae yaani kati ya mama yale na mimi mimi ndio nimekuwa rafiki yake kindaki ndaki

"Ila nina njaa sana sitaki kudanganya...."

Alizungumza hivyo nikaomba anisubili nilitoka nje lakini sikukuta ile bajaji wala mke wangu sikumkuta nilitoa simu na kumpigia lakini hakupokea zaidi niliingia mtaani na kumnunua mtoto wangu chipsi za elfu 1000 na maji ya mia 5 yaani HILL maji ambayo nayakubali sana kisha nikarudi nyumbani muda huo mfukoni nilibaki na sh. 1500 tu na sikuwa na pesa nyingine.

Siku hiyo mimi na mtoto wangu tulilala kwenye chumba kimoja tukiwa tumetandika nguo chini na hakukuwa hata na godoro, kutoka kwenye maisha ya luxury mpaka kwenye maisha ya chini.

Asubuhi na mapema kama kawaida niliamka na kumuandaa binti yangu yaani kumpangia madaftari, na kumfutia viatu vitu vingine vyote alikuwa akifanya mwenyewe kwani ni binti mkubwa tu ile tunatoka nje ili nimpeleke shuleni uso kwa uso na Martina (mke wangu) akiwa amekuja na gari nzuri ya kifahari pembeni alikuwa na mwanaume fulani hivi kajazia kifua kama nini, ni wazi alikuwa ni bodigad kwani nguo yake ya juu iliandikwa security nilibaki nikishangaa tu maana ile gari ilionekana kuwa mpya kabisa

"Ulikuwa wapi nimekutafuta sana lakini pia simu zangu haukupokea"

"Well, nimekuja kumchukua binti yangu, siwezi kumuacha akaishi kwenye dampo kama hili...."

"Like seriously??"

Nilimuuliza

"Sitanii, mumy njoo...."

Binti yangu akamsogelea mama yake

"Panda kwenye gari...."

"Tunaenda na baba...."

Alizungumza yaani huyu binti kila kitu ni mimi sawa mama yake alimzaa na kumnyonyesha ila mimi ndio nilikuwa mlezi wake aswaah lakini pia rafiki yake

"Okay panda twende...."

Alikubali mke wangu baada ua mwanangu kuomba sana niliingia ndani na kuchukua mabegi na safari ya kuondoka ikaanza.

ITAENDELEAMKE WA PILI

MTUNZI: PATRICIA ANTONY

SEHEMU YA: 02

WHATSAPP: 0676604830

KAWAIDA: 0783642467

SONGA NAYO.....

Safari ilianza na tulifika kwenye mtaa wa kishua sana sana jamani hata mwenyewe nilipapenda na kujikuta nikisema

"Waoooooh...."

"Naona umeanza kuwa king'ora sasa....."

Mke wangu alidakia kwa kunishushua, me sio mtu muongeaji mara nyingu uwa ni mkimya sana hivyo sikutaka malumbano zaidi nilikaa kimya

Gari ile iliingia kwenye nyumba nzuri sana ya kifahari, yenye kila sababu ya kuitwa hotel ndogo kiukweli inavutia sana sana nilibaki nikishangaa uku na uku garden nzuri, sehemu ya Parking iko poa yaani kiufupi ilikuwa nyumba kali sana.

"Mama tutakuwa tunaishi hapa ??"

Aliuliza Triner (binti yangu) uku akiwa anatabasamu tu

"Yes and this is my house that means ni nyumba yako pia....."

Mwanangu na Mama yake waliendelea kufurahia wenyewe kwa kukumbatiana pale mimi nilibaki nikiwa nashangaa tu

"Hadi mabegi pia nikuambie shusha....."

Aliniuliza mke wangu, sikujibu nilichofanya ni kuanza kushusha mabegi tu yaani nilimpa majibu ya vitendo

Tuliingia ndani na nyumba ilikuw kali sana

"Chumba chetu ni kipi na cha mtoto ni kipi ??"

"Chetu na nani ??, well chumba cha Triner ni... aaah twende baby nikuoneshe..."

Alizungumza mke wangu kisha wakapanda ngazi na kwenda juu nilibaki pale sebuleni nikishangaa tu baada ya muda alikuja

"Kwahiyo hadi nikuambie leta nguo za mtoto ??"

Nilivuta begi la binti yangu mpaka kwenye chumba cha juu alichokuwa ameandaliwa na mama yake na mwanangu alikuwa akimpenda sana barbie hivyo mama yake alikotengeneza vilivyo picha za barbie kama zote lakini pia rangi ya pink ilitawala

"And you nifuate....."

Alizungumza hivyo nikamfuta tulishuka ngazi mpka chini tukarudi sebuleni

"And chumba chako ni hiki karibu na jikoni "

"Unataka nilale jikoni ??"

Nilimuuliza

"Sijasema jikoni nimesema karibu najikoni lakini kwani kuna ubaya gani ? Kama umeweza lala kwenye dampo kule utashindwa lala hapa "

"Lakini mimi na wewe tunatakiwa kushare room "

"Utachagua kuingia umu au kutoka kabisa nje ya nyumba hii...."

Sikuwa na budi niliingia kwenye chumba iko ambacho kilikuwa na kitanda tu na meza moja na kochi la mtu mmoja hakikuwa kibaya, niliingia na kukaa kuna muda niliwaza nini kimempata mke wangu lakini kuna muda nilikuwa nasema ananipima uvumilivu wangu aone mimi ni mume aina gani au anataka nini ??

