Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Taabu ni pale unapoliwa na mimi nikajua..atoto.

Unajua kila mtu anataka heshima si unajua na heshima inakuja pale ambapo unajiheshimu.

Chukulia kwamba wewe unaliwa na jamaa fulani na watu wanajua kuwa unasaliti ndoa yako.

Halafu nikipita wanaanza kunyosheana vidole jamaa mwenyewe si ndiyo yule ambaye nilimtindua mke wake sio siri inauma sema tu basi.

Sitoumia kuwa unaliwa nje bali nitaumia kwa sababu unapelekea nidharauliwe mtaani.
Basi tutajitahidi tulane kwa siri ili mtaani wasijue.
 
Basi tutajitahidi tulane kwa siri ili mtaani wasijue.
Hahahahahahahahh

Lakini usionyeshe dharau.

Tatizo wanawake mkinogewa ni shida huwezi zuia hata siku moja.

Bora sisi wanaume tunaiba na kamwe huwezi mdharau mke hata siku moja.
 
Hahahahahahahahh

Lakini usionyeshe dharau.

Tatizo wanawake mkinogewa ni shida huwezi zuia hata siku moja.

Bora sisi wanaume tunaiba na kamwe huwezi mdharau mke hata siku moja.
Mmmmh! Mnawadharau sana si tunayaona mitaani!!
Sasa nikinogewa sio kosa langu, kosa ni lako, nifanye ninogewe kwako ili nisikudharau.
 
Hah

Hahaha Miss Natafuta. Sijampata. Hivi wewe ulishafanikisha? Ukweli nimesitisha naona ni kupoteza muda. Humu Bahati mbaya walioonekana angalao wanafaa kama wawili hivi but ni walewale tu. Through detailed examination mapemaaa nikagundua siyo. So Niko comfortable alone alone now.
Una miaka mngp? Make nna wacwac na ww
 
Mmmmh! Mnawadharau sana si tunayaona mitaani!!
Sasa nikinogewa sio kosa langu, kosa ni lako, nifanye ninogewe kwako ili nisikudharau.
Atoto,

Wanawake wengine sijui ni nature tu.

Hata ufanyeje lazima tu atachepuka.

Halafu kitu kingine mazingira yanachangia sana mtu achepuke.
 
Atoto,

Wanawake wengine sijui ni nature tu.

Hata ufanyeje lazima tu atachepuka.

Halafu kitu kingine mazingira yanachangia sana mtu achepuke.
Ndio ujitahidi hata akichepuka wewe unakie kuwa ndio ulomnogea, atakuheshimu tu.
 
Wng wp in chain sema nn kama hujjua unaona shwr ila ck ikfk ukaujua ukwl uchizi unawz kkhx
Mkuu,

Hapa siyo Facebook andika kitu kinachoeleweka ili watu wakuelewe.

Hivyo vifupisho ni vya watoto wa darasa la saba waliomaliza juzi.

Samahani lakini Mkuu.
 
Ngoja siku nikioa sasa.

Hata kama ni kucha nitasimamia ili afike penyewe asichepuke.
Hahaaaa!!! Si ndio mpaka umfikishe sasa, wakati mwingine atafanya tu ka-adventure ili ajue huko kwingine kuna nini.
 
Kule kwetu Pwani tunasema: KILICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA
 
Hahaaaa!!! Si ndio mpaka umfikishe sasa, wakati mwingine atafanya tu ka-adventure ili ajue huko kwingine kuna nini.
Hakika.

Ndiyo maana nilisema watu wengine ni nature.

Kama siyo nature huwa wanarithi.

Hata ufanyeje lazima tu atachepuka.
 
Wapo waaminifu 100%hawajawahi kucheat hata kwa hisia tu,wanaridhika na wenza wao kwa hali zote!

Haswaa hapa naongelea walio kwenye ndoa!!

Wapo..wapo...wapo..

Na Mimi mpk Leo hii nashindwa kuelewa inakuaje mwanamke ameolewa anazini nje kwa kweli huwaga sielewi na nashindwa kumuelewa Huyo mwanamke kama hata anajua maana au thamani ya ndoa yake!
Kweli kabisa........tumebeba mawazo hasi kuhusu uaminifu hadi imefika wakati tunaamini hakuna mtu anaweza kuwa muaminifu kwa mtu m'moja miaka yote.......tunashikia bango na kushadadikia kutoka nje ya ndoa as if mwisho wa siku kuna mtu ilishawahi kumsaidia hiyo hali hata kidogo.........hii haina tofauti na kuwa teja wa heroine mwisho wa siku inakuja kukumaliza tu hakunaga kufanikiwa......ni ujana tu huu unawasumbua......siku hayo masura yao yakishapata makunyanzi ndio watatambua kuwa hivi vitu huwa vina mwisho pumbavu sana watu wanaotetea usaliti.....
 
Mwanamke anapochepuka basi siku hiyo atakupigia muongee sana, i love u nyingi, nakupenda kibao... Yote hayo ni nafsi inamsuta.
Vitext vya i love u huwa sivijibu maana vingi ni vya kinafiki tu.
Teh, usiwe unakariri mkuu labda kakumiss kwelii, shauri yako
 
Back
Top Bottom