Aliyewashonea nguo taifa stars mungu anawaona

nkasoukumu

nkasoukumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Messages
825
Points
250
nkasoukumu

nkasoukumu

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2010
825 250
Navaa suti kila siku ya Mungu lakini sithubuti kuvaa suti za namna hiyo
 
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
7,780
Points
2,000
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
7,780 2,000
Viatu ilikuwa ni lazima wavae sare duu
 
MIGUGO

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Messages
729
Points
1,000
MIGUGO

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2011
729 1,000
Raha ya suti isiwe na mikunjokunjo.
 
jangala

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Messages
1,388
Points
2,000
jangala

jangala

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2014
1,388 2,000
Kipimo cha hekima na busara huanza na muonekano ( mavazi)
Unavaa suruali inaning'inia miguuni halafu uje useme una akili timamu WTF
 
M

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
1,930
Points
2,000
M

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
1,930 2,000
Alistalikopaul

Alistalikopaul

Member
Joined
Feb 2, 2019
Messages
41
Points
125
Alistalikopaul

Alistalikopaul

Member
Joined Feb 2, 2019
41 125
Kipimo cha hekima na busara huanza na muonekano ( mavazi)
Unavaa suruali inaning'inia miguuni halafu uje useme una akili timamu WTF
Suti kuninginia kuna shida gani? Unataka kutuaminisha wale wanaovaa suruali fupi kwenye dini yao wote hawana akili timamu?
Usilazimishe unachofanya wewe ndio kiwe sahihi ukivaa ukajiona wewe mwenyew umependeza inatosha.
 
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
57,848
Points
2,000
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
57,848 2,000
Mie hata sielewi, sijui ni fundi au wavaaji ndio hawaeleweki ila hawajapendeza kwakweli.
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
44,904
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
44,904 2,000
naumbu

naumbu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
4,367
Points
2,000
naumbu

naumbu

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
4,367 2,000
Hii thread imejaa wajomba (washamba) wengi sana
 
Jumong S

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Messages
5,177
Points
2,000
Jumong S

Jumong S

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2013
5,177 2,000
Suti poa kabisa! Fashion kijana!
 
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
4,210
Points
2,000
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
4,210 2,000
Hivi fundi aliyewashonea zile suti alikua hana futi kamba? Au alipoteza vipimo?Mbona amewashonea vijana wa taifa suti ngoko zote nje..na kwanini hawa vijana wengine hawajanunuliwa soksi. Ni ajabu sana..
View attachment 1121104View attachment 1121106
Haukuna kazi ngumu kwetu sisi mafundi kama kumpima mcheza mpira, hatulii; unatulaumu bure na kama fupi wafumue pindo la chini haina shida.
 
Vunga

Vunga

Member
Joined
Jun 7, 2019
Messages
44
Points
95
Vunga

Vunga

Member
Joined Jun 7, 2019
44 95
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Messages
6,839
Points
2,000
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2015
6,839 2,000
Zipo poa tuu wachezaji zinawakaa poa hawana vitambi hao...
 

Forum statistics

Threads 1,307,094
Members 502,332
Posts 31,601,440
Top