Nilikuwa na maswali mengi ambayo hayana majibu kabisa, majila ya usiku kama kawaida niliandaa chakula tukaka mezani na kuanza kula

"Eeeh Triner unaionaje nyumbani ya mama ??"

"Nzuri sana...."

Mke wangu alimuuliza mtoto wetu naye akajibu kwa haraka

"Nimenunua kwa pesa mingi sana, unajua mama yako nilikuwa nafanya kazi kwa malengo na leo malengo yametimia, angalia nyumba yetu angalia gari yetu, lakini pia nimekulipia school bus, watakuwa wanakufata hapa kila siku na kukurudisha "

"Thanks mumy...."

Muda wote huo nilikaa kimya tulipomaliza kula nilimwambia Triner akalale ili nipate muda wa kuongea na mama yake

"Unataka nini nawe nimekuwa na siku ndefu sana naitaji kupumzika..."

Alizungumza mke wangu baada tu ya mimi kumuomba tuzungumze

"Aaah niseme tu asante sana kwa kunileta nyumbani kwako na umefanya jambo jema sana kununua nyumba maana leo tungekuaa tunadhalilika "

"Unadhalilika na nani ??, Deo ungedhalilika wewe ila sio mimi"

Alidakia mke wangu na kwa mara ya kwanza aliniita kwa jina langu mara nyingi amekuwa akiniita mume au my love lakini leo hii ameniita kaa jina langu.

"Martina umebadilika sana..."

"Ebu nambie nimekuwa na rangi gani pink, blue au dawa nilikuwa mweusi najua na nimeanza kujichubua mda tuaka mitatu sasa wananiita Martina de white sasa sijui unaongea kuhusu nini "

"Tuachane na hayo, umpata wapi pesa za kufanya vyote hivi ??"

"Usiku mwema deo...."

Alizungumza mke wangu na kuondoka

Usiku ulikuwa mzito Sana kwangu nilibaki nikiwaza na kuwazua na kuwazua juu ya tabia mpya za mke wangu.

Siku iliyofuata asubuhi niliamka na kuandaa kifungua kinywa kwani kila kitu kilikuwako kwenye fliji hivyo haikuwa tatizo kwangu kwenye kuandaa kila kitu, Triner alijiandaa kwaajili ya kwenda shule na school bus alikuchelewa kuja kumchukua walimchukua muda muafaka kabisa

"Martina....."

Nilimuita mke wangu ambaye alikuwa anatoka akielekea kazini

"Unasemaje deo nimechelewa mno "

"Oooh ouk tutaongea baadae....."

Niliona nimuache aondoke tu, nilishinda siku nzima nyumbani nikiwa Sina cha kufanya yaani maisha ya kukaa tu nyumbani bila kufanya kitu yalionekana kuwa magumu Sana kwa upande wangu, nilijitaidi lakini yalishindikana.

Jilijitaidi kuapply kazi lakini pia sikufanikiwa kutokana na skendo kubwa ya wizi iliyozagaa kwaajili yangu

Ilikuwa siku ya jumamos ambapo mke wangu aliandaa party pale nyumbani hata sikuwa najua ni kwaajili ya nini lakini ndo hivyo mwenye nyumba aliamua hivyo sikuwa na kipingamizi

"Kule chooni una uhakika tishu umeweka ??"

Aliuliza mke wangu

"Kila kitu kiko Sawa....."

Marafiki zake walianza kuingia na wengi nilikuwa nikiwafahamu, kwanza mavazi waliyokuwa wamevaa sikupendezwa nayo kabisa kabisa, ukiangalia na vijana wa kiume walikuwa wameingia wengine nilikuwa nawajua ila hao wengine sikuwa nikiwajua kabisa

"Hey, tunaitaji ice hapa....."

Alizungumza kijana mdogo Sana yaani kwa kumuangalia nilikuwa nimempita miaka zaidi ya 5 muda huo alikuwa ananiagiza mimi na siku hiyo nilikuwa muhudumua kwani mke wangu alitaka iwe hivyo nimeamini sio kila mtu ataruhusu utumie chake kwa uhuru na hiki ndicho nakiona kwa mke wangu sasa.

ITAENDELEA
 
Mwandishi jifunze kuandika kiswahili.. matumizi ya R na L. Kwa ulivyoandika hapa sisi wasimamizi wa uchaguzi tunahitimisha kwa kusema HUJUI KUSOMA NA KUANDIKA
 
Mwandishi jifunze kuandika kiswahili.. matumizi ya R na L. Kwa ulivyoandika hapa sisi wasimamizi wa uchaguzi tunahitimisha kwa kusema HUJUI KUSOMA NA KUANDIKA
Nimeandikiwa mwaya kwakuwa sijui kusoma na kuandika
 
KWAAJILI YAKO MAIMUNA

MTUNZI: PATRICIA ANTONY

SEHEMU YA: 03

MAWASILIANO: 0783642467

SONGA NAYO.....

NB: HII SIMULIZI HAIUZWI NI OFA KWA FANS WANGU OGOPA MATAPELI HAKUNA KUNUNUA NI BURE ILA USIJE INBOX UTAIPATA POLEPOLE NIKIPOST........

TUENDELEE........

Mdada yule aliyejulikana kwa jina na Nagma alionekana kuvutiwa sana na Rajabu muda wote alikuwa akimtazama kwa jicho fulani hivi mpaka rajabu akawa anamuonea aibu, kwa siku hiyo rajabu alifanya kazi pasi na kupumzika....

