Aminata ..dah!

Aminata ..dah!

heheh kuna mganga anaitwa Mzee jehanamu, kulaleki! huyo hata ukimtaka halle berry ndani ya wiki anakupatia.

Hahahhahaha!!!! Kumbe una mambo mazuri ivi halafu upo kimya mkuu... Ngoja niku pm ... Naanza na aminata ... .H .... Etc
 
Hahahhahaha!!!! Kumbe una mambo mazuri ivi halafu upo kimya mkuu... Ngoja niku pm ... Naanza na aminata ... .H .... Etc
hehehe mkuu haupati kontakt, utaongeza kompetishen , wewe endelea na mistari tu na kuanzisha sredi. atakuelewa tu
 
hehehe mkuu haupati kontakt, utaongeza kompetishen , wewe endelea na mistari tu na kuanzisha sredi. atakuelewa tu

Nipe short cut baab. Au mweke husninyo bussy baci,mi huku nafanya mambo
 
dahhh
kule kuna The Boss
hapa kuna mkuu St. Ivuga na Aminata..

itabidi nishike ndala mkononi
nsikose pila na kachumbari nyumba zote mbili..

Hongereni sana 🙂
 
hahaaaaaaaaaa
lete bank statement zako zote uwe na account mbili dollars na pounds tu plzzzzzzz ctaki shilings mm
nipatie mm sasa iko vitabu vya bank
cna shida ya house yako wala mashamba wala mifugo yako wala ma cars yako .......mana cna mda na vitu ivo kabisaaaaaaaa
Mbona unamuumiza mwezako kwa masharti magumu kiasi hiki!!!!uwe na moyo wa huruma Aminata,mwenzako anaumia na unamuumiza zaidi
 
JF never boring as per The Boss
mtakatifu nae kafika kwa Aminata
Utakatifu sasa hivi unapotea
 
Back
Top Bottom