Aminata ..dah!

hahaaaaaaaaaa
lete bank statement zako zote uwe na account mbili dollars na pounds tu plzzzzzzz ctaki shilings mm
nipatie mm sasa iko vitabu vya bank
cna shida ya house yako wala mashamba wala mifugo yako wala ma cars yako .......mana cna mda na vitu ivo kabisaaaaaaaa

utajiri huooooo. Ushosti udumu.
 
utajiri huooooo. Ushosti udumu.
ucjali mama we wangu wa maisha yan shost.............anza kutembelea maduka ya gucci kuangalia CL za nguvu uko na maduka ya JLO,ZARA,MANGO mm nikipata izo vitabu vya bank cc ni kusepa tu huko mana window shopping itakua tayar ushafanya cc ni kubeba tu
 
hahaaaaaaaaaa
lete bank statement zako zote uwe na account mbili dollars na pounds tu plzzzzzzz ctaki shilings mm
nipatie mm sasa iko vitabu vya bank
cna shida ya house yako wala mashamba wala mifugo yako wala ma cars yako .......mana cna mda na vitu ivo kabisaaaaaaaa
hello sweeeet
 
Back
Top Bottom