Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 6,001
Labda wachawi wenye "vyeti fake" kama mkuu wa mkoa.
Lakini wale wenye vyeti halali im sure wanapiga kazi za kufa mtu..
Rejea ajari ya Arusha...jee unadhani Mungu ni katili kiasi kile?tena kuna dogo mmoja alikua na ndoto za kuwa Paroko na aliwahi nusurika ktk ajari ya boom..au Mungu hawataki watumishi wamsaidie kueneza neno?
Huoni hapa wenye vyeti vyao wanavitumia kipindi hikihiki cha mvua?
NOTE: Ni mawazo yangu tu haya...msinipopoe nawe!
Cc mshana jr