Thanks sanaYOU ARE SMART MKUU
Umenifumbua macho na mimi piaIKO HIVI MKUU....
KWA BINADAMU..TAFSIRI YA YATIMA NI MTOTO ALIYEFIWA NA BABA..(KWA MAANA BABA NDIYE ANAYEHUSIKA KATIKA KIWANGO KIKUBWA CHA MAISHA YA WATOTO..MALAZI,MAVAZI,CHAKULA,MATIBABU,MALEZI THABITI N.K)..HIVYO KUTOKUWEPO KWAKE MAPUNGUFU NI RAHISI KUONEKANA.MUME AKIFIWA NA MKE HUWEZI SIKIA ANAHITAJI KUSAIDIWA KULEA WATOTO NA JAMII..LAKINI NI KINYUME CHAKE MKE AKIFIWA NA MUME.
KWA UPANDE WA WANYAMA...YATIMA NI MNYAMA ALIYEFIWA NA MAMA..KWA MAANA MAMA NDIYE MTOAJI HUDUMA MKUU..CHAKULA,MALAZI,USALAMA,MALEZI N.K.HIVYO UKICHUNGUZA MADUME KATIKA JAMII YA WANYAMA KAZI YAO KUPANDA MBEGU NAKUONDOKA..HIVYO HIVYO KWA NDEGE..JOGOO MMOJA ANA TETEA 100 NA WATOTO WAKIPATIKANA HAUSIKI KUWATAFUTIA CHAKULA WALA KUWALINDA..LAKINI KAMGUSE TETEA UKITAKA CHUKUA WATOTO WAKE UTAELEWA.
Njooni mumuone huyu kiumbe jamaniKama umefulia kwa nini uzae?![]()
![]()
![]()
hata ukiandika kwa herufi ndogo tutakuelewa tu punguza kujikweza unaonekana kama zuzuSASA KAMA BABA WAKATI HUO HAKUWA NA UWEZO WAKUTOA HUDUMA JE?...SASA AMEPATA KAUWEZO AMEKUMBUKA JUKUMU..SASA HUYO MWANAMKE ANAPOMKATALIA SASA..ANAFANYA MAKOSA CUZ HATA AKICHUKULIWA HAITABADILI UHALISIA KUWA YEYE NI MAMA WA MTOTO..SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA MGOGORO.....
IKUMBUKWE...MTOTO ALIYEFIWA NA BABA HUITWA YATIMA..LAKINI SIO ALIYEFIWA NA MAMA...HII INAMAANA KUWA BABA NI MUHIMU..KWA WAKATI WAKE...AMBAO NADHANI NI SASA.MTOTO AKIWA ANA UWEZO WA KULA..KUONGEA..KWENDA MSALANI N.K..SASA MAMA ALITAKA MWANAUME ACHUKUE MTOTO AKIWA ANA MIEZI MIWILI??AKANYONYESHE NANINI?(NA KAMA ANGEMPA MTOTO AKIWA NA MIEZI MIWILI BASI NAYEYE MAMA ANGEKUWA HANA UMUHIMU TENA KWA MTOTO KWA SASA KWA MAANA KUKUFANYA YALIYOMPASA KWA MUDA MUAFAKA..KULEA..SASA NI MUDA MUAFAKA WA BABA AMPE NAFASI)
IKO HIVI MKUU....
KWA BINADAMU..TAFSIRI YA YATIMA NI MTOTO ALIYEFIWA NA BABA..(KWA MAANA BABA NDIYE ANAYEHUSIKA KATIKA KIWANGO KIKUBWA CHA MAISHA YA WATOTO..MALAZI,MAVAZI,CHAKULA,MATIBABU,MALEZI THABITI N.K)..HIVYO KUTOKUWEPO KWAKE MAPUNGUFU NI RAHISI KUONEKANA.MUME AKIFIWA NA MKE HUWEZI SIKIA ANAHITAJI KUSAIDIWA KULEA WATOTO NA JAMII..LAKINI NI KINYUME CHAKE MKE AKIFIWA NA MUME.
KWA UPANDE WA WANYAMA...YATIMA NI MNYAMA ALIYEFIWA NA MAMA..KWA MAANA MAMA NDIYE MTOAJI HUDUMA MKUU..CHAKULA,MALAZI,USALAMA,MALEZI N.K.HIVYO UKICHUNGUZA MADUME KATIKA JAMII YA WANYAMA KAZI YAO KUPANDA MBEGU NAKUONDOKA..HIVYO HIVYO KWA NDEGE..JOGOO MMOJA ANA TETEA 100 NA WATOTO WAKIPATIKANA HAUSIKI KUWATAFUTIA CHAKULA WALA KUWALINDA..LAKINI KAMGUSE TETEA UKITAKA CHUKUA WATOTO WAKE UTAELEWA.
