Anataka mchukua mwanangu kinyemela

Anataka mchukua mwanangu kinyemela

Tafuta mwanasheria
ninavyojua mtoto chini ya miaka kumi anatakiwa kukaa na mama
unless kuwe na sababu zingine

anzia pia ustawi wa jamii
Na baada ya hapo huwa anaenda kukaa kwa baba kama mama anashindwa kumpa huduma mwenyewe na anahitaji msaada wa baba
 
Ok The boss thanks,nilikaa kimya nikawa nafanya yangu,lakini naona kila leo kauli yake ni hiyo ya kumchukua mtoto.Je alivyonitelekeza nikaaibika asijulikane baba wa mtoto hata kwa majirani kipindi chote hiko,anaona si hoja.Nadhani ni wakati sasa nifanye maamuzi magumu.sijawahi mnyima kumwona mwanae ila kumchukua aache nikishindwa kumlea nitamkabidhi mwenyewe bila shuruti
Na unaanzaje kushindwa kumlea?pambana tu na utafanikiwa
 
Huu ndio tunauita ubinafsi, mtoto mlitafuta wote alafu unatumia neno my prince inamaana ye hamhusu? Kukataa kulea haitoi uhalisia wa ubaba wake na umiliki wa huyo mtoto.

Ushauri wangu tafuteni sehemu tuliivu mkiwa wawili mjadili hatma ya huyo mtoto na jinsi ya kumlea nina imani hakita haribika kitu
Unafkiri ubaba ni uwezo wa kutoa mbegu tu na kuzalisha then ukimbie?chaaaa yaani kwanza baba asiyehudumia mwanangu nabadilisha mpaka jina la ukoo analotumia atatumia la kwangu na kingine hakuna ugumu mm kumwambia ww ulishakufa kitambo
 
Huu ndio tunauita ubinafsi, mtoto mlitafuta wote alafu unatumia neno my prince inamaana ye hamhusu? Kukataa kulea haitoi uhalisia wa ubaba wake na umiliki wa huyo mtoto.

Ushauri wangu tafuteni sehemu tuliivu mkiwa wawili mjadili hatma ya huyo mtoto na jinsi ya kumlea nina imani hakita haribika kitu
Vilevile wakat huyo baba anagoma kutoa matunzo ya kuhudumia mwanae yy hakua mbinafsi?
 
Unafkiri ubaba ni uwezo wa kutoa mbegu tu na kuzalisha then ukimbie?chaaaa yaani kwanza baba asiyehudumia mwanangu nabadilisha mpaka jina la ukoo analotumia atatumia la kwangu na kingine hakuna ugumu mm kumwambia ww ulishakufa kitambo
Hata umwambie nimekufa nimeoza bado atabaki kuwa mwanangu, utanitenganisha nae tu lakini uhalisia utabaki kuwa ni damu yangu
 
Vilevile wakat huyo baba anagoma kutoa matunzo ya kuhudumia mwanae yy hakua mbinafsi?
Kuna sababu nyingi nyuma ya pazia you never know, tatizo lenu akina mama wagumu kuelewa mnataka kila mnachokitaka kifanyike kwa wakati huo, mtu akikuambia kafulia ujue kafulia kweli.
 
Bibie naona bado unampenda jamaa ndo maana anahangaisha serikali ya kichwa chao,una mahusiano na mtu mwingine kisha unabembelezana na baby dady wako eti uumpe mtoto atakupa mwingine na unakuja kuomba ushauri humu aiseeeee pole kwa mwanaume wako wa sasa

Mara malezi yakikushinda utampa ooh asubiri ifike miaka saba aje amchukue be serious mtoto sio jojo kusema ikiisha utamu utaitupa. Hakukuoa kiasi cha kuwa na haki zote za kujichukulia mtoto.
 
