The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,309
- 20,329
Mishe poa kaka, Sema nini, uko kimya.
Nipo mkuu, tunakumbizana nitakuchek
Mishe poa kaka, Sema nini, uko kimya.
Mkuu hawa ndio mafundi wengi wa Dar.Hivi fundi aliyewashonea zile suti alikua hana futi kamba? Au alipoteza vipimo?Mbona amewashonea vijana wa taifa suti ngoko zote nje..na kwanini hawa vijana wengine hawajanunuliwa soksi. Ni ajabu sana..
View attachment 1121104View attachment 1121106
Kwa akili zako hzo nguo wanazovaa wenye dini yao ziko Sawa na hzo?Suti kuninginia kuna shida gani? Unataka kutuaminisha wale wanaovaa suruali fupi kwenye dini yao wote hawana akili timamu?
Usilazimishe unachofanya wewe ndio kiwe sahihi ukivaa ukajiona wewe mwenyew umependeza inatosha.
Nionyeshe huo utofauti mkuu mm najua zile ni fupi zaidi ya hizoKwa akili zako hzo nguo wanazovaa wenye dini yao ziko Sawa na hzo?
Au unataka kujificha kwenye kivuli cha dini,?
Kweli mkuu.Suti za kushonewa ni miyeyusho, bora za kutungua aisee, ni mafundi wachache sana wanaoweza hzi mambo, bora utungue tu za kutoka Turkey au italy
Kwanza kwenda na masuti kwa watu ambao hawajozoea kuvaa suti ni ushamba. Hili ni kombe la Afrika ambayo kila nchi ingebidi iingie na mavazi ya kitamaduni. Kuna mavazi ya kigogo, kisukuma ama kimasai wagewatafuta wangeitangaza vyema nchi sasa haya masuti oversize na viau kachumbari?
Suti utafikilia wote wanaishi jangwani kwenye mafuriko
Hata Mie namshangaaAcha ushamba mzee, hio ndio style ya town kwa sasa
hadi nimecheka kwa sauti. bora hata angeshona juu pima, chini kadiria.Hivi fundi aliyewashonea zile suti alikua hana futi kamba? Au alipoteza vipimo?Mbona amewashonea vijana wa taifa suti ngoko zote nje..na kwanini hawa vijana wengine hawajanunuliwa soksi. Ni ajabu sana..
View attachment 1121104View attachment 1121106