JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,393
- 9,675
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana la Nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hela za umma ungekuwa mdogo sana.
Hadi 2030 tutasikia mengi.
Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mstaafu alilia.