Anahitajika Gynaecologists mzuri Jijini Dar

Anahitajika Gynaecologists mzuri Jijini Dar

Tuseme MTU ana tatizo la mirija kuziba
Akifix hormone anaazaaje happy
Matatizo ya uzazi yanatofautiana sio kila kitu hormones
Mimi nilikuwa nachangia pointi inayohusu hormonal imbalance,kama imesababisha mishipa kuziba lazima madaktari wahusike.
 
Kipindi cha nyuma amewahi kwenda hospitali na kuelezwa kuwa na hiyo hali baada ya siku zake za hedhi kuvurugika , lakini hilo tatizo halijawahi kufuatiliwa kwa undani kwa maana ya kuonana na wataalamu husika pamoja na vipimo
Kwanza aache kabisa soda, na energy na machips kuku
Afanye detoxy
Halafu aende masana hospital pale awaambie wamfnyie kipimo cha hgs
Sio ghali sana Kama 50.
Kikiwa fresh ndo aanze dozi zingine
Fata njia za wazoefu
 
Uhitaji wa Gynaecologist mzuri anayeweza kumsaidia mtu mwenye changamoto ya hormonal imbalance, kuanzia kwenye kumsikiliza vizuri mgonjwa na kujua shida yake haswa, vipimo mpaka kutafsiri majibu na kutoa matibabu sahihi.
Mie namjua mama mmoja wa Kimasai alitibu wamama wawili walioshindikana Hospitalini...walikuwa na shida ya kushika mimna..hatimae wakashika mimba na kuzaa
 
UPDATE.

Habari wadau, nashukuru kwa maoni na michango yenu, hatimaye kisa changu kimepata suluhu, baada ya kupima mimba kwa Rapid test imeonekana matokeo kuwa POSITIVE. Japo ataenda hospitali kuthibitisha rasmi.

20260814_083754.jpg
 
Habari ya asubuhi wadau.

Tafadhali nahitaji msaada wa kufahamu wapi ninapoweza kupata Daktari bingwa mzuri wa magonjwa ya wanawake (Gynaecologists) , either ana hospitali binafsi , Polyclinic au anahudumu katika hospitali binafsi au serikali. Nikipata Jina au hata mawasiliano yake nitashukuru sana.

Natanguliza shukrani

UPDATE.

Habari wadau, nashukuru kwa maoni na michango yenu, hatimaye kisa changu kimepata suluhu, baada ya kupima mimba kwa Rapid test imeonekana matokeo kuwa POSITIVE. Japo ataenda hospitali kuthibitisha rasmi.
View attachment 3649992
IMG-20260725-WA0028.jpg

Tumia upt rapid test
 
Back
Top Bottom