Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,554
Bahati mbaya ni kwamba kuachana na sisi haiwezekani, mnavyotuchukia si mngeweza mngeshafanya hivyo kitambo.Ni kuvumiliana tu mkuu hakuna namna kama wazee wetu wangeachana na mama zetu na kufanya mambo mengine mimi na wewe tusingekua hapa jf mida hii