DuuhMkuu mshana jr mbona hao hao wachawi inasemekana wanao uwezo wa kufunga mvua isinyeshe??!!
Mi nahisi kipindi cha mvua huwa wapo kwenye vikao vyao vya bunge la bajeti ndo maana inanyesha nyesha pasipo mipangilio!!
[emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji17]Shukrani kwa habari mzee wa Msata......nafuu tutalala kwa amani mzee wa busara kaenda likizo. Tulishachoka kujambiwa usoni kila siku mpaka tunaamka kama tuna hangover bureee kumbe mashuzi ya vigagula
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe! Ndio maana majirani heshima imeshuka, ngoja nisubiri mvua ziishe! Watanikoma
Shikamooo brooo mshana jrUnaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi.
Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji.
Tunguli na maji ni vitu viwili tofauti kabisa ndio maana hata siku moja ni ngumu sana kukuta tunguli zimefukiwa mtoni.
Kumbukeni ile mada ya uchawi hauvuki bahari kwahiyo kipindi hiki cha mvua ni kipindi kigumu kwa hawa ndugu zetu hasa kama tunguli zao sio zile water proof.
Kinachofanyika kwa sasa ni kufanya tu makafara ya damu lakini kule kulogwa ama kuchawiwa na kuwangiwa usiku graph imeshuka sana na anga limetulia mno.
Hizi mvua zikiendelea hivi hivi tutarajie mengi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe! Ndio maana majirani heshima imeshuka, ngoja nisubiri mvua ziishe! Watanikoma
Shetani umewahi kumuona?Daah napataga shidasana kuamini kama kuna hicho kinachoitwa uchawi maana siwezi ukiona.
Inavyoelekea wewe hata ''MUNGU'' humuamini japokuwa tunajua yupo....Daah napataga shidasana kuamini kama kuna hicho kinachoitwa uchawi maana siwezi ukiona.
Daah napataga shidasana kuamini kama kuna hicho kinachoitwa uchawi maana siwezi ukiona.