Muda wa kufunga ulifika marafiki wa nagma walikuja kuchukuliwa na wanaume zake isipokuwa nagma ambaye alikaa pale ana alikuwa amelewa, sana bar ilifungwa na mlinzi alikuwa akimfukuza nagma Rajabu hakuona sawa kumuacha nagma ambaye mpaka muda huo alikuwa akipiga simu ya mpenzi wake ambayo haikupokelewa muda wote

"Dada twende......"

"Unataka unipeleke wapi ?? Siendi kokote mume wangu kaniambia nikilewa nisiendeshe gari siendi sehemu...."

Alilalama Nagma na pombe zake muda huo simu yake aliweka pembeni pochi yake ilikuwa na pesa nyingi sana na ilikuwa wazi rajabu aliiangalia sana akaichukua akaweka na ile simu akambeba binti nagma na kuondoka nae mpaka kwenye parking kwakuwa gari iliyobaki ni moja ilikuwa rahisi rajabu kugundua kuwa ilo gari ni la Nagma alichokifanya ni kuifunga vizuri muda huo nagma hakuwa akijielewa alikuwa akitukana tu na kutoa maneno ya ovyo juu ya mume wake ambaye hakupokea simu yake wala kumfata kule bar.

Rajabu aliita tax ambayo moja kwa moja iliwapeleka nyumbani kwao kule uswazi

"Eeeh jamani huyu nani tena ??"

Aliuliza maimuna ambaye kwa muda huo yeye ndio alikuwa macho akichezea simu

"Acha kuuliza na usogee hapo nipite...

Ilikuaa ni usiku na upepo ulikuwa kama wote lakini sasa kwa shida aliyoipata rajabu kwa kumbeba huyo mwanadada alikuwa akitokwa na jasho jingi sana

"Huyu nani kwani ??"

Maimuna akuchoka akaendelea kuuliza

"Ni mgeni wangu sizani kama kuna kitu kingine unataka kujua, siwezi ingia chumbani kwenu kamuite shyna aje mumshike kumpeleka chumbani "

"Yaani na mapombe yake aje kulala ndani kwetu ?? Hapana kwakweli me siwezi lala na mtu ananuka mapombe kiasi iko....."

Muda huo rajabu alikuwa ameshamlaza Nagma kwenye kochi na alikuwa ameshikilia pochi yake tu, maimuna kweli alizamilia aliingia chumbani kwao akazima taa na kufunga mlango kabisa, rajabu hakuwa na budi zaidi ya kumpeleka Nagma chumbani kwake kwani sebuleni kulikuwa na mbu sana lakini pia hakuweza kumuacha pale ikiwa yeye ni mgeni Wao....


Asubuhi wakwanza kuamka alikuwa ni Nagma alishtuka sana kujikuta kwenye nyumba kuu kuu ambayo tandabui ndio walikuwa mapambo makuu ya chumba iko lakini bado vitobo vidogovidogo vya bati ilo pia ndio vilikuwa vikipitisha mwanga kwenye chumba iko.

Nagma alibaki akitalii chumba kizima na kujiangalia na alikuwa na uchovu sana kutokana na pombe nyingi alizokunywa ndani ya usiku uliopita, katika kutaka kushuka ili atoke nje na kujua yuko wapi alishtuka baada ya kumkanyaga mtu

"Yaaalaaaah"

Alishtuka rajabu ambaye usiku kucha alilala chini kabisa tena kwa kutandika kiloba baada ya kumuacha Nagma kulala kitandani

"Ooooh am so sorry daaah, nisamehe umeumia....??

Aliuliza Nagma kwa haraka sana baada ya kuhisi kuwa rajabu atakuwa ameumia

"Amna niko sawa...."

"Ooooh rajabu sio ??"

Nagma alionekana kumkumbuka vizuri sana rajabu

"Ni mimi...."

"Hope sikukusumbua jana, lakini naomba kuuliza nilifikaje hapa na ni wapi ??"

"Aaah hapa ni nyumbani kwetu sisi na mimi ndio nilikuleta ulikuwa mwenyewe baada ya wenzio kuondoka, lakini pia bar ilifungwa sikuwa napajua kwako na nisingeweza kukuacha peke yako pale maana dunia imeharibika sana "

"Ooooh so sweet jamani, asante sana Mungu akubariki "

"Usijali aaah njoo...."

Rajabu akamshika mkono Nagma na kumtoa nje hapo alimkuta shyna akifanya usafi yaani alikuwa akifagia uwanja na maimuna alikuwa amelala tu

"Oooh karibu....."

Alikaribisha shyna kwa heshima zote uku akicheka cheka tu

"Aaah muwekee maji na umpatie gauni yako moja avae...."

Na kweli alitakiwa kubadili nguo maana mavazi yake yalikuwa mafupi mno na kufuani sehemu kubwa ya mwili wake ulikuwa wazi....

"Sawa....."

"Ngoja nikamuangalizie supu...."

Alizungumza rajabu na kuondoka shyna akaingia ndani akatoka na kitenge kimoja kisha kumpatia Nagma, haraka akamuwekea maji na kwenda kuoga...

Baada ya dakika kadhaa rajabu alirudi akiwa na kontena la supu zile za mtaani yaani bandama na mapupu supu yangu pendwa

"Sijui kama unakulaga supu yetu ya bei rahisi...."

