Aminata ..dah!

Aminata ..dah!

Mkuu Saint..... mtoto Aminata akikubali..natoa Ofa pale Coral Beach...Nite. moja..na ofa ya kwenda Bongoyo au Mbuja...Aminata..Punguza Vigezo na Masharti basi ....
mkuu kumbuka ahadi ni deni na hii ahadi ni ya kimaandishi ujue...haya ngoja mtoto aje mwenyewe hapa
 
yani hapa nazidi kukaza tena na mfungulie husninyo account ya euro ili atie sahihi barua yako ya posa la sivo itaishia njiani haitawafikia wazazi....... mana kimila zetu lazima barua iletwe na shost wa karibu la sivo haipokelewi

hehehehehe! Mwambie huyo. Tena asiweke viyuro vya madafu eeh. Halafu shida zangu zote azitatue kwanza. Lol.
 
tenaaaaaa!
Mwambie huyo. Lol.
Ivuga atakoma leo kuingia choo cha watoto amekalia poti.
Duh!!!!! Basi utakuwa kwenye kamati jamani... Yani sijakosea mzigo upo kwenye box lake
 
Back
Top Bottom