Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Kaka Eli79 sijampata. Tangazo langu halikuzaa Matunda. Nilichogundua hakuna mwanaume wa peke yako. Hivyo sidhani kama nitaweza kuishi na mwanaume ndani. Ninajali sana uaminifu. Sasa nimekubali yaishe. Nachapa Kazi nipate Hela niishi kwa furaha na my beatful children.
Teh teh, dada Loeli sasa unaanza katabia kabaya. Usiwaze kumdanganya huyo uliye nae coz wala aitakuongezea $$ kwenye account yako.

Kuna mda utahitaji mtu wa karibu ukiachana na watoto!!
 
Mke wangu ni wangu ndio maana kuna neno ( wangu ). Ikitokea nika mkamata ndio ntakuamini.
 
Mbona nyie mnafilimba huko nje ebu nasi tuacheni tuone huko nje kuna nini!
 
Kaka Eli79 sijampata. Tangazo langu halikuzaa Matunda. Nilichogundua hakuna mwanaume wa peke yako. Hivyo sidhani kama nitaweza kuishi na mwanaume ndani. Ninajali sana uaminifu. Sasa nimekubali yaishe. Nachapa Kazi nipate Hela niishi kwa furaha na my beatful children.
Sasa dada, yale mambo mengine utafanyaje? Manake ujuwe bila ile "dawa" hata kazi zako hazitaenda vizuri.
 
Nilitamani hivyo imeshindikana hapa. Ninasubiri Neema ya Mungu.
Itakuja tu mama wala usijali!
Lau kama tungekua tunawajua waume zetu wema tusingekua tumahangaika!

Watu hujifunza kupenda!
 
Back
Top Bottom