Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,782
- 4,118
Salaam ndugu zangu,
Ndugu zangu, karne hii katika suala la mapenzi ni karne mbovu pengine kuliko hata zilizotangulia.
Karne hii imeambatana na maendeleo makubwa ya teknolojia ambayo ndio hasa yamevunja ukuta wa uaminifu katika ndoa/mahusiano.
Nadiriki kusema wazi kwamba hakuna tena mwananke wa peke yako katika dunia hii. Najua wapo wengi watakaobisha na kubeza na hii ni kwasababu wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii.
Wanawake wa karne hii wamekuwa wepesi sana kudanganyika, uwepo wa mawasiliano kama simu na mitandao ya kijamii ndio haswaa huwapoteza kabisa na akili zao nyepesi kama moshi wa sigara.
Zamani kulikuwa na ugumu kidogo kumfukuzia mwanamke hasa katika mawasiliano ila leo hii kila uchwao anaviona vibwana vyake vya zamani mitandaoni na kila baada ya hatua anaombwa mawasiliano na wanaume wenye maneno lukuki mdomoni.
Hakika wanawake wanajisahau na hawajiulizi kwanini wanapendwa zaidi wawapo ndani ya ndoa zao? Jaribuni kuiambia hiyo michepuko kwamba unataka kumwacha mmeo iwaoe tuone nin kitatokea.
Binafsi naamini mke wangu si wangu peke yangu, tupo wengi ila nakuasa ukumbuke kutumia kinga uendapo kuadhibiwa ili usilete maradhi nyumbani. Najua upo hapa jukwaani na naamini lazima utasoma uzi huu.
Wanaume wenzangu na sisi tufanyeje?