Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Wanawake waliotulia mm naamini wapo tuendelee kuwatafuta!!!
 
Taabu ni pale unapoliwa na mimi nikajua..atoto.

Unajua kila mtu anataka heshima si unajua na heshima inakuja pale ambapo unajiheshimu.

Chukulia kwamba wewe unaliwa na jamaa fulani na watu wanajua kuwa unasaliti ndoa yako.

Halafu nikipita wanaanza kunyosheana vidole jamaa mwenyewe si ndiyo yule ambaye nilimtindua mke wake sio siri inauma sema tu basi.

Sitoumia kuwa unaliwa nje bali nitaumia kwa sababu unapelekea nidharauliwe mtaani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuchapiwa ni siri ya ndani
 
Haya ndio madhara ya watoto kulelewa katika.mazingira hatarishi kuwa abused kisaikolojia........tazama sasa huyu ameshaharibiwa akili.....anachoamini anahisi yupo sahihi na anaamini kitakuja kumtoa maisha haya...........

MUNGU akusaidie tu upate msaada wa kukuokoa otherwise majuto ni sehemu ya maisha yako
amen mchungaji! ipo siku utaziona chembe ya ukweli wa falsafa yangu.
 
Huwa najitahidi sana iwe hivyo.

ukiwa kwenye himaya yangu huwezi tamani wala kuwa na mawazo ya kuchapwa na mtu mwingine.

Hivyo ndivyo ninavyojiamini siku zote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

wewe huyoo!!
 
Back
Top Bottom