Alizungumza rajabu uku akikabizi contena ya supu kwa Nagma ambaye muda mwingi alikuwa akimtazama rajabu usoni na kutabasamu

"Weeeh kwahiyo huyu ndo wifi yangu ??"

"Shika adabu yako wewe ? Yaani nilete mwanamke kipindi hiki ?? Thubutu kwanza sina mwanamke "

"Mmmmh sema kweli sema mzuri huyo na kapendeza hatari "

"Kapendeza na nini.?? Yale mavazi ya nusu utupu au ? Ila sijui wanawake mna nini nyie kama uzuri unao utaonekana tu sio mpaka uvae mavazi ya wazi "

"Sawa ba mchungaji, tuachane na hayo sasa kama sio wifi mbona katokea chumbani kwako na mmependezana "

Rajabu alikuwa mtu muwazi sana kwa dada yake akitumia muda huo kumuelezea kwani walikuwa nje wakichota maji na Nagma alikuwa ndani akinywa supu si unajua ugenini lazima ule polepole


"Huyu maimuna sasa anatupanda kichwani yaani anaonesha chuki za waziwazi kwahiyo kagoma kabisa huyu mdada kulala ndani kwetu ??"

"Ndo hivyo....."

"Subili nimfate"

"We nawe fliji lako lilivyokuwa aligandishi kumbuka mama alisema kuwa tusije tukafanya mambo ambayo yatamfanya maimuna ajione mpweke.."

"Hapo ndo unanikelaga tena usiwe unamtajaga mama kwenye magoda ya mai....."

Shyna alionekana kuchukia sana akabeba ndoo yake ya maji na kurudi ndani

"Asanteni sana nimeshiba "

Ile kuingia tu Nagma aliwashukuru kwa supu

"Aaah nisiendelee kupoteza muda naomba niwaache na kuhusu gauni yako nafikili nitailejesha leo jioni hapa au kazini kule "

Alizungumza Nagma kwani kwa wakati huo alikuaa amevalia gauni ya shyna

"Haina haja unaweza ukabaki nalo "

"Kweli.....??"

Aliuliza Nagma akionesha kuwa ametokea kulipenda sana gauni la shyna

"Ndio "

"Asante sana nitakuletea zawadi sasa rajabu wacha nikuache mie niwai maana na muda wa kazini umefika nitapitiliza "

Basi rajabu akakabizi pochi ya Nagma na kumsindikiza kidogo mpaka barabara kubwa, Nagma alifurahishwa sana na familia ya kina rajabu na hakuwa amemuona maimuna kwa siku hiyo kwani alikuwa bado amelala.

Rajabu baada ya kumsindikiza Nagma akarudi nyumbani lakini alishtuka baada ya kuona watu wakiwa wamejaa pale nje kwao aliwai na kitaka kujua nini kinaendelea alishangaa sana baada ya kukuta shyna akiwa anapigana na maimuna tena adhalani na hakuna jilani ambaye alikuwa akiwaamulia zaidi ya mama rukia haraka rajabu akadandia tawi la mti wa mwarobaini na kuanza kuwatandika kama watoto kila mtu alikimbilia ndani wakabaki wakitumpiana maneno uku na uku....

ITAENDELEA.....KWAAJILI YAKO MAIMUNA

MTUNZI: PATRICIA ANTONY

SEHEMU YA: 04

MAWASILIANO: 0783642467

SONGA NAYO......

"Nimesema kimya wote kimya, msinifanye mtoto mdogo hapa naongea na nyie mnaongea "

Alifoka Tajabu baada ya kuona maneno yamekuwa mengi

"Mwambie huyo mdogo wako sijui shyna amekuwa na shida gani na mimi amekuwa akinifokea kama mdogo wake anaongea maneno machafu juu yangu anaongea kila aina ya maneno ya ovyo juu yangu yaani mimi umu ndani sitakiwi kufanya maamuzi kwasababu sio kwetu si ndio ?!

Alizungumza maimuna akilia sana na hayo mazingira amekuwa akiyatengeneza kila siku yaani kila akifanya kosa anatengezeza mazingira ya kuonekana kuwa ananyanyasika....

"Maimuna kaa kimya sijui mnagombania nini lakini pia sitaki kujua nachotaka mnyamaze nataka kuzungumza kitu....."

Kila mtu akakaa kimya

"Mmeangaliwa kuwa saa hizi ni saa ngapi ?? Mmeangalia majilani kiasi gani wamejaa hapo nje wakiwatazama ninyi ?? Mmewaona majilani wanavyowacheka ? Hakuna ata mmoja alijitokeza kuwaamua isipokuwa mama rukia ambaye ata yeye amechoka sio ndugu anaweza akatuchoka muda wowote na saa yoyote ile sijui kama mnanielewa jaribuni kuwa watu wazima mnaojielewa tazama kaka wewe mai unapigana na vazi lako ilo angakia nyonyo lote nje majilani wanaangalia tu, na sasa hivi dunia mkononi si ajabu ukaja kujikuta uko mitandani kwenye page za udaku please msinitie aibu....."

"Lakini ka......."

"Usizungumze shyna nimesema mimi ndio naongea sitaki maoni wala ushauri "

"Ujawai kunipa nafasi ya kuongea, ulivyoondoka tu nikawa natoa vyombo alivyolia da nagma "

"We kila mtu dada yako ?

