Aminata ..dah!

huyu mtoto nyie acheni tu.. Lingekuwa embe ningekula hadi majani
hahaaaaaaaaaa
lete bank statement zako zote uwe na account mbili dollars na pounds tu plzzzzzzz ctaki shilings mm
nipatie mm sasa iko vitabu vya bank
cna shida ya house yako wala mashamba wala mifugo yako wala ma cars yako .......mana cna mda na vitu ivo kabisaaaaaaaa
 
mbona nasikia wewe mtoto wa FN.Usimtose mwanao
 
  • quote_icon.png
    By mtu chake
    ongeza tena kama ni Cheque book..iwe imeisha sainiwa wewe ni kuweka amount tu

    asante mnoooooo una akili sana ww

    • Saint umeona hii...kazi ni kwako..mpe EPA mtt
 
Back
Top Bottom