Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,081
- 28,187
VIJANA WANAOBALEE NDIO WENYE SHIDA!,MI-"K" YENYEWE YOOTE SIKU HIZI INA "SIGDA" TENA KOTEKOTE...../
SHITS,SHITS,SHITS...../
SHITS,SHITS,SHITS...../
Sasa wewe si umesema hata akichepuka hamna shida ila usijue?Hakika.
Ndiyo maana nilisema watu wengine ni nature.
Kama siyo nature huwa wanarithi.
Hata ufanyeje lazima tu atachepuka.
YapSasa wewe si umesema hata akichepuka hamna shida ila usijue?
Basi ukioa mwambie kabisa, ili akichepuka usijue.
What do you see?Yes...! I see....!
teh teh mkuu ndivyo maisha yalivyo,Ngumu kumeza. Inabidi kuvunga ka hujui kitu, ukianza kuwaza hayo waweza kufa kwa BP halafu mume mwenzio atakuja kumfariji kipindi cha msiba, mie nikiwaza hapo daaah najiona tena mjinga
HahahahBasi ukioa mwambie kabisa, ili akichepuka usijue.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ni changamoto kwa kweliteh teh mkuu ndivyo maisha yalivyo,
ukifa tu umesahaulika hatakama sio leo
ipo siku utasahaulika tu kwa huyo mwanamke
tena anaweza akaanza na kukupondea kwa kidume chake kipya eti
'marehemu mume wangu alikuwa mkorofi' teh
Usituletee mbegu za nuksi duniani.......kama umeshindwa kupata mwenza wa kutengeneza naye familia malezi ya mtoto huwa inakuwa changamoto........huyo mtoto atakula .....atalala na kuvaa vizuri........ila litakapokuja swala la role model wa kumshepu tabia nakuhakikishia utafeli 100% …………………kama unabisha jaribu......huyo mtoto akiwa wa kiume kama sio kufumuliwa marinda basi atakuja kuwa mwanaume mzembe sana kwa mwanamke atakayekuja kuwa naye.......na kama akiwa wakike kama sio kuwa msagaji atakuwa kahaba au feminist.......hiyoni guarantee.......hicho unachokiogopa at least ni cha muda na hakina madhara sana kwako ukiacha kero ndogo ndogo.......nje ya hapo unachotaka kufanya kitakucost wewe siku za mbeleni hadi kifo lakini mbaya zaidi mtoto wako atavuna madhara ya ujinga wako maisha yake yote...........[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] tengeneza na linda familia kwa faida ya watoto na ya kwako..............kaa na haya mawazo ya facebook utakuja kuniambia miaka ijayo.mimi sijapata kabisa hata mimi sitaki tena natafuta wa kuzaa nae tu .
Zaidi ya ufilipino....! HahaWhat do you see?
tena unikome wewe kaka endelea kufumuliwa umkome mwanangu popote alipoUsituletee mbegu za nuksi duniani.......kama umeshindwa kupata mwenza wa kutengeneza naye familia malezi ya mtoto huwa inakuwa changamoto........huyo mtoto atakula .....atalala na kuvaa vizuri........ila litakapokuja swala la role model wa kumshepu tabia nakuhakikishia utafeli 100% …………………kama unabisha jaribu......huyo mtoto akiwa wa kiume kama sio kufumuliwa marinda basi atakuja kuwa mwanaume mzembe sana kwa mwanamke atakayekuja kuwa naye.......na kama akiwa wakike kama sio kuwa msagaji atakuwa kahaba au feminist.......hiyoni guarantee.......hicho unachokiogopa at least ni cha muda na hakina madhara sana kwako ukiacha kero ndogo ndogo.......nje ya hapo unachotaka kufanya kitakucost wewe siku za mbeleni hadi kifo lakini mbaya zaidi mtoto wako atavuna madhara ya ujinga wako maisha yake yote...........[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] tengeneza na linda familia kwa faida ya watoto na ya kwako..............kaa na haya mawazo ya facebook utakuja kuniambia miaka ijayo.
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Zaidi ya ufilipino....! Haha
Cha peke yako kabur tuuuuu
Vingine tunashare kwa upendo tuu
Mwanamke ...mwanaume WA peke yko utamtoa wapi
Atumike popote akimaliza akikoshe akija endelea kutumia
Kuumia kupo wewe ila unakuwa unajifariji tu.Hahahah
Ukishajua kuwa kuna tatizo Fulani ukaanzisha itikadi zako za kukuzuia kuumia hakika huwezi umia hata siku moja.
Mbona sijawahi kuumia?Kuumia kupo wewe ila unakuwa unajifariji tu.
Yaani ni ujinga uliopitiliza.......Taabu ni pale unapoliwa na mimi nikajua..atoto.
Unajua kila mtu anataka heshima si unajua na heshima inakuja pale ambapo unajiheshimu.
Chukulia kwamba wewe unaliwa na jamaa fulani na watu wanajua kuwa unasaliti ndoa yako.
Halafu nikipita wanaanza kunyosheana vidole jamaa mwenyewe si ndiyo yule ambaye nilimtindua mke wake sio siri inauma sema tu basi.
Sitoumia kuwa unaliwa nje bali nitaumia kwa sababu unapelekea nidharauliwe mtaani.
Haya ndio madhara ya watoto kulelewa katika.mazingira hatarishi kuwa abused kisaikolojia........tazama sasa huyu ameshaharibiwa akili.....anachoamini anahisi yupo sahihi na anaamini kitakuja kumtoa maisha haya...........usaliti huongeza utamu na thamani ya mapenzi, full stop! hii ndo falsafa yangu katika mapenzi.