Alidakia maimuna alionekana kuwa ni binti mkorofi sana

"Unamuona sasa ata kuongea sijamaliza anadakia "

"Naitaji kulala kabla muda wangu wa kazini haujafika sawa ?? Siitaji hizi kelele kila mtu aendelee na shughuli zake na wewe maimuna usitake nikuoneshe hasira zangu hakuna kutoka kwenda kokote leo yaani utulize komwe lako hapo toa hizo futi zako uone kaka sijakuvunja miguu "

Alifoka rajabu

"Bora umemwambi anazurula kama kuku mwenye njaa "

"Weeh nawe kaa kimya wigi kama manyoya ya tausi "

Eeeh si wakaanza kutupiana maneno tena mwisho kila mtu akashika njia yake na rajabu akapata muda wa kupumzika....

Kama kawaida muda wa saa 10 rajabu alijiandaa na kufika ofisini....

"Tajabu kuna mzigo wako hapa ameacha msichana fulani hivi alisema kuwa anaitwa Nagma "

"Oooh sawa, asante "

Tajabu alipokea mzigo ule ambao ulikuwa kwenye mfuko mweusi hakufungua kwani ulikuwa ni muda wa kazi akaweka sehemu tulivu na kuendelea na Mishe zake za hapa na pale....

"Shyna mwenywe iki kibanda mlichoachiwa na mama yenu unaona kama ghorofa sio ??"

"Kwani maimuna mama yangu me sio mama yako ??"

"Unajisahaulisha au .? Me kwani ndugu yenu ? Japo simfahamu mama yangu lakini awezi kuwa kama bi rehema kweli amenilea lakini hakuwa na hadhi ya kuwa mama yangu "

Alizungumza maimuna maneno makali sana ambayo yalimuiza mno shyna aliangua kilio

"Eeeh msiba mwingine uku "

Alizungumza maimuna na kuondoka uku akimuacha shyna akilia.....

Majila ya usiku kama kawaida rajabu alirudi akiwa amechoka sana alishangaa muda huo kumkuta maimuna akiwa amekaa nje ikiwa ni usiku sana

"Mbona nje muda huu ??"

" shyna amenambia asinione nyumbani kwa mama yake nikatafute mama yangu aliko....."

Alidanganya maimuna ambaye kwa muda huo hatukujua alikuwa na lengo gani maana huyu binti naye ni pasua kichwa

"Kisa nini ?

"Ni ule ugomvi wa asubuhi nikajua tumesahau kila kitu na tunaendelea na mambo mengine lakini mwenzangu amechukulia hasira ameongea maneno machafu sana juu yangu najua mimi sio ndug......."

Rajabu akawai na kumziba maimuna mdomo....

"Usije ukazungumza hivyo Wewe ni ndugu kwetu lakini pia ni mkubwa kwa shyna haya mambo yanazungumzika, lakini kwa sasa hivi wacha nimnyooshe......"

Alichukia rajabu na kutaka kumfata shyna lakini maimuna alimuwai

"Muache haujui na yeye anayapi anayapitia nafikili mpaka asubuhi atakuwa Sawa "

"Sasa utalala wapi ? Lazima tugonge afungue mlango ulale "

"Nitakaa hapa nje ata hivyo sina usingizi "

Unawazimu wewe.."

Alijibu rajabu na kumshika mkono kisha wakaingia chumbani kwa rajabu

"Panda kitandani ulale kwanza umekula ??"

"Ndio....."

Alijibu maimuna kisha akapanda kutandani rajabu alilala chini akiwa na mavazi yake, kulikuwa na joto sana usingizi ulikuwa wa shida sana lakini hakuweza kupunguza mavazi yake akiamini kuwa alikuwa amelala na dada yake baada ya muda kidogo

"Maimuna ni nini lala juu kule......"

"Yaani me nilale juu kaka yangu ulale chini siwezi kabisa bora tuteseke sote apa chini "

"Acha mambo yako basi sawa ?? Acha kabisa "

"Nitalala hapa "

Maimuna alikuwa mkaidi sana na kwa muda huo rajabu alikosa ujanja zaidi ya yeye kuinuka na kukubali kulala kitandani ili na maimuna alale kitandan kwani chini kulikuwa kukiumiza sana..

"Haya sasa ulale "

"Hapa sasa nitalala kwa amani kwani kaka yangu pia amelala sehemu nzuri "

Wakacheka kwa pamoja ila maimuna jamani ni muigizaji mzuri sana .

Baada ya Muda tena maimuna alianza kuangaika na kumshika shika rajabu wa watu mwaya

"Maimuna ni nini.......??"

Aliuliz rajabu lakini pia maimuna hakujibu aliendelea na kazi yake na kwakuwa rajabu na yeye yuko vizuri kama mwanaume hakuacha nafasi ipite hivi hivi bhana na usiku ulikuwa Murua kabisa....

ME SIMO JAMANI NI KAKA NA DADA HAO ila awajashea mama wala baba wala awana undugu wa mbali.

ITAENDELEA
 
MKE WA PILI

MTUNZI: PATRICIA ANTONY

SEHEMU YA: 03

WHATSAPP: 0676604830

KAWAIDA: 0783642467

SONGA NAYO........

Niliendelea kuwahudumia usiku ule na walinidharau kama ambavyo uwa wanawadharau wale wahudumu wa bar pasi na kuthamini kuwa wale wapo pale kwaajili ya kutafuta pesa ya kukidhi mahitaji yao muhimu ilifika majila ya usiku Sana nilichoka mno na kujikuta nikilala kwenye meza ya jikoni

"Baba, baba....."