Mmmh mtu ana mimba yako unamuambia sikupanga kuwa na mtoto hivi karibuni means katoe hio mimba. Bidada kalea mtoto kakua jamaa anajirudisha kisingizio unachotoa ni hiki aiseee
Kuna sababu nyingi nyuma ya pazia you never know, tatizo lenu akina mama wagumu kuelewa mnataka kila mnachokitaka kifanyike kwa wakati huo, mtu akikuambia kafulia ujue kafulia kweli.
 
Yes mwache amuite my prince. Huyo baba hana nafasi alitelekeza mtoto kwa roho yake ya ubinafsi halafu aje kumtaka mwanae kwa Muda anaotaka yeye. Huyu mwanamme ni zaidi ya mshenzi. Mama husiruhusu mtoto wako achukuliwe na ile dudu, mlee mwenyewe mwenyezi Mungu atakubariki tu.
Tatizo lenu jambo dogo tu mnalikuuuuza, kwahyo ikitokea baba leo hana hela ya matumizi hata kesho hutamuomba?

Kipindi hicho hakua na kitu lakini sasa Kapata mwacheni atumie na mwanae
 
Tafuta mwanasheria
ninavyojua mtoto chini ya miaka kumi anatakiwa kukaa na mama
unless kuwe na sababu zingine

anzia pia ustawi wa jamii
Kama hakutoa mahari na hakuoa mwanasheria hatasaidia.
.
.
Bidada shikilia msimamo wako. Tena mwambie mtoto si wake, na kama ulimpa mtoto jina la baba yake badilisha mpe jina lako. Wajinga sana hawa vidume sometimes.
 
Dada zetu bwana.

Kwahiyo hapo unasema mtoto ana baba wakati hajawahi toa hata kilo moja ya sukari ya uji wa mtoto.

Ningekuwa ndio mimi huyo jamaa asahau kama ana mtoto.

Ila dada zetu mna huruma sana.
Hii huruma huruma ndio inafanya watudharau. Lea mtoto wako dada. Usiruhusu akamchukua. Km vipi subiri akue atamtafuta baba yake mbele ya safari.
 
Huyu nae Maelezo yake hayajitoshelezi, kasema jamaa hatoi Hata kumi mara huwa anakuja kumona mwanae simkataliagi,, anakujaje kumona mtoto nakuondoka asitoe hata mia???
 
Habari za mida wanabodi
Nikiri tu mimi ni member mzuri sana wa JF.Ok tuache soga ndefu,ni hivi kuna mwanaume nilizaa nae kitambo kiasi na baada ya mtoto kuzaliwa tu akanipotezea mimi na mwanangu.Bt hey tembo hashindwi na mkonga wake nikamlea mwanangu peke yangu since mimba hadi saivi akiwa kijana flan amazing,ana afya bora,ana akili sana,etc

Niliamua kufanya hivyo baada ya yeye kujitenga na kutonisupport kwa lolote si mimi wala mwanangu.Nikaacha kumuomba matumizi na kadhalika in short nilikata mawasiliano naye kabisa.mwanzo nilikuwa namsihi aniboost hata matumizi ya mtoto akagoma,so nikafanya maamuzi magumu,nikamwacha aendelee na maisha yake na nikawa single mom rasmi and am proud of that.

At the moment mimi na my prince we are ok,ana afya bora thanks to my GOD,and mimi pia nina mahusiano na mtu mwingine tayari and we are happy.

Ishu niliyoileta mhusika,baba wa mwanangu ameanza kufanya mawasiliano,its ok ukizingatia niko na mwanae.tatizo ananisihi nimpe mwanangu anisaidie kulea,ila naona kama trick ya kutaka kumchukua kijana wangu jumla.

Mara zote nimemwambia subiri atimize miaka saba then afate taratibu za kisheria amchukue.Anadai amemmiss mwanae anataka kuishi naye na hatonizuia kumuona.funny !!!mtu ambaye hajawahi toa hata mia ya chakula cha mwanae leo anaona ana haki ya kuchukua furaha yangu.ukizingatia ana kipato kizuri tu.