Uzae then Nani akulelee?umekuwa ng'ombe wewe?Njooni mumuone huyu kiumbe jamani![]()
![]()
Kwahyo kama huna hela huruhusiwi kuzaa?
Hilo swali ungemuuliza yule mzee aliesema zaeni tu/fotoeni tu.Uzae then Nani akulelee?umekuwa ng'ombe wewe?
Ndio nimetoka kupitia hizo nyuzi za nyuma sasa naungana na wengine waliosema huyu dada anampenda sana mzazi mwenzake bado...ni hivi latoya Fanya kurudiana na mzazi mwenzio mrudishe mapenz yenu,muongeze na Watoto wengineLoooh, nyuzi 3 zote za aina hiyo hiyo, jamani jamani mwanamke mwenzetu anaumia sana,
vita ya mapenzi haimuachi mtu salama.
Punguza ukali myYou are very strong!na una huruma!kwa kauli alizotoa,mie asingeona hata sura ya mtoto,labda mtoto amtafute mwenyewe atakapokuwa mkubwa!!
HEHEHEH...PINGA KWA HOJA MKUU...KEJELI HAZITAWEZA KUPINGA HOJA...USIFUATE TAFSIRI ZILIZOWEKWA NA WATU KAMA WEWE KUWA HERUFI KUBWA BASI INAMAANISHA NI KUPAYUKA..NI NAMNA NIMEAMUA TU KATIKA UANDISHI..KAMA INAKUBOA..SIMPLE..JUST SKIP IT..Sio kosa lako nahisi malezi uliyopewa ya mfumo dume mfumo mfu ndio yanayokuongoza mpaka sasa. Wanawake wa upande wenu wana kazi sana
hata ukiandika kwa herufi ndogo tutakuelewa tu punguza kujikweza unaonekana kama zuzu
BRRRRRRRRRRRR
HEHEHEH...PINGA KWA HOJA MKUU...KEJELI HAZITAWEZA KUPINGA HOJA...USIFUATE TAFSIRI ZILIZOWEKWA NA WATU KAMA WEWE KUWA HERUFI KUBWA BASI INAMAANISHA NI KUPAYUKA..NI NAMNA NIMEAMUA TU KATIKA UANDISHI..KAMA INAKUBOA..SIMPLE..JUST SKIP IT..![]()
![]()
BRRRRRRRRRRRR
KINGINE...SIFA YA UTAWALA KATIKA NDOA NI MFUMO DUME...NYUMBA YENYE MFUMO JIKE UTII HAUPO NA FAMILIA INAKOSA MAADILI...
NDIO MAANA CHUNGUZA HATA WASANII WENGIIIII WA MUZIKI ,KUIGIZA N.K UTAMSIKIA AKISEMA MUDA MWINGI "WITHOUT MY MOM I WOULDNT BE HERE TODAY,THANKS MY MOM"....HII HAINAMIISHI WALIKUWA HAWANA KINA BABA..MANAKE KINA BABA WALIKUWA HAWATAKI UPIMBI MTOTO AJIINGIZE KWENYE RAP, NK BADALA YA KWENDA KUSOMA...SASA KINA MAMA NDIO WANASUPPORT HARAKATI ZOOTE AMBAZO ZINA UTOVU WA KIMAADILI..
CHUNGUZA HAO WASANII..UTAKUTA IMEJICHORA MITATTOO YA MAJINA YA MAMA ZAO..LAKINI HUKUTI JINA LA BABA PALE..SABABU UJINGA HAWAPENDI..KWAHIYO NIHITIMISHE KWA KUSEMA MFUMO DUME NI SAHIHI KWA AFYA YA FAMILIA.
MATUSI MWIKO..PINGA KWA HOJA WALAU UTAELEWEKA![]()
Karibu tena.Nadhan somo umeelewaWakisema wanaume wasimame na wewe utasimama?
Hiyo Cc unamanisha centimeter cubic au?
Heeee makubwaaMtu wetu huyu. Mwaka jana mtoto alikua na miezi 5 mwaka huu tayar ana miaka 3 aisee
Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo
''Mwanangu, babako amekufa''

Dyudyuu labdaAnataka wale wa kumpa sympathy tu,challenge no. Ukimpa challenge anasahau kiswahili full kizungu ili usimbishie
Mtu ana gari,ana kazi bado anahangaishana na mwanaume asiyemjali wala kumdhamin ya nn sasa.

Haaaa haaaa..
Kisa cha kumuita mwenzio Lyatonga!!!!!![]()
![]()
![]()