Alikuwa ni binti yangu Triner aliyeamka kutoka usingizini na akashuka chini mpaka kufika jikoni akiwa ananitafuta

"Sasa mbona umelala uku ?? Si uende chumbani baba "

"Aaah, oooh, aaah naenda lakini mbona wewe uko macho....??"

"Uliniambia nikusubili unisaidie homework lakini nimeshafanya Kapumzike baba....."

Hapo sasa ndo akili ya usingizi ikaanza kutoka bado nilikuwa nasikia mziki mkubwa sana

"Inamaana bado wanacheza mziki "

Niliuliza

"Mama amelewa mno, kalale baba...."

"Sawa nenda chumbani kwako....."

Siku hiyo sikuwa na muda mzuri na binti yangu hivyo niliamua kumsindikiza chumbani kwake ile tunapandisha ngazi tu mke wangu aliniita kwa sauti ya kulewa

"Weeh deo "

Aliita uku akicheka nilisimama na kugeuka nyuma

"Unaenda uko juu una chumba wewe eeeh yaani mijana ume mingine bhana inajaza vitambi tu kwa pesa za mwanamke sasa sikia ongeza vinywaji na nyama hapa...."

Sikutaka binti yangu asikie maneno kama hayo lakini aliweza kuyasikia kwasababu alikuwa na mimi

"Triner kalale mama sawa....."

Aliondoka kwa huzuni sana nilishuka chini na kumvuta mke wangu mpaka jikoni nikabana mlango....

"Hivi ndo nini hivyo uoni kama unanidhalilisha ??"

" sasa jamani kwani uongo we si unaishi kwenye nyumba yangu jamani...."

Daaaah hasira zilinijaa sana nilichofanya ni kumsukuma na kuondoka hapo nikaondoka moja kwa moja mpaka kwenye chumba changu cha kulala niliingia nikafunga mlango kisha nikawasha taa

Ila naangalia kitandani milishtuka sana kumuona rafiki wa mke wangu ambaye alikuwa anaitwa recho akiwa kwenye kitanda changu

"Ooooh nahisi umekosea chumba shem...."

Nilizungumza

"Wala sijakosea nimekuja kukufata wewe....."

Nilishangaa Sana kwani katika mashemeji zangu ninao waheshimu au tunahwshimiana sana basi ni huyu recho amekuwa bega kwa bega na familia yangu kwa ujumla kwahiyo alinishangaza sana, nikawaza kuwa pombe zinamchanganya

"Deo unaogopa nini awezi mtu kutuona mara moja tu "

Aliendelea kuzungumza, sikutaka maneno mengi, alianza kuinuka na kunisogelea nilichofanya ni kufungua mlango na kutoka nje

"Ndo mambo gani haya...."

Alifoka recho baada ya kufika kwa mke wangu

"Nini tena....??"

"Si huyu nani deo mwanaume aliyekufuja miaka na miaka...."

"Ila awezi kunifuja tena yaani hapa naelekea kuwa teen age shoga angu haya kakuambia nini ??"

"Nimemuomba kinywaji kaniambia nisimsumbue yaani huyu kinyago ndio wa kunijibu mimi hovyo kweli ??"

Mke wangu alichofanya ni kuzima mziki kisha akanifuata na kunichapa kibao kimoja mbele ya kila mtu maana alipozima mziki ni kama alikuwa akiomba attention kwa watu hivyo kila mtu alishuhudia lile tukio, walibaki wakinicheka tu

"Hiki kibao ni kwaajili ya nini ??"

Nilimuuliza

"Kwa kudharau wageni wangu "

Niligeuka na kumuangalia recho

"Ndio kwani ujanizarau ?? Au ??"

Alizungumza recho na kunisogelea yaani kama anachambana na mwanamke mwenzie

"Inatosha sasa...."

Alizungumza msichana ambaye kati ya wote yeye ndio alikuwa amevaa mavazi ya heshima na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kumuona

"Sabitina kaa kimya...."

Recho alimtuliza yule msichana na hapo ndipo nilipojua jina lake

"Me nashindww kuelewa, kama kila kitu amefanya vinywaji vyote viko pale, anapaswa kupumzika sasa, tangu......"

Kabla hajamaliza mke wangu akafoka

"Who are you ? Ya hapa hayakuhusu umekuja kama mgeni kaa kama mgeni, recho umemtoa wapi huyu ??"

" aahaha kitoto cha shangazi yangu nimekatoa kijijini Kaje kusaidia kazi lakini sasa naona anataka kichwani....."

You know what am out....."

Alijibu msichana yule ambaye nilijua kuwa anitwa sabitina kisha akataka kuondoka lakini akarusi na kusema

"Mwanzo nikivyokuja nikajua ni utani wa mume na mke lakini sasa hivi ndo nimeeelewa Martina, huyu ni mumeo marafiki watakupoteza...."

Alizungumza hivyo kisha akaondoka

Nilibaki nikiwa nimeganda tu, waliendelea kufanya mambo yao muda huo nilirudi chumbani kwangu alikuja rafiki yangu Benny

"Dude unazingua...."

