Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

wanawake wengi tuna udhaifu huo
Point.

Sijui unakuta akili inahamia chini.

Kiburi na jeuri sasa mpaka unatamani kuomba poo.

Ila mwanaume huwa hashindwi kitu lazima nionyeshe kuwa mimi ni mwanaume na nimekuoa wewe.
 
Khaaah!! Nyie ndio mnakosa mambo mazuri kwa kutokujiamini, mtu asiwe romantic eti anakusaliti kiruuu! Heaven Sent kumbe huwa unamsaliti Benny na zile i love you zako!!
Manjonjo hayo ukipewa kila mara ts ok but unapewa kwa msimu na anamalizia na text kwamba simu haina chaji
 
Huo niujinga. Kma kwako wanakuendea vbaya usifikrie dunia nzima inawaendea vbaya. Niwanawake unaokutana nao ww ndowakuivo, tafuta njia nyingine yakijifarij
Kweli haya huwa ni mawazo ya kujifariji mara nyingi, kwako kukiharibika haimaanishi kuwa na kwa mwenzako kumeharibika pia. Ila it's okay mtu kujipa matumaini, kama kunamletea amani ya moyo
 
Manjonjo hayo ukipewa kila mara ts ok but unapewa kwa msimu na anamalizia na text kwamba simu haina chaji
Hahaaaa!! Sasa kama simu haina chaji afanyeje?
Hayo mara moja moja nayo yana raha yake pia.
 
Sasa kumbe taabu inatoka wapi!!
Taabu ni pale unapoliwa na mimi nikajua..atoto.

Unajua kila mtu anataka heshima si unajua na heshima inakuja pale ambapo unajiheshimu.

Chukulia kwamba wewe unaliwa na jamaa fulani na watu wanajua kuwa unasaliti ndoa yako.

Halafu nikipita wanaanza kunyosheana vidole jamaa mwenyewe si ndiyo yule ambaye nilimtindua mke wake sio siri inauma sema tu basi.

Sitoumia kuwa unaliwa nje bali nitaumia kwa sababu unapelekea nidharauliwe mtaani.
 
Back
Top Bottom