Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Wapo waaminifu 100%hawajawahi kucheat hata kwa hisia tu,wanaridhika na wenza wao kwa hali zote!

Haswaa hapa naongelea walio kwenye ndoa!!

Wapo..wapo...wapo..

Na Mimi mpk Leo hii nashindwa kuelewa inakuaje mwanamke ameolewa anazini nje kwa kweli huwaga sielewi na nashindwa kumuelewa Huyo mwanamke kama hata anajua maana au thamani ya ndoa yake!
hta mimi kweli nikiolewa nakituliza ila huku nje sitoacha kuchagua huwezi jua mzuri ni yupi?
 
Si takwimu zinaonesha sie ni wengi kuliko wanaume?Sasa tusipokuwa na wawili au watatu hao wengine si tutawaua kwa puny....o jamani.Au hamtaki na wenzenu waonje tunda halisi?
 
Ngumu kumeza. Inabidi kuvunga ka hujui kitu, ukianza kuwaza hayo waweza kufa kwa BP halafu mume mwenzio atakuja kumfariji kipindi cha msiba, mie nikiwaza hapo daaah najiona tena mjinga
Mwanamke anapochepuka basi siku hiyo atakupigia muongee sana, i love u nyingi, nakupenda kibao... Yote hayo ni nafsi inamsuta.
Vitext vya i love u huwa sivijibu maana vingi ni vya kinafiki tu.
 
Wapo waaminifu 100%hawajawahi kucheat hata kwa hisia tu,wanaridhika na wenza wao kwa hali zote!

Haswaa hapa naongelea walio kwenye ndoa!!

Wapo..wapo...wapo..

Na Mimi mpk Leo hii nashindwa kuelewa inakuaje mwanamke ameolewa anazini nje kwa kweli huwaga sielewi na nashindwa kumuelewa Huyo mwanamke kama hata anajua maana au thamani ya ndoa yake!
Kaa na watu wazima utasikia mengi tu.
 
Mwanamke anapochepuka basi siku hiyo atakupigia muongee sana, i love u nyingi, nakupenda kibao... Yote hayo ni nafsi inamsuta.
Vitext vya i love u huwa sivijibu maana vingi ni vya kinafiki tu.
Khaaah!! Nyie ndio mnakosa mambo mazuri kwa kutokujiamini, mtu asiwe romantic eti anakusaliti kiruuu! Heaven Sent kumbe huwa unamsaliti Benny na zile i love you zako!!
 
Si takwimu zinaonesha sie ni wengi kuliko wanaume?Sasa tusipokuwa na wawili au watatu hao wengine si tutawaua kwa puny....o jamani.Au hamtaki na wenzenu waonje tunda halisi?
Hahahaaaaaa!! Pamoja na wao kuwa wengi ila bado tunawasumbua!
 
Dhana potofu hata mwanaume wa pekee hayupo elewa chako pekee yako kaburi vingine vyote tunashea pole kwa kuchelewa Kujua ilooo
 
Ngoma droo. Hakuna mwanaume au mwanamke wa peke yako. Kila mmoja aburudike Nje jioni mnakutana. No stress. Binafsi nimeishi maisha ya uaminifu sana. Baada ya kugundua wanaume ni mapeli wa mapenzi basi kuanzia sasa nina revise jinsi ya kuishi na viumbe wanaume.
 
Naona baada ya kugundua mkeo anamegwa huko. Umekuja kujifariji huku....Huwenda mkeo anatoa hadi mtandao pendwa...vumilia tu....ulimpenda mwenyewe, ulimchagua mwenyewe
 
Back
Top Bottom