"Benny am not in a mood "

Nilijibu

"Naelewa, unajua nilipofika mda ule mpaka mda huu nawaza huyu ndio Martina ninayemjua mimi au ? Kuna mwingine "

Katika marafiki zangu ambao walikuwa wananielewa basi ni huyu nilimthimulia kila kitu sikutaka kumficha

"Men unaniangusha bhana hata kama unaishi kwake hakikisha kuwa hakupandi kichwani endelea kusimama kama mume achana na mambo ya kusema upo kwake "

"Brooh hayajakukuta bado "

"Kwani ya hajawai kuishi kwako ?? Miaka mingapi tangu mfunge ndoa ?? Na amekuwa akiishi kwenye nyumba yako acha unyonge brother "

Tuliongea mengi sana na hapo alinifanya niwe na hasira sana hata usingizi sikuweza kupata.

Sherehe ilipoisha, hapo ndo niliweza kumuona kijana ambaye alikuwa na mahusiano na mke wangu alikuwa kijana mdogo Sana wale wanaopends kulelewa na majimama, muda huo walikuwa wakipandisha ngazi ili kuweza kuingia ndani niliwai na kuanzisha fujo nilisimama kama mume sasa nilimpiga sana yule kijana mpaka mke wangu akawa anaogopa

"Utamuua mume wangu muache...."
Nilibeba yule kijana mpkaa nje kabisa na kumuacha uko nikafunga geti la nje nikafunga na milango nikarudi kwa mke wangu

"Sasa ndo nini jamani, unafukuzaje wageni ??"

Alilalamika mke wangu, nilimvuta mpaka chumbani tena chumbani kwake, nilikuwa nimechukia sana sikuwa na muda nilidai haki yangu ya ndoa na kwakuwa alikuwa akiogopa kwa wakati huo akatoa

Tulikuja kuamka asubuhi tumelala kila mtu kageukia upande wake

"Umeingiaje umu ndani ??"

Aliuliza baada ya kunikuta kitandani kwake

"Kwamba me siwezi kutembea au...."

Akavuta shuka na kujichungulia

"Umenifanya nini ??"

"Nimekubaka katangaze...."

Nilijibu hivyo kisha nikainuka na kutoka nilifika nje na kukuta binti yangu alisafisha nyumba maana ilikuwa chafu sana kutokana na sherehe iliyofanyika usiku

"Ooooh pole princess "

"Asante baba shikamoo...."

"Marahaba nikajua utakuwa umeenda kabisani "

"Hata Mungu atanisamehe maana daah umeamkaje baba??"

Yaani binti yangu alikuwa kama rafiki yangu, kwa pamoja tukaanza kufanya usafi pale mpaka tukamaliza, tumaandaaa chai muda huo mke wangu alikuwa amekaa tu kwenye kochi, kwa pamoja kama familia tulikaa kwenye keza ya chakula.

"Mama....."

Aliita Triner uku tukiwa tunaendelea na chakula

"Nimevumilia kwa muda lakini wacha niseme unanikwaza mama yangu"

"Kwanini baby ??"

"Maisha ya sasa unayafurahia ??"

"Unamaanisha nini, of course nafutahia tunaishi pazuri kila kitu kiko flesh "

"Labda kwako lakini sio kwangu na baba angu, mama unafuki......"

"Triner haya mambo ni mimi na mama sawa...."

Niliamua kumkatisha binti yangu maana ni kama alikuwa anaingilia mambo ya wakubwa hapo alisusa na kuondoka na hii ndio Mara ya kwanza namuona binti yangu akiwa amechukia kiasi hiki....

ITAENDELEAMKE WA PILI

MTUNZI: PATRICIA ANTONY

SEHEMU YA: 04

WHATSAPP: 0676604830

KAWAIDA: 0783642467

SONGA NAYO....

"Naona umeanza kumfundisha mtoto ujinga...."

Alifoka mke wangu baada ya binti yetu kuinuka na kwenye meza ya chakula

"Martina this is your fought "

"Oooh really ?? Ila ni kweli maana nisingekuchukua kule jalalani na kuja kukuifadhi umu ndani basi leo ni ningekuwa nimekaa na amani kabisa na binti yangu "

Niliinuka na kumfuata binti yangu chumba kwake

"Sitaki kuongea na mtu...."

Alizungumza hivyo baada ya mimi tu kuingia chumbani kwake

"Ni kweli utaki kuongea na mimi jamani....??"

"Ndio....."

Ni kweli alikuwa amechukia hivyo nikatoka nje ili kumpatia nafasi ya kupunguza hasira zake

"Natoka...."

Ilikuwa majila ya saa 6 mchana yaani mke wangu alivaa nusu utupu kabisa

"Kabadilishe nguo...."

Nilimwambia

"Hiyo nguvu ya kuniamuru unatoa wapi deo ? Subili nikuambie, hapa unaishi kwangu sawa, na kumbuka kuwa uko na kesi kubwa sana ukithubutu ata kunigusa sasa hivi basi nitaenda kukushtaki na utajua nini kitakukuta "

Alizungumza mke wangu na kuondoka na hapo nikawa mpole maana nikifanya kosa itakula kwangu hivyo niliamua tu kuwa mpole

Mke wangu alivyotoka tu kama lisaa limoja hivi akaja yule rafiki yake anaitwa recho nilimsalimia vizuri kabisa nikiamini mambo yaliyotokea usiku ni kwaajili ya pombe

"Eeeh naona nyumba inawaka tu...."

