Bro ukiweka tangazo la tiba za asili nakwambia utapata wateja wengi maana nondo juu ya haya mambo unazo za kutosha.Unaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi.
Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji.
Tunguli na maji ni vitu viwili tofauti kabisa ndio maana hata siku moja ni ngumu sana kukuta tunguli zimefukiwa mtoni.
Kumbukeni ile mada ya uchawi hauvuki bahari kwahiyo kipindi hiki cha mvua ni kipindi kigumu kwa hawa ndugu zetu hasa kama tunguli zao sio zile water proof.
Kinachofanyika kwa sasa ni kufanya tu makafara ya damu lakini kule kulogwa ama kuchawiwa na kuwangiwa usiku graph imeshuka sana na anga limetulia mno.
Hizi mvua zikiendelea hivi hivi tutarajie mengi
Assume ukafungua kijiwe just joke kikubwa unatupa elimu ya mambo mbalimbali ya ulimwengu mwingine na inatusaidia kumaster mazingira yetu kama binadamHapana mimi sio mganga ndugu yangu
Kama ni hivyo sawa!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ndio maana nikasema hiki ni kipindi cha makafara na malighafi kubwa ni damu
Mshana Jr uko sahihi kabisa! Mambo yetu yamekwama sana kipindi hiki! Ndiyo maana tunazuiaga mvua!
mkuu ulisema uko likizo, hebu panda gari uje uchukue short kozi ili upande daraja tukukabidhi tunguri nzito zaidi, usitumie likizo yako bila faida...[emoji16][emoji16][emoji16] !!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115] [emoji116]
hahahahahah likizo timeUnaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi.
Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji.
Tunguli na maji ni vitu viwili tofauti kabisa ndio maana hata siku moja ni ngumu sana kukuta tunguli zimefukiwa mtoni.
Kumbukeni ile mada ya uchawi hauvuki bahari kwahiyo kipindi hiki cha mvua ni kipindi kigumu kwa hawa ndugu zetu hasa kama tunguli zao sio zile water proof.
Kinachofanyika kwa sasa ni kufanya tu makafara ya damu lakini kule kulogwa ama kuchawiwa na kuwangiwa usiku graph imeshuka sana na anga limetulia mno.
Hizi mvua zikiendelea hivi hivi tutarajie mengi
[emoji2] [emoji2] [emoji116] [emoji116] [emoji115] [emoji779] [emoji779] [emoji779]mkuu ulisema uko likizo, hebu panda gari uje uchukue short kozi ili upande daraja tukukabidhi tunguri nzito zaidi, usitumie likizo yako bila faida...[emoji16][emoji16][emoji16] !!!