Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
- Thread starter
- #101
sijaona hii postJF never boring as per The Boss
mtakatifu nae kafika kwa Aminata
Utakatifu sasa hivi unapotea
sijaona hii postJF never boring as per The Boss
mtakatifu nae kafika kwa Aminata
Utakatifu sasa hivi unapotea
hahahahahahaa...mkuu angusha mzigo kwanzamkuu kumbuka ahadi ni deni na hii ahadi ni ya kimaandishi ujue...haya ngoja mtoto aje mwenyewe hapa
soon ..wewe unatakiwa usikose jamani
usjali ..
wataka nlite nini??
ushaanza kuangukahahahahahahaa...mkuu angusha mzigo kwanza
uwepo wake pale tu ni zawadi tosha ....na inabidi awepo siku ya kufunga ppingu ambapo shemasi /padri/mchungaji akituuliza ....na nataka akae benchi la mbeleKwa Ushauri Nasaha...mpelekee 3 Bomba au Vp..Saint
Kwa Ushauri Nasaha...mpelekee 3 Bomba au Vp..Saint
ahhaaaaaaaaaaaaaaaaaa atakomajetenaaaaaa!
Mwambie huyo. Lol.
Ivuga atakoma leo kuingia choo cha watoto amekalia poti.
nakukubali mnoooo ndio mana nikakuchagua shostito wa ukwehhakuna kubargain hapa. Lol.
'....uwepo wake pale tu ni zawadi tosha ....na inabidi awepo siku ya kufunga ppingu ambapo shemasi /padri/mchungaji akituuliza ....na nataka akae benchi la mbele
ucjali mm tena na ww hapa nakutayarishia kila kitu hadi sehemu unakuja kufikia .......kila kitu juu yangu mm ngoja nianze maandalizi yakukutafutia visaheheehe! Mi navyokulov hadi nataka nihamie huko. Lol.
Mjini hakuna kung'aa sharubu. Au sio?
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa loh! jipe mahopeDuh!!!!! Basi utakuwa kwenye kamati jamani... Yani sijakosea mzigo upo kwenye box lake
hahaaaaaaaaaaaaaaaa loh! hapa hata maji marefu hawezi kuniloga wala kunitia juju sembuse huyo mzee jehanam cjui.....Hahahhahaha!!!! Kumbe una mambo mazuri ivi halafu upo kimya mkuu... Ngoja niku pm ... Naanza na aminata ... .H .... Etc
umesemee kwani umeelewa hapo kasemaje au ndio umeanza kuloose controlWewe itabidi nikusemee
.....
- mmmmhh zitatosha kweli ??
ahhaaaaaaaaaaaaaa sasa hujui unaharibu duh! hakuna aminata bila husninyoNipe short cut baab. Au mweke husninyo bussy baci,mi huku nafanya mambo
mwambie short cut itamcost sana kama wanavosaini mikataba ya madini tz itabidi atoe billions za ma dollar kwa mfanya iyo short cut ili amsainie iyo letter yake ya maombi hahahhaaaaaaaaaaaaaaaasijasoma hapo.