Alizungumza hivyo akiwa anashushia na maji baridi muda huo Triner alikuja akasalimia kisha akarudi chumbani kwake na muda huo ugomvi wake na wangu ulikuwa umeshaisha...

"Aaah ujawasiliana na Martina au ? Maana ametoka lisaa limoja lililopita...."

"Najua, na najua alipo anakula zake raha za dunia, na mimi nikaona nije kukupa kampani ikiwezekana tuinjoy....."

Hapo ndo nilifundua kuwa kila kitu alichokuwa anafanya jana usiku kilikuwa cha kweli na sio kwaajili ya pombe

"Usijali recho am happy with my daughter so just relax "

"Deo......"

Aliinuka na kuanza kunisogelea pole pole haraka na mimi nikainuka maana nilimuwa nimekaa kwenyw kochi

"Really?? Yaani unainuka kunikimbia kabisa, sasa hapa ndo naamini maneno ya Martina kuwa jogoo siku hizi apandi mtungi "

Macho yalinitoka yaani mke wangu ndo ananisema kwa watu tena mambo ya uongo kabisa

"Mmmh mwili wote huo lakini hauna maajabu deo kweli prove me wrong bhana shem wangu "

Yaani huyu mwanamke ni kama pepo hivi, niliamua kwenda kujifungia chumbani kwangu

Baada ya kama masaa mawili hivi mke wangu alirudi akiwa na furaha sana nilibaki nikiwa nashangaa tu

"Recho, thanks kipenzi Asante sana jamani uwiii...."

"Nilikwambia mimi, kuliko kuendelea kung'ang'ania huyu mtu na kitambi chake bora....."

Kabla hajamaliza nilijitokeza kabisa mbele yao ili wajue kuwa nawasikia, cha hajabu mke wangu hakushtuka wala ila recho ndio alionesha kuwanna wasiwasi kisha wakaangaliana na kuangua kicheko iko daaah, mwenyewe nilijikuta tu machozi yakitoka

"Martina huu uchulo me siutaki ngoja niondoke...."

Alizungumza hivyo na kutoka nje nilibaki nikiwa namuangalia mke wangu

"Mmmmh nikapumzike mie, wezi wacha waendelee kuvuna walichopanda...."

Yaaani ilifika hatua nikawa nasema huyu sio mke wangu kweli tena me Martina sijamzoea hivi yaani kiufupi Martina niliyemuoa hakuwa na tabia chafu kama hizi.

"Martina....."

Nilimuita kwa sauti ya juu sana na wakati huo alikuwa akipanda ngazi alipoona kuwa nimechukia alikiambia na kujifungia mlango.

Majila ya saa mbili usiku nilikaa sebuleni na binti yangu nikimfundisha fundisha kidogo, Mke wangu alitoka chumbani akiwa amependeza kama kawaida alivaa mavazi ya nusu utupu

"Tutaonana kesho, Triner school bus itakufuata, lakini pia kesho nitalipa ada yako...."

Alizungumza na kuondoka nilibaki nikiwa nimeganda tu

"Daddy, seriously??"

Aliuliza binti yangu

"What ??"

"Your unbelievable "

Aliinuka na kuondoka nilielewa ni kipi kilimfanya alalamike vile lakini sikuwa na namna nilibaki nikiwa nimeganda.....

Siku iliyofutaa mwanangu alienda shule na mke wangu hakuwa amerudi nilipata wasiwasi na kupigia

"Niko salama na niko kazini subilia nikuletee hela ya kula"

Alijibu na kukata simu, ile nakata simu tu simu ya dada angu mkubwa iliingia akiwa ananipigia

"Deo, nimeamua kuku surprise niko mjini, lakinj nimekuja nyumbani kwako nimeambiwa haupo ulishatoka....."

Daaah kucheka natamani kulia natamani ona sasa surprise imeharibika na anakuja sehemu ambayo amani amna kabisa

Nilimuelekeza nilipo na alipofika tu nilimpokea

"Dada pesa yangu....."

Alizungumza dereva yule wa boda boda, dada yangu akanigeukia

"Anakupa huyu...."

Yaani mimi mwenyewe hata mia sina halafu anatalajia nilipe boda kweli mitihani gani hii

"Sijabeba pesa kabisa, mpatie tukifikq nyumbani nakupa...."

Nilizungumza hivyo, na akalipa

"Yaani nilipokukuta umesimama hapa nikajua hapa ndo nyumbani kwako "

Alizungumza dada yangu ambaye kuongea kama cherehani

"Ndio hapa....."

Jamani kwahiyo kuingia hapa tu na kuchukua pesa ili ulipe umeshindwa, tuachane na hayo .mmh kaka angu kumbe maisha safi eeeh ? Mjumba wote huu...."

Twende ndani..."

Niliona maneno mengi hivyo nikaamua tu kumwambia ndani, nilimkaribisha ndani na kumpatia juice

"Kabla sijasahau naomba elfu 3 yangu ya boda "

Kuhusu dada tu nilipata na leo naumbuka niliingia mpaka chumbani kwa mke wangu nilianza kupekua uku na uku jamani natafuta pesa mie Mungu mkubwa nilikuta kitita cha pesa kwenye nguo zake nikachapua mie sikuhesabu lakini zilikuwa nyingi nikaenda sebuleni na kumpatia dada angu elfu 10

"Eeeh na chenji natoa wapi ??"

"Chukua yote "

Nyie si nikajiona boss kesi nyingine ya wizi inaniita .

ITAENDELEA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom