Wanaugulia kinoma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na zikiisha wale waliokuwa wameweka tunguli zao misituni na maporini watakuta zimevia zote ni kuanza upya hakuna namnaahahaaaaa ni noma sana, kama vip inyeshe mwaka mzima.
Kwahiyo mkuu mshana wataka kusema kipindi hiki cha mvua hizi zinazoendelea
warozi na wanga wako kwenye "Sabbatical leave"..?
Huo uchawi wenyewe ni uumbaji wake na unatajwa sana kwenye Bible...Wahenga walisema "Penye udhia penyeza rupia". Tumia udhaifu kujipatia mafanikio nk. Mshana Jr. alishajua udhaifu wa Watanzania unapendelea zaidi stori za uchawi,ulozi na ushirikina na si uwepo wa Mungu. Tuache mawazo potofu tumtumainie MUNGU ktk yote na yatawezekana.
Acha kufuru mkuu.Daah napataga shidasana kuamini kama kuna hicho kinachoitwa uchawi maana siwezi ukiona.
Kumbe wewe nani ukiacha Mshana jrHapana mimi mchawi wala mganga
Mh wewe kama hutaki mimi nakuchagulia wewe MGANGAUkiacha Mshana Jr hakuna mimi[emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
Nahisi umependa[emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
Mh jina litakuja kwa hayaHapana nimefurahi kupenda ningeweka hii[emoji106] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji120]
Naweza kuamini haya Mshana junior kuna jamaa alinisimulia kama una mtoto mchanga na mtaani kwako kumezungukwa na wanga basi chumbani kwako usikose ndoo yenye maji safi halafu iwe wazi ila kila siku uwe unayabadilisha nilichokaUnaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi.
Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji.
Tunguli na maji ni vitu viwili tofauti kabisa ndio maana hata siku moja ni ngumu sana kukuta tunguli zimefukiwa mtoni.
Kumbukeni ile mada ya uchawi hauvuki bahari kwahiyo kipindi hiki cha mvua ni kipindi kigumu kwa hawa ndugu zetu hasa kama tunguli zao sio zile water proof.
Kinachofanyika kwa sasa ni kufanya tu makafara ya damu lakini kule kulogwa ama kuchawiwa na kuwangiwa usiku graph imeshuka sana na anga limetulia mno.
Hizi mvua zikiendelea hivi hivi tutarajie mengi