Amenambia kama ni mtoto mwingine atanipa,ila mie nimemjibu siko tayari kuzaa naye tena.Kwani alinitelekeza mimi na mwanangu.huko aliko azae mtoto mwingine ama wengine huyu nataka nimlee mwenyewe .He is my joy,life and prestige(my son,my little man).

Naombeni ushauri kwakuwa najua jamaa anataka kumchukua mwanangu mazima.jambo ambalo siko tayari.nashukuru Mungu nina ka uwezo ka kumlea.ikifika muda nikashindwa nitampa kwa ridhaa yangu,kwani naangalia maslahi mapana ya mwanangu .Ila kwa sasa sijashindwa,nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.

Na sina mpango wa kuzaa tena,maumivu aliyonipitisha yamenifunza .Wanasema mjinga wakati wa kwenda .karibuni wadau,nahitaji mawazo yenu kwa hakika .


LABDA KAMA UNATUDANGANYA, MTU ANAKUACHIAJE MIMBA MPAKA MTOTO ANAKUWA THEN ANATOKEA ANATAKA KUMLEA HALAFU UNASEMA NI MWANAE? HIVI AKILI ZIMEJAA KWELI? KAMA ALIIACHA MIMBA ANAJUAJE MTOTO BADO YUPO? KAMA UNGESHINDWA UKAITOA JE? YANI HUYO JAMAA INABIDI A ASSUME MTOTO HAYUPO, MAANA YAKE HAKUWEKA JITIHADA YEYOTE YA KUHAKIKISHA UHAI WA MTOTO, KAMA NI KWELI HAYA UNAYOYAONGEA HUYO JAMAA MPELEKE KWENYE VYOMBO VYA SHERIA ALIPE GHARAMA ZOTE ZA MTOTO MPAKA ALIPO KABLA YA CHOCHOTE! I WISH UNGEKUWA DADA YANGU!!!!! HUYO JAMAA HANA ADABU.
 
sijakuelewa hapo unaposema huna mpango wa kuzaa tena ingawa uko kwenye mahusiano na mwanaume mwingine au yeye pia hana mpango wa kuzaa na wewe.

kuhusu huyo ex wako muogope kama ukoma kwa kuwa lengo lake ni kukuharibia baada ya kuona umuulizi lolote kuhusiana na malezi ya mtoto.
 
Huyu nae Maelezo yake hayajitoshelezi, kasema jamaa hatoi Hata kumi mara huwa anakuja kumona mwanae simkataliagi,, anakujaje kumona mtoto nakuondoka asitoe hata mia???
Ha haaa ndugu. Kuna watu hawana mishipa ya aibu. Kuna mtu namjua fika anaenda kumuona mtoto wake hampelekei hata pipi na hapo hajamuona miaka mitatu.
 
Unao uwezo wa kumsomesha hadi chuo kikuu? Ukinijibu kuna jambo nitakwambia
Yes,panapo uzima na afya naweza,manake maisha anapanga Mungu hatujui ya kesho.Ndio sababu nimemwambia asubiri akue afate taratibu za kisheria.
Sitaki mwanangu mdogo akalelewe na watu nisowajua,hakuna wa kumpenda mwanangu zaidi yake mie mama yake.
 
Kwanza mimi endapo umezaa na mimi halafu hatujaoana poa ila uhakikishe matumizi ya mwanao unatuma kama hutumi mawasiliano na mimi sahau hadi ufe, mwenye damu yako humtunzi unaanzaje kunizoea mimi ni ndugu yako?? Subiri aote ndevu mkutane barabarani maana hata upige simu na sms mara 10000000 sipokei sijibu hadi uwe responsible father tena awamu hii ya tano ni #hapakazitu#
Hataki kutoa chochote na hajawahi fanya hivyo.anachofanya ni kusifia tu mtoto kakua na kanawiri,utadhan muujiza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom