Aliyewashonea nguo taifa stars mungu anawaona

Suti kuninginia kuna shida gani? Unataka kutuaminisha wale wanaovaa suruali fupi kwenye dini yao wote hawana akili timamu?
Usilazimishe unachofanya wewe ndio kiwe sahihi ukivaa ukajiona wewe mwenyew umependeza inatosha.
Kwa akili zako hzo nguo wanazovaa wenye dini yao ziko Sawa na hzo?
Au unataka kujificha kwenye kivuli cha dini,?
 
Kwanza kwenda na masuti kwa watu ambao hawajozoea kuvaa suti ni ushamba. Hili ni kombe la Afrika ambayo kila nchi ingebidi iingie na mavazi ya kitamaduni. Kuna mavazi ya kigogo, kisukuma ama kimasai wagewatafuta wangeitangaza vyema nchi sasa haya masuti oversize na viau kachumbari?

Bora wavae KISANDAWE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom