pangalashaba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 1,325
- 1,615
labda kijijini........
Mimi siwezi kumilikiwakwanza ukijikabidhi kwake ataweza kukumiliki?
kwanza wanakuwa wetu saa ngapi? mbona mimi sina mtu? au utajuaje una mtu?Ila wanaume wa peke yako wapo eti?
Hivi mbona wanawake tunawakaba hivyo!! Si muachane na sisi mfanye mambo mengine.
We jifariji tuHuo niujinga. Kma kwako wanakuendea vbaya usifikrie dunia nzima inawaendea vbaya. Niwanawake unaokutana nao ww ndowakuivo, tafuta njia nyingine yakijifarij
Yaani kila tufanyacho wanawake kwao kibaya, unless tuwasifie na kuwavumilia kwenye ujinga.kwanza wanakuwa wetu saa ngapi? mbona mimi sina mtu? au utajuaje una mtu?
katika maisha usimuamini mwanaume wala kumsikiliza acha waumie at their own risk!Yaani kila tufanyacho wanawake kwao kibaya, unless tuwasifie na kuwavumilia kwenye ujinga.
[emoji38] [emoji38]...Kwanini awe wako peke ako, kwani ni sumu hiyo?
Trust is the luxury i can never afford.katika maisha usimuamini mwanaume wala kumsikiliza acha waumie at their own risk!
Mamii wapo hata ktk mahusiano ya kawaida tu achilia mbali ndoa, wapo tena wengi tu. Ila wanaume ndio nadra sanaaa.Wapo waaminifu 100%hawajawahi kucheat hata kwa hisia tu,wanaridhika na wenza wao kwa hali zote!
Haswaa hapa naongelea walio kwenye ndoa!!
Wapo..wapo...wapo..
Na Mimi mpk Leo hii nashindwa kuelewa inakuaje mwanamke ameolewa anazini nje kwa kweli huwaga sielewi na nashindwa kumuelewa Huyo mwanamke kama hata anajua maana au thamani ya ndoa yake!
Siku ukiujua ukweli kwa mkeo cjui utalala juu ya mti au itakuaje.Huo niujinga. Kma kwako wanakuendea vbaya usifikrie dunia nzima inawaendea vbaya. Niwanawake unaokutana nao ww ndowakuivo, tafuta njia nyingine yakijifarij
Tena kaonjewa kidogo tu jamani.Utakuta yeye ana wanawake kibao ila ye kuonjewa inakua nongwa ha ha ha
Mwanaume kuwa na mke mmojaMamii wapo hata ktk mahusiano ya kawaida tu achilia mbali ndoa, wapo tena wengi tu. Ila wanaume ndio nadra sanaaa.