Fildmashal
Senior Member
- Oct 7, 2019
- 104
- 91
Pole uhai wako uko mkononi mwako .
Case ya huyu ni ya long time Sana ajitenge naye kwanza kwa mda hata miezi sita au mwaka hivi?
Habari yake ikoje...!!!??
Nashindwa la kusema hapa.
Ndio ili ajizoeshe Sasa kuliko asubirie kupelekwa karibuni na asiye mpenda. Kiubinadamu tu huyo mwanaume angemweshimu ka baby mama na sio kumuumiza, na wazungu husema you can't teach an old dog how to bite, so na huyo mwanaume habadiliki amu ignore aendelee na life aache kujiliza kisa mtu mzima mwenzakeHii kanuni ipo wapi?
Kuna kujitenga kwa muda kwa wana ndoa wa kibongo?
Je itabadilisha tabia zao?
Aisee!! Basi ana maajabu sana huyu binti.Mpekenyue utaona.
Alishawahi kuandika hapa kuomba ushauri....nikajaribu kumshauri PM.
Kwakweli sikuona jambo kubwa la kuvunja ndoa.
Ni kuwa tu kuna Mambo hawakubaliani ambayo si makubwaaa
Angekubali tu kuyapuuza na kufanya vile mume anataka.
Na kosa kubwa aliingia kwenye ndoa wakiwa na kutokukubaliana.
Yaani siku ya ndoa kila mmoja kanuna, wameenda kuongea kanisani kwenye kiapo....I got shocked.....ningekuwa mimi ningeahirisha ile ndoa......!!!
Anyway tunatofautiana sana kuchukulia mambo.
Mi talaka yangu uliyosema utaniandikia niidai hapa hapa au tuendelee na mambo ya kujiandaa na kampeni?Muone mwanasheria
Talaka inategemea aina ya ndoa na dini zenu
Unataka ugaiwe mali?Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon. Aliyewahi pitia hili suala naomba ushauri
Oh yesFuata ushauri huu...wakati huo ukiwa umeshaondoka hapo na umejihakikishia usalama wako.
Dada uliwahi kushare hapa huo ugumu. Moyo wako tayari una uamuzi wa ufanye miniNawashukuru kwa ushauri wa kutia moyo
Kuna baadhi ya maswali nitayjibu.
1.kwa nini nahitaji talaka kabla ya kuondoka
Kwa sababu sina chochote cha kuanzia pesa zangu zote nimewkeza hapa ikiwemo makato ya mwez
2.sio mambo mepes yanayoniondoa mengine siwez andika hapa ni ya aibu mnoo.
3.bado nampenda sana mume wangu na ndo fimbo yake kubwa kwangu.anajua nampenda na hili ndo linanifanya hili swala liwe gumu sana kwangu ila sina namna
Kuhutaji talaka mkiwa bado mnajifunika shuka moja/kulala nyumba moja ni hatari sana wanaume wengi wanaonesha kutokukujali mkiwa pamoja ila ukionesha usiriaz wa kutaka kuondoka visa na uhasama na chuki, kutaka kukukomoa vinaanza ndo wengine wanapatwa ma mauti wakiwa kwene mchakatoNawashukuru kwa ushauri wa kutia moyo
Kuna baadhi ya maswali nitayjibu.
1.kwa nini nahitaji talaka kabla ya kuondoka
Kwa sababu sina chochote cha kuanzia pesa zangu zote nimewkeza hapa ikiwemo makato ya mwez
2.sio mambo mepes yanayoniondoa mengine siwez andika hapa ni ya aibu mnoo.
3.bado nampenda sana mume wangu na ndo fimbo yake kubwa kwangu.anajua nampenda na hili ndo linanifanya hili swala liwe gumu sana kwangu ila sina namna
Saa 05:15 am saa hii.. Ushapaki mizigo.Nawashukuruni nyote.Mungu awabariki