Aminata ..dah!

sijaona hii post

Hahahahaha lol! Haya banaaa jifanye kipofu :):) ....baada ya wiki chache usije kuomba ushauri kule MMU kwamba mchumba wako ambaye mlikuwa mnategemea kufunga pingu za maisha hivi karibuni kaingia mitini baada ya kuusoma uzi huu :):)...na wewe bado unampenda sana tena sana.
 
...Muu wangu Bubu Ataka Kusema ..mtoto mwenyewe ndio huyu huyu ...ndio tunaendele kuwekana sawa .nataka kwanza VISA card yangu itume kisawa sawa kwani mtoto mwenyewe matata sana na si wa kitoto ..ukimuweka ndani sio wa kumlisha dagaa huyu au kumpandisha madala dala every day.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

umenifurahisha sana kwa kulijua hilo)))))))))))
 
  • Thanks
Reactions: BAK
legeza kidogo jamani ..dah!!
yani hapa nazidi kukaza tena na mfungulie husninyo account ya euro ili atie sahihi barua yako ya posa la sivo itaishia njiani haitawafikia wazazi....... mana kimila zetu lazima barua iletwe na shost wa karibu la sivo haipokelewi
 
Dah!!! Husninyo nionee huruma kaka yako
 
Mkuu Saint..... mtoto Aminata akikubali..natoa Ofa pale Coral Beach...Nite. moja..na ofa ya kwenda Bongoyo au Mbuja...Aminata..Punguza Vigezo na Masharti basi ....
 
Back
Top Bottom